Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAITARA ASEMA CHADEMA KIMEKOSA AJENDA YA KISIASA.


CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema)kimetajwa kukosa ajenda ya kisiasa na badala yake kimeamua kutumia ajenda ya janga la Corona linalosababisha homa kali ya mapafu(Covid 19)lililopo nchini kama mtaji wao wa kisiasa. 
Kutokana na hilo kimetakiwa kujiandaa kushindwa kwa asilimia kubwa katika uchaguzi mkuu unaotarajiwak ufanyika mwaka huu.
Akizungumza na waandishi wa habari Mei 22 jijini Dodoma mbunge wa Ukonga Mwita Waitara amesema chama hicho kilitaka kutumia janga la Corona kama mtaji...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Yaliyomkuta Waitara na Uchaguzi Chadema

Siku tatu zilizopita baadhi ya wanahabari nikiwemo na mimi, tulifanya mahojiano maalumu na mwasisi wa Chadema, Victor Kimesela kuhusu masuala mbalimbali ikiwa ni pamoja na historia ya chama hicho; kilipotoka, kilipo na kinapoelekea.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA yaja na ajenda 9

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeamua kuwasha moto nchi nzima kwa wiki mbili mfululizo kuanzia leo, ukiwa ni mkakati wa kujiimarisha na kujadiliana na wananchi kuhusu masuala nyeti ya...

 

5 years ago

BBCSwahili

Uhuru Kenyatta: Rais wa Kenya asema hatokubali kufanyakazi na wanaopinga ajenda yake serikalini

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesema kwamba hatofanya kazi na watu wanaojaribu kuzuia ajenda yake serikalini.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Katiba iwe ajenda kwa wagombea CHADEMA

KATIKA hekaheka za uchaguzi zinazoendelea katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA), wanachama wengi wamejitokeza kugombea nafasi mbalimbali. Jicho langu kwa leo limeangazia katika uchaguzi wa wagombea wa nafasi ya...

 

10 years ago

Raia Mwema

Tuambizane ukweli, Chadema kimeipoteza ajenda ya ufisadi

KUNA kitu ambacho viongozi wa sasa wa juu wa Chadema – Freeman Mbowe, Tundu Lissu, Profesa Baregu

Johnson Mbwambo

 

9 years ago

CHADEMA Blog

MBUNGE WA CHADEMA JIMBO LA UKONGA MH. MWITA WAITARA AFANYA UKARABATI WA BARABARA JIMBONI UKONGA

Mbunge wa Jimbo la Ukonga mh Mwita Waitara akiwa kwenye ziara ya kukagua ukarabati wa barabara za Jimbo lake la Ukonga. Mpaka sasa barabara za mitaa katika Kata tano ambazo ni Msongola, Kivule, Gongolamboto, Majohe na Zingiziwa zimeshafanyiwa marekebisho. Kazi itaendelea kwa kata zingine nane zilizobaki. Kazi Hii inafanyika kwa msaada wa Mbunge wa Ukonga.

 

10 years ago

Vijimambo

Vijembe Vya Kisiasa Vyatawala Bungeni......Lusinde Asema Dr Slaa Hafai Kuwa Rais Maana Ikulu Sio Wodi Ya Wagonjwa


VIJEMBE vya kisiasa jana vilichukua sehemu kubwa ya mjadala wa Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu unaoendelea, ambapo mvutano mkubwa ulikuwa kati ya Serikali na vyama vya upinzani nani amechoka.
Akizungumza bungeni kwa vijembe, Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde (CCM), alisema hoja ya kambi rasmi ya upinzani kuwa Serikali imechoka, inawezekana ni kweli ila haikuwekwa vizuri.Alifafanua kuwa Serikali imefanya kazi kubwa ya kukopesha wanafunzi, kutoa huduma ya afya, kujenga barabara kusambaza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani