Chadema ni ‘amsha amsha’
Chadema imefanya mikutano mikubwa ya kuamsha wapigakura katika mikoa ya Kilimanjaro, Manyara, Dar es Salaam na Tanga huku mwenyekiti wake, Freeman Mbowe akisema mawaziri wa Rais Jakaya Kikwete waliotangaza nia ya kugombea urais ‘wanaivua nguo’ Serikali waliyomo kwa kueleza maovu ya ndani.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziAMSHA AMSHA YA MWANZA, KUELEKEA MKUTANO WA KUFUNGA KAMPENI ZA CCM
10 years ago
Vijimambo
NAPE AANZA AMSHA-AMSHA YA MIAKA 38 YA CCM MJINI SONGEA



10 years ago
CCM Blog
MAGUFULI AENDELEA NA AMSHA AMSHA



10 years ago
Mwananchi21 Jun
Chadema yaja na ‘Amsha Wanawake’
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), leo kinazindua operesheni mpya ya kuwaandaa wanawake kufanya “maamuzi magumu†kwenye Uchaguzi Mkuu ujao.
Kwa sasa, chama hicho kikuu cha upinzani, kinaendelea na kampeni ya “Amsha Amshaâ€, ambayo inalenga kuhamasisha wananchi kujitokeza kujiandikisha kwenye Daftari la Wapigakura.
9 years ago
Bongo527 Nov
Music: S-Miah ft Young Rafa Manengo & Ally Kijo – Amsha Popo

Rapper S-Miah ameachia wimbo mpya unaitwa “Amsha Popo” amewashirikisha Young Rafa Manengo na Ally Kijo. Studio Mbunda Records.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
11 years ago
Michuzi15 Sep
MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA CHADEMA TAIFA 2014:FREEMAN MBOWE ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI CHADEMA TAIFA, PROFESA ABDALLAH SAFARI MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA BARA



Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania