Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UP DATES:Ratiba ya kamili na kupokelewa kwa mwili wa Marehemu Omar Ndege Mgori

Marehemu Omar Ndege Mgori
Mwili unaondoka leo hii huko nchini India na utapokelewa siku ya jumapili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa J.K. Nyerere Dar es salaam Saa Saba mchana siku hiyo.
Mazishi yatafayika siku ya jumatatu Oktoba 13,2014 kwenye makaburi ya kisutu jijini Dar es salaam.
Msiba kwa sasa upo Mbezi beach nyumbani kwa marehemu.
Taarifa zaidi zitaendelea kutolewa pindi zitakapo kuwa zikitufikia.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

DUA YA KUMUOMBEA MAREHEMU Marehemu Omar Ndege Mgori KUFANYIKA NOVEMBA 23, 2014

Marehemu Omar Ndege MgoriFamilia ya  Mzee Ndege inatoa shukurani nyingi kwa ndugu, jamaa marafiki ma majirani waliokuwa nao bega kwa bega tokea ndugu yao mpendwa Marehemu Omar Ndege Mgori kilichotokea mwezi wa jana huko  India  na hatimaye kuzikwa  siku ya jumatatu Oktoba 13, 2014 kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam. Familia inasema haina cha kuwalipa zaidi ya  AHSANTE SANA na kumuomba Mola awajazie pale palipopungua.
Dua maalumu ya kumuombea Marehemu Omar Ndege Mgori imepangwa...

 

10 years ago

Michuzi

TANZIA: OMAR NDEGE MGORI AFARIKI DUNIA NCHINI INDIA

Familia ya  Mzee Ndege Inasikitika kutangaza  kifo cha  ndugu yao mpendwa Omar Ndege Mgori  (pichani) kilichotokea India. Mipango ya mazishi inafanywa nyumbani kwa Marehemu Mbezi Juu Njia ya Goba.Habari ziwafikiw ndugu, jamaa na marafiki popote pale walipo.
Kwa taraarifa zaidi wasiliana na :
0718066661 - Jaji Mgori0787523152 - Tumaini Mgori+199869103747 - Mohammed Mgori

 

10 years ago

Dewji Blog

Ratiba ya kuaga rasmi mwili wa marehemu Capt. John Damiano Komba leo

Capt John Damian Komba2

Marehemu Capt. John Damiano Komba enzi za uhai wake.

257298487-Ratiba-Ya-Kuaga-Rasmi-Mwili-Wa-Marehemu-Capt-John-Damiano-Komba-Mb-Siku-Ya-Jumatatu-Tarehe-2-Mach… by moblog

 

10 years ago

Vijimambo

RATIBA YA KUSAFIRISHA MWILI WA MAREHEMU MHE. CAPT. JOHN KOMBA ITAKUWA KAMA IFUATAVYO:

Marehemu Kapteni Komba enzi za Uhai wake.

Kesho tarehe 02/3/2015 saa 1 asubuhi misa parokia ya Mt. Bikira Maria Mpalizwa iliopo mbezi , saa 4 asubuhi mwili utaelekea Karimjee kwa ajili ya kuagwa, na saa 8 mchana mwili utaelekea airport tayari kwa safari ya Songea. Mazishi yatafanyika tarehe 3/3/2015 kijijini kwake Lituhi.
Kufuatia Msiba huu shughuli za kamati hazitakuwepo kwa kesho tarehe 2/3/2015. Ukipata taarifa hii tafadhali mjulishe na mwingine.
IMETOLEWA NA;OFISI KATIBU WA BUNGE1.3.2015

 

11 years ago

Michuzi

MAPOKEZI YA MWILI WA MAREHEMU MEJA JENERALI BAKARI SHAABANI KATIKA UWANJA WA NDEGE WA ABEID AMANI KARUME,ZANZIBAR

Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Bakari Shaabani Hassan,wakati wa uhai wake. Maafisa wa vikosi mbali mbali vya Ulinzi vya Zanzibar wakiusubiri mwili wa marehemu Meja Jenerali Mstaafu Bakari Shaabani Hassan ukitokea katika Hospitali ya Lugalo Jijini Dar es Salaam baada ya kufariki jana. Wanajeshi wa JWTZ hapa Zanzibar wakiuteremsha mwili wa marehemu Meja Jenerali Mstaafu Bakari Shaabani Hassan,kutoka katika Ndege ya jeshi hilo iliyotua leo katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani