Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AMSHA AMSHA YA MWANZA, KUELEKEA MKUTANO WA KUFUNGA KAMPENI ZA CCM

 Leo ni Leo Mwanza... maana wakazi wa jiji La Mwanza na vitongoji vyake wamejitokeza kwa wingi kumpokea mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli. Huku Maelfu ya watu wamejitokeza kwenda CCM Kirumba jijini Mwanza kuhudhuria mkutano wa kufunga kampeni leo Oktoba 24, 2015. Kila mmoja akijikaza kujongea CCM Kirumba, Mwanza. Vijana wamehamasika kweli kweli....KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

NAPE AANZA AMSHA-AMSHA YA MIAKA 38 YA CCM MJINI SONGEA

 Wananchi wakiwa katika shamrashamra za kumpokea Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye leo kwenye Ofisi ya CCM mkoa wa Ruvuma mjini Songea leo, alipowasli kwa ajili ya kuanzisha amsha amsha ya Maadhimisho ya miaka 38 ya CCM ambayo inafanyika Jumapili hii, Kitaifa mjini Songea kwa kuongozwa na Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete. Mratibu wa Maadhimisho ya Miaka 38 ya CCM, Emaanuel John Nchimbi akiwasili kwenye Ofisi hiyo ya CCM mkoa wa Ruvuma leo kumpokea Nape Katibu wa NEC,...

 

9 years ago

CCM Blog

MAGUFULI AENDELEA NA AMSHA AMSHA

 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Tegeta waliojitokeza kumpokea wakati akielekea kwenye mkutano wa kampeni wa jimbo la Kawe uliofanyika viwanja vya Bunju.
  Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa mkutano wa Bunju A.
  Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu wa Rais Dk. Ghalib Bilal kabla ya kuhutubia wakazi wa Kawe waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyika...

 

10 years ago

Mwananchi

Chadema ni ‘amsha amsha’

Chadema imefanya mikutano mikubwa ya kuamsha wapigakura katika mikoa ya Kilimanjaro, Manyara, Dar es Salaam na Tanga huku mwenyekiti wake, Freeman Mbowe akisema mawaziri wa Rais Jakaya Kikwete waliotangaza nia ya kugombea urais ‘wanaivua nguo’ Serikali waliyomo kwa kueleza maovu ya ndani.

 

9 years ago

Dewji Blog

CCM kufunga kampeni zake kwa kishindo, Magufuli, Mgombea mwenza na Rais Kikwete kufunga kampeni Mkoani Mwanza

magufuli3

Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwa kwenye gari pamoja na Mgombea mwenza (picha  ya Maktaba yetu wakati wa kampeni zinazoendelea za wagombea hao).

CCM inapenda kutoa taarifa kuhusu masuala kadhaa kwa wanachama, wapenzi na mashabiki wake na kwa umma wa Watanzania.

Kufunga Kampeni

CCM itafunga kampeni zake kwa utaratibu mpya na kwa kishindo.  Kampeni za CCM zitafungwa Kitaifa kwa mikutano mikubwa ya kampeni katika mikoa mitano. Mikutano hiyo itaongozwa na viongozi...

 

10 years ago

Mwananchi

Chadema yaja na ‘Amsha Wanawake’

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), leo kinazindua operesheni mpya ya kuwaandaa wanawake kufanya “maamuzi magumu” kwenye Uchaguzi Mkuu ujao. Kwa sasa, chama hicho kikuu cha upinzani, kinaendelea na kampeni ya “Amsha Amsha”, ambayo inalenga kuhamasisha wananchi kujitokeza kujiandikisha kwenye Daftari la Wapigakura.

 

9 years ago

Bongo5

Music: S-Miah ft Young Rafa Manengo & Ally Kijo – Amsha Popo

Amsha Popo

Rapper S-Miah ameachia wimbo mpya unaitwa “Amsha Popo” amewashirikisha Young Rafa Manengo na Ally Kijo. Studio Mbunda Records.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

CHADEMA Blog

MKUTANO WA MWISHO WA UKAWA WA KUFUNGA KAMPENI YA UCHAGUZI MDOGO WA MASASI

Selemani Bungala (Bwege) wa Kilwa Kusini kupitia Chama cha Wananchi (CUF) akihutubia maelfu na wakazi wa masasi jioni ya leo Idadi kubwa ya wakazi wa jimbo la Masasi na Viunga vyake wakiwa wamejitokeza kwa wingi katika uwanja wa mti wa mwiba jimboni hapo katika mkutano wa kufunga kampeni za uchaguzi mdogo wa ubunge ndani ya Jimbo hilo la Masasi Mbunge wa jimbo la Kinondoni Jijini Dar es

 

9 years ago

Michuzi

KUFUNGA KAMPENI CCM



CCM inapenda kutoa taarifa kuhusu masuala kadhaa kwa wanachama, wapenzi na mashabiki wake na kwa umma wa Watanzania.
Kufunga KampeniCCM itafunga kampeni zake kwa utaratibu mpya na kwa kishindo.  Kampeni za CCM zitafungwa Kitaifa kwa mikutano mikubwa ya kampeni katika mikoa mitano. Mikutano hiyo itaongozwa na viongozi wa CCM Kitaifa waliopo madarakani na wastaafu. Mikoa hiyo na viongozi watakaoongoza mikutano hiyo ni kama ifuatavyo:
 1.    Mwanza – Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete, Mwenyekiti wa...

 

9 years ago

GPL

MIKUTANO YA KUFUNGA KAMPENI WA CCM

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa na Mjumbe wa Kamati ya Kampeni, January Makamba.   CCM itafunga kampeni zake kwa utaratibu mpya na kwa kishindo. Kampeni za CCM zitafungwa kitaifa kwa mikutano mikubwa ya kampeni katika mikoa mitano. Mikutano hiyo itaongozwa na viongozi wa CCM kitaifa waliopo madarakani na wastaafu. Mikoa hiyo na viongozi wakaoongoza mikutano hiyo ni kama ifuatavyo: 1. Mwanza – Ndugu Jakaya Mrisho...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani