ALA PASAKA KWA KICHAPO
![](http://api.ning.com:80/files/qHkXSNTTQ9dGeQ9HJxYpFH366Rg1zv4SLbtu3g*ua-DjGC-rq9UsWbInjT1xmJKqMdoeb9mD7ff68US5FPGHdddc9duWvPNk/Kichapo.gif?width=650)
ISSA MNALLY Kijana mmoja aliyetambuliwa kwa jina moja la Anton, Jumapili ya Pasaka alikula sikukuu kwa kupewa kichapo na wananchi wenye hasira kwa madai kuwa ni kibaka.Tukio hilo lililotokea saa 12 asubuhi maeneo ya Sinza Afrikasana ambapo walioshuhudia tukio hilo walimwambia mwandishi wetu kuwa, kijana huyo aliyefahamika mtaani hapo kama muokota chupa, ilidaiwa kuwa alikurupushwa kutoka katika nyumba moja ambako alienda kwa...
GPL