Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yaliyomkuta Waitara na Uchaguzi Chadema

Siku tatu zilizopita baadhi ya wanahabari nikiwemo na mimi, tulifanya mahojiano maalumu na mwasisi wa Chadema, Victor Kimesela kuhusu masuala mbalimbali ikiwa ni pamoja na historia ya chama hicho; kilipotoka, kilipo na kinapoelekea.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

WAITARA ASEMA CHADEMA KIMEKOSA AJENDA YA KISIASA.


CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema)kimetajwa kukosa ajenda ya kisiasa na badala yake kimeamua kutumia ajenda ya janga la Corona linalosababisha homa kali ya mapafu(Covid 19)lililopo nchini kama mtaji wao wa kisiasa. 
Kutokana na hilo kimetakiwa kujiandaa kushindwa kwa asilimia kubwa katika uchaguzi mkuu unaotarajiwak ufanyika mwaka huu.
Akizungumza na waandishi wa habari Mei 22 jijini Dodoma mbunge wa Ukonga Mwita Waitara amesema chama hicho kilitaka kutumia janga la Corona kama mtaji...

 

9 years ago

CHADEMA Blog

MBUNGE WA CHADEMA JIMBO LA UKONGA MH. MWITA WAITARA AFANYA UKARABATI WA BARABARA JIMBONI UKONGA

Mbunge wa Jimbo la Ukonga mh Mwita Waitara akiwa kwenye ziara ya kukagua ukarabati wa barabara za Jimbo lake la Ukonga. Mpaka sasa barabara za mitaa katika Kata tano ambazo ni Msongola, Kivule, Gongolamboto, Majohe na Zingiziwa zimeshafanyiwa marekebisho. Kazi itaendelea kwa kata zingine nane zilizobaki. Kazi Hii inafanyika kwa msaada wa Mbunge wa Ukonga.

 

10 years ago

Michuzi

MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA CHADEMA TAIFA 2014:FREEMAN MBOWE ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI CHADEMA TAIFA, PROFESA ABDALLAH SAFARI MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA BARA

 Sehemu ya Wajumbe wa Mkutano  mkuu wa chadema Wakicheza kwa furaha muda mfupi baada ya matokeo ya Uchaguzi kwenye Mkutano Mkuu Kutangazwa Usiku huu Freeman Mbowe akiwashukuru wajumbe wa mkutano mkuu wa CHADEMA  kwa kumchagua tena kushika nafasi ya mwenyekiti Mshindi wa nafasi ya mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akipongezwa na Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa Makamu  Mwenyekiti wa Chadema Bara Profesa Abdallah Safari(Kulia)na Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe wakipungia kwa...

 

11 years ago

CloudsFM

HAPINESS MAGESE AELEZEA YALIYOMKUTA HADI AKAONDOLEWA KIZAZI CHAKE

Februari ya kila mwaka huenda ikawa ni kumbukumbu mbaya kwa mwanamitindo na Miss Tanzania 2001, Hapiness Millen Magese ambaye mwezi huo ndipo alipogundulika kuwa hataweza kupata mtoto katika maisha yake yote.Hali hiyo ndio imemlazimu mwanamitindo huyo kuanzisha taasisi ya kuwasaidia wanawake wengine hapa nchini ili waepuke kile ambacho kimemkuta yeye baada ya kuondolewa uzazi kwa ugonjwa ambao hapendi kusikia unamtokea mwanamke mwingine."Nikiwa sekondari nilikuwa napatwa na ugonjwa ambao kwa...

 

9 years ago

MillardAyo

Yaliyomkuta Harmonize baada ya kupanda kwenye stage mara ya kwanza Dec 25…(+Video)

Dec 25 2015 Msanii Harmonize kutokea Wasafi Classic Baby (WCB) aliandika historia nyingine katika maisha yake ya muziki, ambapo kwa mara ya kwanza alipanda kwenye stage toka aachie hit song ya ‘Aiyola’ Shangwe lilifanyika Tanga, Tanzania. Licha ya yote, kuna mambo yalitokea na hakuyapenda. Unaweza kubonyeza Play hapa chini kuitazama video yote.  Unataka kutumiwa MSG […]

The post Yaliyomkuta Harmonize baada ya kupanda kwenye stage mara ya kwanza Dec 25…(+Video) appeared first on...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Uchaguzi CHADEMA wapongezwa

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimepongezwa kutokana na kuonyesha ukomavu wa kisiasa katika chaguzi zake huku ikiikataa rushwa kwa vitendo bila kuhofu kupoteza wanachama. Akizungumza na Tanzania Daima jana,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani