Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha: Sala Maalum ya Kumuombea Marehemu Adam Kumbiana

Leo umetimia mwaka mmoja tangu aliekuwa staa wa Bongo Movies, Adam Phillips Kumbiana kufariki dunia. Ndugu jamaa na marafiki wakiwemo na baadhi mastaa wa Bongo movies wakiongozwa na mke wa marehemu Kumbiana ametembelea kwenye kaburi la marehemu (makaburi ya Kinondoni) na kufanya sala maalum ya kumuombea marehemu.

Hizi ni baahi ya picha za tukio zima.

Rest in peace Kumbiana.

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Dkt. Bilal ahudhuria misa maalum ya kumuombea marehemu Evodius Walingozi kanisa la Mtakatifu Joseph Dar

01

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Askofu Eusebius Nzigilwa, wakati wa Misa maalum ya kumuombea Marehemu Evodius Walingozi, iliyofanyika leo Feb 14 kwenye Kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es Salaam. (Picha na OMR).

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na baadhi ya waumini wa dini ya Kikristu wakati wa Misa maalum ya kumuombea Marehemu Evodius Walingozi, iliyofanyika leo...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHUDHURIA MISA MAALUM YA KUMUOMBEA MAREHEMU EVODIUS WALINGOZI KANISA LA MTAKATIFU JOSEPH DAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaliamia na Askofu Msaidizi wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Eusebius Nzigilwa wakati wa Misa maalum ya kumuombea Marehemu Evodius Walingozi, iliyofanyika leo Feb 14 kwenye Kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es Salaam. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na baadhi ya waumini wa dini ya Kikristu wakati wa Misa maalum ya kumuombea Marehemu...

 

11 years ago

Bongo Movies

10 years ago

Michuzi

DUA YA KUMUOMBEA MAREHEMU Marehemu Omar Ndege Mgori KUFANYIKA NOVEMBA 23, 2014

Marehemu Omar Ndege MgoriFamilia ya  Mzee Ndege inatoa shukurani nyingi kwa ndugu, jamaa marafiki ma majirani waliokuwa nao bega kwa bega tokea ndugu yao mpendwa Marehemu Omar Ndege Mgori kilichotokea mwezi wa jana huko  India  na hatimaye kuzikwa  siku ya jumatatu Oktoba 13, 2014 kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam. Familia inasema haina cha kuwalipa zaidi ya  AHSANTE SANA na kumuomba Mola awajazie pale palipopungua.
Dua maalumu ya kumuombea Marehemu Omar Ndege Mgori imepangwa...

 

11 years ago

Michuzi

MISA YA KUMUOMBEA MAREHEMU MWESIGWA BLANDESI

Familia ya Mwesigwa inapenda kuwataarifu kuwa kutakuwa na misa ya kumuaga mpendwa wao Mwesigwa Blandesi itakayofanyika siku ya Jumamosi May 31,2014 kuanzia saa Nane na nusu mchana mpaka saa kumi na moja na nusu jioni(2:30-5:30pm) katika Kanisa la "Resurrection Lutheran Church", 397 Euclid Avenue, Oakland California 94610.
Baada ya misa kutakuwa na mkusanyiko wa ndugu jamaa na marafiki wote kwenye ukumbi wa "Resurrection Lutheran Church"  katika kusheherekea maisha na kumbukumbu ya...

 

11 years ago

Michuzi

Semi- finished houses for SALE at Kunduchi Sala Sala, Dar es salaam

Semi- finished houses for SALE at Kunduchi Sala Sala in Dar es salaam, from Tshs.110 Million. Only 200 metres from tarmac road (lami). Middle class neighborhood. Zipo kwenye maeneo ni ya kishua. Call 0717 939 293 or email tinogobba2002@yahoo.com

 

9 years ago

StarTV

Waumini wa Kiislamu Singida wafanya dua maalum kumuombea Magufuli.

Waumini wa dini ya Kiislamu mkoani Singida wamefanya dua maalum ya kumuombea Rais John Pombe Magufuli ili Mungu ampe afya njema, nguvu na ujasiri wa kuendelea kupambana na wezi wa mali za umma, ubadhirifu, matumizi mabaya ya madaraka pamoja na vitendo vya ufisadi nchini.

Lengo ni kuhakikisha kuwa Rais Magufuli anajenga uaminifu na uadilifu miongoni mwa watumishi wa umma kwa kutumia kauli mbiu yake ya kutumbua majipu ili kurejesha imani zaidi kwa wananchi.

Katika Msikiti wa Mhajirina uliopo...

 

10 years ago

Michuzi

Umoja wa misikiti ya Ilala kumuombea Dua maalum Rais Kikwete

Bismillah Rahman Rahim. Umoja wa misikiti ya Ilala unawaomba/unawaalika kushiriki katika Dua maalum ya kumuombea Mh. Rais Alhaji Jakaya Mrisho Kikwete,ili aweze kupona maradhi yake, siku ya Alhamis tarehe 20/11/2014 saa mbili usiku ( baada ya swalatul isha'a). 
Dua itafanyika masjid TAQWA Ilala-Bungoni. Nyote mnakaribishwa. Imetolewa na Sheikh Abdul Wakati- Mwenyekiti wa umoja wa misikiti ILALA.Rais Kikwete akiendelea na kazi ndogo ndogo,wakati akiwa kwenye matibabu,nchini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani