Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHADEMA yaja na ajenda 9

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeamua kuwasha moto nchi nzima kwa wiki mbili mfululizo kuanzia leo, ukiwa ni mkakati wa kujiimarisha na kujadiliana na wananchi kuhusu masuala nyeti ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Katiba iwe ajenda kwa wagombea CHADEMA

KATIKA hekaheka za uchaguzi zinazoendelea katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA), wanachama wengi wamejitokeza kugombea nafasi mbalimbali. Jicho langu kwa leo limeangazia katika uchaguzi wa wagombea wa nafasi ya...

 

10 years ago

Raia Mwema

Tuambizane ukweli, Chadema kimeipoteza ajenda ya ufisadi

KUNA kitu ambacho viongozi wa sasa wa juu wa Chadema – Freeman Mbowe, Tundu Lissu, Profesa Baregu

Johnson Mbwambo

 

5 years ago

CCM Blog

WAITARA ASEMA CHADEMA KIMEKOSA AJENDA YA KISIASA.


CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema)kimetajwa kukosa ajenda ya kisiasa na badala yake kimeamua kutumia ajenda ya janga la Corona linalosababisha homa kali ya mapafu(Covid 19)lililopo nchini kama mtaji wao wa kisiasa. 
Kutokana na hilo kimetakiwa kujiandaa kushindwa kwa asilimia kubwa katika uchaguzi mkuu unaotarajiwak ufanyika mwaka huu.
Akizungumza na waandishi wa habari Mei 22 jijini Dodoma mbunge wa Ukonga Mwita Waitara amesema chama hicho kilitaka kutumia janga la Corona kama mtaji...

 

10 years ago

Mwananchi

Chadema yaja na ‘Amsha Wanawake’

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), leo kinazindua operesheni mpya ya kuwaandaa wanawake kufanya “maamuzi magumu” kwenye Uchaguzi Mkuu ujao. Kwa sasa, chama hicho kikuu cha upinzani, kinaendelea na kampeni ya “Amsha Amsha”, ambayo inalenga kuhamasisha wananchi kujitokeza kujiandikisha kwenye Daftari la Wapigakura.

 

10 years ago

Mwananchi

Chadema yaja na maazimio sita mazito

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ametoa maazimio sita ya Umoja wa Katiba ya Watanzania (Ukawa), iwapo vikao vya Bunge la Katiba vinavyoendelea mjini Dodoma, havitasitishwa.

 

10 years ago

Habarileo

Chadema yaja juu wagombea wake kuenguliwa

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kimeamua kutumia njia ya Mahakama ili kutaka demokrasia itumike katika uchaguzi wa serikali za mitaa.

 

10 years ago

Mwananchi

Ajenda 10 za mrithi wa JK

>Wakati mjadala wa majina ya watu wanaotaka kuwania urais umepamba moto, baadhi ya wasomi, wachambuzi na wasomaji wa gazeti hili wamesema badala ya kukimbilia majina, wagombea hao wanatakiwa kueleza jinsi gani watakavyokabiliana na ajenda 10 muhimu kwa maendeleo ya Taifa.

 

11 years ago

Mwananchi

Azam TV ni ajenda Yanga

Mkutano Mkuu wa Yanga unafanyika leo kwenye Ukumbi wa PTA jijini Dar es Salaam huku ajenda kuu ikiwa ni ile ya mkataba wa Azam Tv.

 

11 years ago

BBCSwahili

Viongozi wa EU kujadiliana ajenda mpya

Viongozi wa Jumuiya ya Ulaya wamekubaliana kuchunguza upya ajenda ya muungano huo baada ya wapiga kura "kutoa ujumbe mzito",

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani