Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MASHINDANO YA KOMBE LA DUNIA: CAMEROON YAANZA KWA KICHAPO CHA BAO 1 - 0 KUTOKA KWA MEXICO


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

SIMBA YAKUBALI KICHAPO CHA BAO 2- 0 KUTOKA KWA YANGA

Mshambuliaji wa Yanga, Malimi Busungu akishangilia na Kelvin Yondan (kulia) baada ya kuifungia timu yake bao la pili katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya Simba uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Mshambuliaji wa Yanga, Malimi Busungu akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la pili katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya Simba.
Wachezaji wa timu ya Yanga wakishangilia goriMshambuliaji wa Simba, Mwinyi Kazimoto (kushoto) akitafuta...

 

10 years ago

Vijimambo

THE TANZANITE YAKUBALI KICHAPO CHA BAO 4-0 KUTOKA KWA CHIPOLOPOLO

Waamuzi wa mchezo kati ya timu ya taifa ya ska ya Tanzania chini ya mkiaka 20 ya The Tanzanite wakiingia uwanjani wakati timu hiyo ilipopambana na Zambia katika mchezo wa kufuvu kucheza fainali ya Kombe la Dunia kwa Wanawake. Janeth Christopher wa The Tanzanite akimiliki mpira Mary Wilombe. Beki wa The Tanzanite, Zuwena Aziz akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa Zambia.
 Kikundi cha ushangiliaji kikishangilia timu ya The Tanzaniate. Mshambuliaji wa The Tanzanite, Stumai Abdallah akitafuta...

 

9 years ago

Vijimambo

STAND UNITED YAKUBALI KICHAPO CHA BAO 1-0 KUTOKA KWA SIMBA

Beki wa Simba, Murshid Juuko akiwatoka wachezaji wa Stand United katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika Uwanja wa Taifa leo. Simba imeshinda 1-0. (Picha na Francis Dande)Mshambuliaji wa Simba, Simon Sserunkuma akimtoka beki wa Stand United, Abuu Ubwa katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Vijimambo

STARS YAPOTEZA MCHEZO WA PILI BAADA YA KUPATA KICHAPO CHA BAO 2-0 KUTOKA KWA MADAGASCAR

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) jana imepoteza mchezo wa pili mfululizo katika michuano ya kombe la Cosafa, baada ya kufungwa mabao 2 - 0 na Madagascar, mchezo uliofanyika katika uwanja wa Royal Bafokeng jijini Rustenburg.  Kwa Taifa Stars kupoteza mchezo huo, moja kwa moja inakua imeaga michuano katika hatua ya makundi, kutokana na kubakisha mchezo mmoja tu wa kukamilisha ratiba dhidi ya Lesotho utakaochezwa kesho ijumaa katika uwanja wa Moruleng.
Katika mchezo huo wa jana, Taifa...

 

10 years ago

Vijimambo

RUVU SHOOTING YAPOKEA KICHAPO CA BAO 5- 0 KUTOKA KWA YANGA

 Timu zikiingia uwanjani.  Mshambuliaji wa Yanga, Kpah Sherman, akishangilia bao aliloifungia timu yake dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa. Yanga imeshinda 5-0. (Picha na Francis Dande).
 Haruna Niyonzima (kushoto), Simon Msuva (kulia) na Kpah Sherman wakishangilia baada ya Simon Msuva kuipatia timu hiyo bao la pili.

 Mshambuliaji wa Yanga, Amis Tambwe akiwatoka wachezaji wa Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Kombe la dunia la vilabu, TP Mazembe yaanza vibaya kwa kipigo

Roger+Assale+TP+Mazembe+v+Sanfrecce+Hiroshima+d31Vvh-xFIAl

Kiungo Roger Assale wa TP Mazembe akionyesha ufundi wake kwa Toshihiro Aoyama wa timu ya Sanfrecce Hiroshima katika viwanja vya Osaka Nagai jana December 13, 2015 wakati wa mchezo wa robo fainali wa Mashindano ya Klabu Bingwa ya Dunia uliofanyika jijini Osaka, Japan.(Picha na Kaz Photography/Getty Images AsiaPac).

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Timu pekee inayowakilisha Afrika katika kombe la dunia la vilabu 2015 linalofanyika nchini Japan, TP Mazembe ya Congo DRC, imeanza vibaya Mashindano ya...

 

11 years ago

Michuzi

mchemsho mwingine wa refa washuhudiwa wakati Mexico ikiibanjua Cameroon bao 1-0 leo

Mshambuliaji Oribe Peralta wa Mexico amehakikisha kwamba haki inatendeka katika michezo ya awali ya Kombe la dunia alipoiwezesha nchi yake kuifunga Cameroon bao 1-0 jioni huu mjini Natal wakati michuaono hiyo ikiwa katika hatihati ya kashfa ingine ya uamuzi mbovu.  Endapo kama Mexico wasingeshinda ni hakika Refa huyo kutoka Colombia Wilmar Roldan angekuwa katika wakati mgumu baada ya kukataa magoli mawili ya wazi ya timu hiyo kwa madai kuwa ni ya kuotea baada ya mchezaji wa zamani wa...

 

10 years ago

Vijimambo

AZAM FC YAKUBALI KICHAPO CHA MABAO 2 - 1 KUTOKA KWA SIMBA

 Kikosi cha Azam FC kilichoanza leo. (Picha na Francis Dande)Kikosi cha Simba.Waamuzi wa mchezo wa Simba na Azam wakiwa katika picha ya pamoja na manahodha wa timu zote kabla ya mchezo. Beki wa Azam FC, Shomari Kapombe akichuana na mshambuliaji wa Simba, Said Ndemla.
Himid Mao akijaribu kumzuia Said Ndemla wa Simba.mshambuliaji wa Simba, Said Ndemla akimtoka Himid Mao. Emmanuel Okwi akichuana na beki wa Azam FC, Agrey Moris.Agrey Moris na akichuana na Emmanuel Okwi. Kocha wa Simba, Goran...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani