ALA KICHAPO, ACHIMBIWA KABURI

Kijana Juma Rajabu akionekana mwenye majeraha. Na Haruni Sanchawa Kijana mmoja aliyetambulika kwa jina la Juma Rajabu, 23, (pichani) mkazi wa Kijiwe Samli Wilaya ya IIala, Dar nusura auawe baada ya kula kichapo maeneo ya Buguruni Sheli, hali iliyofanya afikishwe na polisi Hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam kwa matibabu. Chanzo chetu kilisema kijana huyo alipigwa hadi kupoteza fahamu na wabaya wake waliodai kuwa aliwaibia...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
BODABODA ALA KICHAPO!
10 years ago
GPL
ALA PASAKA KWA KICHAPO
10 years ago
GPL
KISA HAUSIGELI, NJEMBA ALA KICHAPO
10 years ago
GPL
ALA KICHAPO KISA MUME WA MTU
10 years ago
GPL
KIBAKA ALA KICHAPO KWA WIZI WA TAA ZA GARI UPANGA, DAR
9 years ago
Michuzi
MTU MMOJA ALA KICHAPO KWA TUHUMA ZA KUJIDAI AFISA WA TRA
Mtu huyo alijitambulisha kuwa ni Afisa wa TRA,lakini akatuhumiwa kuwa ni tapeli aliyetaka kufanya tukio la kiuhalifu kwenye moja ya Maduka yaonekayo mbele ya gari hilo,tukio hilo limetokea hivi punde maeneno ya Tabata Segerea. Mtuhumiwa huyo ambaye jina lake halikuweza kufahamika ...
11 years ago
Tanzania Daima22 Oct
Mamba ala mwanafunzi
MWANAFUNZI wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Ugalla, Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi, Yohana Ramadhani (14), ameliwa na Mamba wakati akioga na wenzake katika mto Ugalla. Kwa mujibu wa Diwani...
11 years ago
GPL
...WALA KICHAPO
10 years ago
Mwananchi17 Sep
Kichapo chepesi