Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


...WALA KICHAPO

Stori::Denis Mtima na Chande Abdallah Kichapo! Jamaa wawili wanaotuhumiwa kuwa wezi, nusura wauawe kwa kuchomwa moto na raia wenye hasira kali baada ya kula kichapo ‘hevi’ kwa msala wa kukwapua mkoba wa mrembo aliyekuwa ndani ya Bajaj. Kijana ambaye hakufahamika jina lake mapema amejikuta kwenye mikono ya wananchi wenye hasira kali baada ya kukwapua mkoba kwenye bajaji Katika tukio hilo lililojiri maeneo ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WAREMBO WALA KICHAPO BAA

Stori: Denis Mtima na Chande Abadallah
BALAA! Siku chache tu baada ya kumalizika kwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan, warembo wawili ambao majina yao hayakufahamika haraka wamejikuta wakila kichapo kutoka kwa mabaunsa kufuatia kuchelewa kutoka ndani ya baa waliyokuwa wakipombeka. Akilia baada ya kula kichapo. Tukio hilo la aina yake lilijiri Agosti 5, mwaka huu katika baa hiyo mpya iliyopo Sinza ya Afrikasana jijini Dar es Salaam....

 

11 years ago

GPL

WEMA, AUNT WALA KICHAPO

Na Imelda Mtema na Gladness Mallya
KIMEWAKA! Habari zilizothibitishwa zinaeleza kuwa, sura mbili za mauzo kwenye sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu na Aunt Ezekiel Grayson wanadaiwa kula kichapo kutoka kwa msanii mwenzao, Adam Kuambiana, Amani limeinyaka. Wema Sepetu. Tukio hilo lililoshuhudiwa na ‘shushushu’ wetu lilijiri mchana kweupe maeneo ya Mikocheni, Dar, hivi karibuni baada ya kuibuka timbwili lenye...

 

10 years ago

Mtanzania

Lipumba, wafuasi wake wala kichapo

DSC_1666DSC_0073Na Oliver Oswald, Dar es salaam

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, jana lilazimika kutumia nguvu kubwa kupambana na wafusi wa Chama cha Wananchi (CUF), waliokuwa wanaandamana katika kile kilichoelezwa kukumbuka mauaji ya wanachama wake yaliyotokea Januari 26 na 27, mwaka 2001 visiwani Zanzibar.
Katika purukushani hizo, askari walimpiga kwa kutumia kitako cha bunduki na kisha kirungu, mpigapicha wa gazeti la Jambo Leo, Hamisi Mussa, aliyekuwa anatekeleza majukumu yake ya...

 

10 years ago

Bongo5

New Video: Chris Bee f/ G Sacha & Silvia – Wala Wala

Tazama video ya mtangazaji wa redio ambaye pia ni muimbaji wa jijini Mbeya, Chris Bee ya wimbo wake ‘Wala Wala’ aliowashirikisha G Sacha na Silvia.

 

9 years ago

Mwananchi

Kichapo chepesi

Mlango wa ofisi ukagongwa mara mbili kisha ukafunguliwa taratibu na akaingia mwanamume mmoja aliyekuwa amevalia kofia ya baraghashia. Katika mkono wake wa kushoto alikuwa ameshika mkoba wa ngozi. Huyo alikuwa mganga wa jadi Mzee Waziiri Mwinyi. “Karibu mgeni” Rose alimkaribisha huku akimwangalia mgeni huyu aliyekuwa akiingia taratibu. “Aksante bibie.” Alimjibu huku akisimama mbele ya dirisha la Katibu Muhtasi.

 

11 years ago

GPL

VAI ACHEZEA KICHAPO

Stori: Gladness Mallya KICHAPO! Mwigizaji wa filamu za Kibongo, Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’ amechezea kichapo ‘vitasa’ kutoka kwa bwana’ke aliyetajwa kwa jina la Boniface Matiku ‘Bonny’. Vai akiugulia maumivu ya kipigo hevi kutoka kwa bwana'ke. Kwa mujibu wa sosi wetu, ishu hiyo ilijiri hivi karibuni mishale ya usiku nyumbani kwa msanii huyo maeneo ya Mwananyamala-Hospitali...

 

10 years ago

GPL

BODABODA ALA KICHAPO!

DUSTAN SHEKIDELE, MOROGORO KIJANA mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Shabani ambaye ni dereva wa bodaboda wa Kijiji cha Mkuyuni, Tarafa ya Matombo Wilaya ya Morogoro Vijijini, amenusurika kifo baada ya kupokea kichapo kutoka kwa wananchi akidaiwa kugonga basi la wasanii waliotoka Dar kuja kushiriki mazishi ya marehemu Abdul Bonge kijijini hapa. Bodaboda huyo akiamuliziwa baada ya kupewa kichapo Kwa mujibu wa chanzo, bodaboda...

 

5 years ago

CCM Blog

WAANDISHI WACHEZEA KICHAPO

Waandishi wa habari mkoani Kilimanjaro akiwamo wa gazeti la Mwananchi, Janeth Joseph walijikuta katika wakati mgumu katika mkutano wa Mbunge wa Hai (Chadema), Freeman Mbowe baada ya askari polisi waliovaa sare na wengine kiraia kuwapiga kwa vitako vya bunduki walizokuwa wamebeba.

Kabla ya kutokea vurugu hizo, juzi katika mkutano wa Mbowe uliokuwa ukifanyika katika viwanja vya Nkoromu katika Kata ya Masama kati wilayani Hai, polisi walivamia gari la mbunge huyo wakitaka kuingia ndani kwa...

 

9 years ago

GPL

ALA KICHAPO, ACHIMBIWA KABURI

Kijana Juma Rajabu akionekana mwenye majeraha. Na Haruni Sanchawa Kijana mmoja aliyetambulika kwa jina la Juma Rajabu, 23, (pichani) mkazi wa Kijiwe Samli Wilaya ya IIala, Dar nusura auawe baada ya kula kichapo maeneo ya Buguruni Sheli, hali iliyofanya afikishwe na polisi Hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam kwa matibabu.
Chanzo chetu kilisema kijana huyo alipigwa hadi kupoteza fahamu na wabaya wake waliodai kuwa aliwaibia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani