WADAU WA SOKA KUENDELEA KUPATA HABARI ZA MICHEZO KIGANJANI

Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu akiongea na wanahabari kuhusu huduma ya michezo kiganjani . -Kutokupoteza muda mwingi kutafuta habari -Ni kupitia Vodacom Tanzania WADAU wa soka nchini na wateja wa Vodacom Tanzania kwa ujumla wanaendelea kupata habari za soka zinazohusiana na  Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara(VPL), Ligi Kuu ya Uingereza, na masuala mengine mengi yanayohusiana na burudani...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi.jpg)
WADAU WA SOKA KUENDELEA KUPATA HABARI ZA MICHEZO KIGANJANI, Kutokupoteza muda mwingi kutafuta habari kupitia namba 15778 Vodacom Tanzania
.jpg)
Vodacom Tanzania,Matina NkurluWadau wa soka nchini na wateja Vodacom Tanzania kwa ujumla wanaendelea kupata habari za soka zinazohusiana na ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara(VPL)Ligi kuu ya Uingereza,na masuala mengine mengi yanayohusiana ya burudani kupitia simu zao za mkononi kupitia huduma maalum iliyozinduliwa mwaka juzi.Katika huduma hiyo ambayo inawafanya wateja kupata burudani ili kupata taarifa hizo za michezo na burudani anachotakiwa kufanya mteja...
9 years ago
Dewji Blog01 Dec
Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kuendelea kushirikiana na wadau katika kuendeleza Utamaduni
Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda (kushoto) akifungua kituo cha utamaduni wa China nchini Tanzania mapema hii leo jijini Dar es Salaam, katikati ni Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel na kulia ni Mkurugenzi wa Utamaduni toka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Hermas Mwansoko.
Baadhi ya wanafunzi wa Kitanzania wanaojifunza lugha ya Kichina katika kituo cha Utamaduni wa China nchini Tanzania wakiimba nyimbo kwa lugha ya...
10 years ago
GPL
10 years ago
Dewji Blog24 Feb
Serikali na wadau mbalimbali kuendelea kutoa elimu kwa makundi yaliyo katika hatari ya kupata maambukizi ya VVU
Na Aron Msigwa – MAELEZO
SERIKALI imesema kuwa itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali wa sekta ya Afya kutoa elimu kwa makundi ya watu wanaotumia dawa za kulevya na wale wanaojihusisha na biashara ya ngono katika maeneo...
11 years ago
GPL
11 years ago
GPL
11 years ago
Michuzi.jpg)
SERIKALI YASHAURI WADAU WA MICHEZO KUJITOKEZA KUSAIDIA MICHEZO NCHINI
.jpg)
.jpg)
11 years ago
Michuzi
WADAU WA SOKA WAMUNZI MAREHEMU OMARY CHANGA KWA BONANZA LA SOKA


9 years ago
Michuzi
Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo yapongezwa kwa ushikiano inaotoa kwa wadau wa Vijana

