Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HAPINESS MAGESE AELEZEA YALIYOMKUTA HADI AKAONDOLEWA KIZAZI CHAKE

Februari ya kila mwaka huenda ikawa ni kumbukumbu mbaya kwa mwanamitindo na Miss Tanzania 2001, Hapiness Millen Magese ambaye mwezi huo ndipo alipogundulika kuwa hataweza kupata mtoto katika maisha yake yote.Hali hiyo ndio imemlazimu mwanamitindo huyo kuanzisha taasisi ya kuwasaidia wanawake wengine hapa nchini ili waepuke kile ambacho kimemkuta yeye baada ya kuondolewa uzazi kwa ugonjwa ambao hapendi kusikia unamtokea mwanamke mwingine."Nikiwa sekondari nilikuwa napatwa na ugonjwa ambao kwa...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

AMBER ROSE AELEZEA NIA YA KURUDIANA NA ‘KIPENZI CHAKE’ WIZ KHALIFA

Mwanamitindo maarufu duniani, Amber Rose na Mzazi mwenzake ambaye pia ni 'rapa' maarufu Wiz Khalifa. MWANAMITINDO maarufu wa Marekani, Amber Rose, ameelezea nia yake ya kurudiana na mzazi mwenzake, mwanamuziki Wiz Khalifa ambaye walizaa naye mtoto mmoja na kuachana mwaka jana baada ya kuishi pamoja kwa mwaka mmoja tu. Mrembo huyo mwenye umri wa miaka 31 amemwelezea Khalifa kama ‘Pendo la Maisha Yangu’ na kwamba...

 

9 years ago

Bongo5

Nahreel aelezea kwanini ameweka masharti magumu ya kujiunga na chuo chake cha muziki

Producer wa The Industry, Nahreel amesema kuwa lengo la kuanzisha chuo cha muziki ni kutaka kutengeneza watu watakaoweza kuja kuleta mapinduzi kwenye muziki wa Bongo. Hit maker huyo wa ‘Nana’ ya Diamond na ‘Game’ ya Navy Kenzo ameongeza kuwa kutokana na sababu hiyo ndio maana hachukui watu hovyo hovyo wanaohitaji kujiunga na chuo chake cha […]

 

10 years ago

Mwananchi

Ariel Sharon: Mpiganaji aliyekumbana na misukosuko hadi kifo chake

Historia ya Israel haiwezi kukamilika bila kutambua mchango wa mmoja wa viongozi wake waliokuwa na msimamo mkali, Ariel Sharon.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wakati Uswahilini mkigombania makopo ya msalani, wenzenu hadi mbwa ana choo chake!

WALIOSEMA, maisha ni safari ndefu, sina budi kuwapongeza kwa maana katika hali ya kawaida ya maisha yetu na hususan kwa watu wa kipato cha chini na kati, kwa kweli kila...

 

10 years ago

Mwananchi

Yaliyomkuta Waitara na Uchaguzi Chadema

Siku tatu zilizopita baadhi ya wanahabari nikiwemo na mimi, tulifanya mahojiano maalumu na mwasisi wa Chadema, Victor Kimesela kuhusu masuala mbalimbali ikiwa ni pamoja na historia ya chama hicho; kilipotoka, kilipo na kinapoelekea.

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI IDDI AZINDUA UKUMBI WA MIKUTANO WA MAKONYO CHAKE CHAKE PEMBA

Balozi Seif akiwapungia mkono wananchi waliohudhuria ufunguzi wa Ukumbi wa Mikutano wa Makonyo { Makonyo Conference Cetre } wakati akiingia kwenye eneo hilo. Kulia ya Balozi Seif ni Waziri wa Bishara, Viwanda na Masoko Mh. Nassor Ahmed Mazrui, kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mh. Omar Khamis Othman na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mh. Mwanajuma Majid.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizindua rasmi ukumbi wa Mikutano uliopo Kiwanda cha Makonyo Wawi Chake...

 

10 years ago

Vijimambo

JENGO SKULI MPYA YA MICHAKAINI WILAYA YA CHAKE CHAKE YAFUNGULIWA RASMI


JENGO la ghorofa moja la skuli mpya ya Michakaini wilaya ya Chake Chake Pemba, ambalo lilijengwa kwa ufadhili wa serikali ya watu wa Japan, kabla ya balozi wa nchi hiyo, nchini Tanzania Masaharu Yoshida kulifungua rasmi. BALOZI wa Japan nchini Tanzania Masaharu Yoshida akiwa na mwenyeji wake, Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mwanajuma Majid Abdalla, wakikata utepe kuashiria kulifungua jengo jipya la ghorofa moja la skuli ya Michakaini lililojengwa na serikali ya watu wa Japan. MWENYEKITI wa...

 

9 years ago

Vijimambo

MAALIM SEIF AUNGURUMA VIWANJA VYA TIBIRIZI, CHAKE CHAKE PEMBA

Mamia ya wafuasi wa Chama Cha Wananchi ( Cuf ) wakimsikiliza mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad katika mkutano uliofanyika viwanja wa Tibirizi, Chake Chake Pemba leo.
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Cuf, Maalim Seif akihutubia mkutano wa hadhara wakati akinadi sera zake katika viwanja vya Tibirizi, Chake Chake Pemba
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Wananchi CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad amesema iwapo atachaguliwa kuwa...

 

10 years ago

Michuzi

SIKU YA WALEMAVU DUNIANI ZANZIBAR YASHEREHEKEWA KITAIFA CHAKE CHAKE, PEMBA

 Waziri  wa Biashara,  Viwanda na Masoko Zanzibar Mhe: Nassor Ahmed Mazuri akipokea maandamano ya watu wenye ulemavu wakati wakipita mbele yake kwenye siku ya maadhimisho ya siku ya watu wenye ulemavu duniani ambapo kitaifa kwa Zanzibar yaliofanyika mjini Chakechake, Pemba  Baadhi ya watu wenye ulemavu wakimsikiliza mgeni rasmi Waziri wa biashara na viwanda Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazuri aliekuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya siku ya watu wenye duniani ambayo kitaifa kwa Zanzibar...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani