Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chadema yaja na ‘Amsha Wanawake’

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), leo kinazindua operesheni mpya ya kuwaandaa wanawake kufanya “maamuzi magumu” kwenye Uchaguzi Mkuu ujao. Kwa sasa, chama hicho kikuu cha upinzani, kinaendelea na kampeni ya “Amsha Amsha”, ambayo inalenga kuhamasisha wananchi kujitokeza kujiandikisha kwenye Daftari la Wapigakura.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Chadema ni ‘amsha amsha’

Chadema imefanya mikutano mikubwa ya kuamsha wapigakura katika mikoa ya Kilimanjaro, Manyara, Dar es Salaam na Tanga huku mwenyekiti wake, Freeman Mbowe akisema mawaziri wa Rais Jakaya Kikwete waliotangaza nia ya kugombea urais ‘wanaivua nguo’ Serikali waliyomo kwa kueleza maovu ya ndani.

 

10 years ago

Vijimambo

NAPE AANZA AMSHA-AMSHA YA MIAKA 38 YA CCM MJINI SONGEA

 Wananchi wakiwa katika shamrashamra za kumpokea Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye leo kwenye Ofisi ya CCM mkoa wa Ruvuma mjini Songea leo, alipowasli kwa ajili ya kuanzisha amsha amsha ya Maadhimisho ya miaka 38 ya CCM ambayo inafanyika Jumapili hii, Kitaifa mjini Songea kwa kuongozwa na Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete. Mratibu wa Maadhimisho ya Miaka 38 ya CCM, Emaanuel John Nchimbi akiwasili kwenye Ofisi hiyo ya CCM mkoa wa Ruvuma leo kumpokea Nape Katibu wa NEC,...

 

9 years ago

Michuzi

AMSHA AMSHA YA MWANZA, KUELEKEA MKUTANO WA KUFUNGA KAMPENI ZA CCM

 Leo ni Leo Mwanza... maana wakazi wa jiji La Mwanza na vitongoji vyake wamejitokeza kwa wingi kumpokea mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli. Huku Maelfu ya watu wamejitokeza kwenda CCM Kirumba jijini Mwanza kuhudhuria mkutano wa kufunga kampeni leo Oktoba 24, 2015. Kila mmoja akijikaza kujongea CCM Kirumba, Mwanza. Vijana wamehamasika kweli kweli....KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

9 years ago

CCM Blog

MAGUFULI AENDELEA NA AMSHA AMSHA

 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Tegeta waliojitokeza kumpokea wakati akielekea kwenye mkutano wa kampeni wa jimbo la Kawe uliofanyika viwanja vya Bunju.
  Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa mkutano wa Bunju A.
  Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu wa Rais Dk. Ghalib Bilal kabla ya kuhutubia wakazi wa Kawe waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA yaja na ajenda 9

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeamua kuwasha moto nchi nzima kwa wiki mbili mfululizo kuanzia leo, ukiwa ni mkakati wa kujiimarisha na kujadiliana na wananchi kuhusu masuala nyeti ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Chadema yaja na maazimio sita mazito

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ametoa maazimio sita ya Umoja wa Katiba ya Watanzania (Ukawa), iwapo vikao vya Bunge la Katiba vinavyoendelea mjini Dodoma, havitasitishwa.

 

10 years ago

Habarileo

Chadema yaja juu wagombea wake kuenguliwa

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kimeamua kutumia njia ya Mahakama ili kutaka demokrasia itumike katika uchaguzi wa serikali za mitaa.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Baraza la wanawake chadema(BAWACHA)

The post Baraza la wanawake chadema(BAWACHA) appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Dewji Blog

Halima Mdee aibuka kidedea wanawake CHADEMA

Untitled

Mbunge wa Kawe Halima Mdee CHADEMA.

Na Mwandishi wetu

Mbunge wa Kawe Halima Mdee CHADEMA amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la wanawake wa Chama hicho (BAVICHA) unaoendelea katika ukumbi wa Mlimani City.

Akizungumza baada ya uchaguzi huo, Mdee aliwaasa wanawake kwa wanawake kuwa wamoja badala ya kupigana vijembe wao kwa wao ili maendeleo ya mwanamke yaweze kupatina na na kuondokana na mfumo dume

“Nimezoea kuona watu wanaotukashifu ni wa upande wa pili kutokana na mfumo dume uliojengeka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani