DUA YA KUMUOMBEA MAREHEMU Marehemu Omar Ndege Mgori KUFANYIKA NOVEMBA 23, 2014
![](http://4.bp.blogspot.com/-1gc__G5h4C4/VGphi6iDBfI/AAAAAAAGx-I/GquKptm9IKE/s72-c/unnamed%2B(8).jpg)
Marehemu Omar Ndege MgoriFamilia ya Mzee Ndege inatoa shukurani nyingi kwa ndugu, jamaa marafiki ma majirani waliokuwa nao bega kwa bega tokea ndugu yao mpendwa Marehemu Omar Ndege Mgori kilichotokea mwezi wa jana huko India na hatimaye kuzikwa siku ya jumatatu Oktoba 13, 2014 kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam. Familia inasema haina cha kuwalipa zaidi ya AHSANTE SANA na kumuomba Mola awajazie pale palipopungua.
Dua maalumu ya kumuombea Marehemu Omar Ndege Mgori imepangwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-HlgEyrBZaGE/VDk6Ke7N_RI/AAAAAAAGpOQ/qeM58W9OpAI/s72-c/unnamed%2B(35).jpg)
UP DATES:Ratiba ya kamili na kupokelewa kwa mwili wa Marehemu Omar Ndege Mgori
![](http://1.bp.blogspot.com/-HlgEyrBZaGE/VDk6Ke7N_RI/AAAAAAAGpOQ/qeM58W9OpAI/s1600/unnamed%2B(35).jpg)
Mwili unaondoka leo hii huko nchini India na utapokelewa siku ya jumapili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa J.K. Nyerere Dar es salaam Saa Saba mchana siku hiyo.
Mazishi yatafayika siku ya jumatatu Oktoba 13,2014 kwenye makaburi ya kisutu jijini Dar es salaam.
Msiba kwa sasa upo Mbezi beach nyumbani kwa marehemu.
Taarifa zaidi zitaendelea kutolewa pindi zitakapo kuwa zikitufikia.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-3t14ZUbXA5U/XoyGgnAhxuI/AAAAAAALmYI/kIiOLZ-tk4UB5iN2PplcuaUX4NYck7DlwCLcBGAsYHQ/s72-c/PMO_0250-768x517.jpg)
WAZIRI MKUU AMUWAKILISHA RAIS MAGUFULI DUA YA KUMUOMBEA RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR MAREHEMU MZEE ABEID AMANI KARUME
![](https://1.bp.blogspot.com/-3t14ZUbXA5U/XoyGgnAhxuI/AAAAAAALmYI/kIiOLZ-tk4UB5iN2PplcuaUX4NYck7DlwCLcBGAsYHQ/s640/PMO_0250-768x517.jpg)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mihayo Juma Nhunga (kushoto), wakati akiwasili kwenye uwanja wa Abeid Amani Karume, kumwakilisha Rais Magufuli, kwenye dua ya kumuombea aliyekua Rais wa kwanza wa Zanzibar, Abeid Amani Karume, katika kumbukizi ya kifo chake, Zanzibar Aprili 7, 2020....
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Lp7ZMpIVo9E/VDdqi26mHHI/AAAAAAAGo6A/hqYb7RJ7mEs/s72-c/unnamed%2B(40).jpg)
TANZIA: OMAR NDEGE MGORI AFARIKI DUNIA NCHINI INDIA
![](http://4.bp.blogspot.com/-Lp7ZMpIVo9E/VDdqi26mHHI/AAAAAAAGo6A/hqYb7RJ7mEs/s1600/unnamed%2B(40).jpg)
Kwa taraarifa zaidi wasiliana na :
0718066661 - Jaji Mgori0787523152 - Tumaini Mgori+199869103747 - Mohammed Mgori
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-q8XUDTlp8wU/XoyFypuRDxI/AAAAAAALmYA/2QAFrzlyKTkMcyR7SZkxRkq-UMgC6N4PwCLcBGAsYHQ/s72-c/DSC1422AAA-768x413.jpg)
RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AONGOZA DUA YA KUMUOMBEA RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR MAREHEMU MZEE ABEID AMANI KARUME ILIOFANYIKA VIWANJA VYA AFISI KUU YA CCM ZANZIBAR
![](https://1.bp.blogspot.com/-q8XUDTlp8wU/XoyFypuRDxI/AAAAAAALmYA/2QAFrzlyKTkMcyR7SZkxRkq-UMgC6N4PwCLcBGAsYHQ/s640/DSC1422AAA-768x413.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/04/DSC1428AAAA-1024x609.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-bS464blpbe8/U4bL2wLDcDI/AAAAAAAFmBI/WXThY9CfFoc/s72-c/unnamed.png)
MISA YA KUMUOMBEA MAREHEMU MWESIGWA BLANDESI
![](http://2.bp.blogspot.com/-bS464blpbe8/U4bL2wLDcDI/AAAAAAAFmBI/WXThY9CfFoc/s1600/unnamed.png)
Baada ya misa kutakuwa na mkusanyiko wa ndugu jamaa na marafiki wote kwenye ukumbi wa "Resurrection Lutheran Church" katika kusheherekea maisha na kumbukumbu ya...
10 years ago
Bongo Movies17 May
Picha: Sala Maalum ya Kumuombea Marehemu Adam Kumbiana
Leo umetimia mwaka mmoja tangu aliekuwa staa wa Bongo Movies, Adam Phillips Kumbiana kufariki dunia. Ndugu jamaa na marafiki wakiwemo na baadhi mastaa wa Bongo movies wakiongozwa na mke wa marehemu Kumbiana ametembelea kwenye kaburi la marehemu (makaburi ya Kinondoni) na kufanya sala maalum ya kumuombea marehemu.
Hizi ni baahi ya picha za tukio zima.
Rest in peace Kumbiana.
10 years ago
VijimamboKISOMO CHA KUMUOMBEA MAREHEMU NA FUTARI YA PAMOJA SIKU YA JUMAPILI HUKO SILVER SPRING MD USA
10 years ago
Dewji Blog14 Feb
Dkt. Bilal ahudhuria misa maalum ya kumuombea marehemu Evodius Walingozi kanisa la Mtakatifu Joseph Dar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Askofu Eusebius Nzigilwa, wakati wa Misa maalum ya kumuombea Marehemu Evodius Walingozi, iliyofanyika leo Feb 14 kwenye Kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es Salaam. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na baadhi ya waumini wa dini ya Kikristu wakati wa Misa maalum ya kumuombea Marehemu Evodius Walingozi, iliyofanyika leo...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-J0BorKjwCZg/VN8majwVYiI/AAAAAAAHDtI/uQzKafvbTm4/s72-c/01.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHUDHURIA MISA MAALUM YA KUMUOMBEA MAREHEMU EVODIUS WALINGOZI KANISA LA MTAKATIFU JOSEPH DAR
![](http://2.bp.blogspot.com/-J0BorKjwCZg/VN8majwVYiI/AAAAAAAHDtI/uQzKafvbTm4/s1600/01.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-H19e48LhcxM/VN8ma1FuosI/AAAAAAAHDtQ/ZhZs4Uv-1LM/s1600/1.jpg)