Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WADAU WA SOKA WAMUNZI MAREHEMU OMARY CHANGA KWA BONANZA LA SOKA

Wadau mbali mbali wa mchezi wa Soka jijini Dar es Salaam,leo wamekutana pamoja kwenye viwanja vya Tabata Shule katika Bonanza la kumuenzi Marehemu Omary Changa (pichani) aliyewahi kuwa Mchezaji katika timu za Yanga,JKT Ruvu,Kagera Suger pamoja na Moro United aliefariki dunia mwezi uliopita.Bonanza hilo limefanyika maalum kwa ajili ya kuchangisha fedha za kuisaidia familia ya Marehemu Changa ikiwa ni pamoja na kuweza kufanikisha kisomo cha Arobaini yake.  Mshambuliaji wa Pembeni wa timu ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Heineken Tanzania yawaburudisha wadau wa soka kwa kuonyesha fainali za UEFA champions league pale Golden Tulip hotel

Mashabiki wa Mchezo wa soka nchini wakishangilia ushindi wa timu Timu ya Real Madrid iliyoshinda kwa magoli 4 -1 na kunyakua ubingwa wa UEFA kwa mwaka 2014/15 dhidi ya ndugu zao Atretoco Madrid katika fainali iliyofanyika mjini Lisbon,Ureno.Heineken Tanzania ilichukua nafasi hiyo kwa kuonyesha mechi hiyo kwa lengo la kuwakutanisha mashabiki wa soka hapa nchini,ambapo shughuli hiyo ya kuonyesha mchezo huo ilifanyika kwenye Hoteli ya Golden Tulip hotel,Jijini Dar es Salaam.  Meneja wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wadau soka Shinyanga waaswa kushikamana

WITO umetolewa kwa wadau wa soka Shinyanga kuwa na mshikamano ili kuuletea mkoa mafanikio kwa kutoa timu zenye ushindani katika michuano mbalimbali nchini. Wito huo umetolewa na Mwenyekiti wa Chama...

 

10 years ago

GPL

WADAU WA SOKA KUENDELEA KUPATA HABARI ZA MICHEZO KIGANJANI

Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu akiongea na wanahabari kuhusu huduma ya michezo kiganjani . -Kutokupoteza muda mwingi kutafuta habari
-Ni kupitia Vodacom Tanzania WADAU wa soka nchini na wateja wa Vodacom Tanzania kwa ujumla wanaendelea kupata habari za soka zinazohusiana na   Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara(VPL), Ligi Kuu ya Uingereza, na masuala mengine mengi yanayohusiana na burudani...

 

10 years ago

Michuzi

UONGOZI wa Klabu ya Coastal Union ya Tanga umewaomba radhi TFF na wadau wa soka


UONGOZI wa Klabu ya Coastal Union ya Tanga umewaomba radhi wadau wa soka pamoja na shirikisho la soka nchini (TFF) kwa vurugu zilizotokea

 kwenye mchezo wa baina yake na Mbeya City uliofanyika mwishoni mwawiki uwanja wa CCM Mkwakwani.
Mchezo huo wa ligi kuu Vodacom ulimalizika kwa  vurugu hadi kikosi chakutuliza ghasia kilipoingilia kati na kutumia mabomu ya machozikuwatawanya mashabiki wa soka waliokuwepo katika uwanja wa Mkwakwani.
Vurugu hizo zilitokea kufuatia mwamuzi,Erick Enock kutoka...

 

10 years ago

Dewji Blog

PIGO WADAU WA SOKA NCHINI: Kocha Sylvester Marsh afariki dunia mapema leo

Marsh (kushoto) enzi za Uhai wake akiwa na kocha mkuu wa timu ya Taifa wakatoi huo Pousan

Marsh (kushoto) enzi za uhai wake akiwa na Kocha mkuu wa timu ya Taifa wakati huo, Kim Paulsen.

Na Andrew Chale wa Mo dewji blog

Habari zilizotufikiaa chumba cha habari cha mtandao huu wa Mo dewji blog,  ni kuwa aliyekuwa Kocha Msaidizi wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Sylvester Marsh amefariki dunia alfajiri ya leo katika hospitali ya Muhimbili alikokuwa amelazwa.

Taarifa hizo zilibainisha kuwa, Marsh alipatwa na umauti huo alipokuwa akiendelea na matibabu  ya maradhi...

 

10 years ago

Michuzi

GEPF WAANZA WIKI MAALUM (GEPF WEEK) KWA BONANZA LA WADAU WA MFUKO KUELEKEA MKUTANO MKUU WA SITA WA WADAU

Timu ya Mfuko wa Pensheni wa GEPF ikipasha kabla ya kuanza kwa bonanza maalum la wiki ya GEPF (GEPF Week) katika viwanja vya shule ya sekondari ya Popatlal. Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini wa Mfuko wa GEPF Bi Joyce Shaidi akitoa neno la ufunguzi kabla ya kuanza rasmi kwa bonanza la wadau wa Mfuko wa GEPF. aliye mkono wake wa kushoto ni kamanda wa Polisi Mkoani Tanga, Omary Ntungu.Washindiwa Bonanza la GEPF timuya Chuo cha Utumishi cha Tanga wakifurahia ushindi baada ya kipenga cha mwisho...

 

10 years ago

Michuzi

RATIBA YA MSIBA WA MAREHEMU MHE. DKT ABDALLAH OMARY KIGODA

RATIBA YA MSIBA WA MAREHEMU MHE. DKT ABDALLAH OMARY KIGODA (MB) WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA TAREHE 13 - 15 OKTOBA, 2015.
JUMATANO TAREHE 14 OKTOBA, 2015

NYUMBANI KWA MAREHEMU – UPANGA


Muda

Tukio

Mhusika

Saa 1.00 – 2.00Asubuhi

Chai

Wote

Mshereheshaji

Saa 6.00 – 7.00 Mchana

Chakula cha Mchana

Wanafamilia na Waombolezaji

Saa 8.30 – 9.00 Mchana

Viongozi na Waombolezaji kuwasili JNIA Termibal I


Viongozi/Waombolezaji

Saa 9.00– 9.30Asubuhi

Mwili ...

 

11 years ago

GPL

Marehemu Changa aliokotwa na muuza makopo

Mchezaji wa zamani wa Yanga, JKT Ruvu na Moro United ambako alikuwa akiichezea hivi sasa Omary Changa amefariki dunia. (Picha: Omary Changa ni wa tatu kutoka kushoto waliosimama, hapa akiwa anaichezea JKT Ruvu) Hans Mloli na Sweetbert Lukonge
MAREHEMU Omari Changa aliyefariki dunia Jumapili iliyopita ambapo gazeti hili lilikuwa la kwanza kuripoti, imeelezwa kuwa mwili wake uligundulika tangu asubuhi ya siku… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani