Kombe la dunia la vilabu, TP Mazembe yaanza vibaya kwa kipigo
Kiungo Roger Assale wa TP Mazembe akionyesha ufundi wake kwa Toshihiro Aoyama wa timu ya Sanfrecce Hiroshima katika viwanja vya Osaka Nagai jana December 13, 2015 wakati wa mchezo wa robo fainali wa Mashindano ya Klabu Bingwa ya Dunia uliofanyika jijini Osaka, Japan.(Picha na Kaz Photography/Getty Images AsiaPac).
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Timu pekee inayowakilisha Afrika katika kombe la dunia la vilabu 2015 linalofanyika nchini Japan, TP Mazembe ya Congo DRC, imeanza vibaya Mashindano ya...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili10 Jun
Kombe la dunia ,England yaanza vibaya
9 years ago
BBCSwahili18 Dec
Barcelona fainali Kombe la dunia la Vilabu
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-eRiVXDIl5dE/U5tHtaBRYXI/AAAAAAAFqb8/oSTNl6ktnl0/s72-c/New+Picture+(1).bmp)
9 years ago
Bongo514 Dec
Kombe la dunia la Klabu: Sanfrecce Hiroshima ya Japan yazima matumaini ya TP Mazembe
![_87185831_gettyimages-501182938](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/87185831_gettyimages-501182938-300x194.jpg)
Matumaini ya TP Mazembe kufika kwenye fainali za kombe la dunia la klabu yamezimwa jana baada ya mabingwa hao wa Afrika kufungwa mabao 3-0 na Sanfrecce Hiroshima ya Japan.
Mchezo huo ulipigwa kwenye uwanja wa Yanmar wa mjini Osaka, Japan.
Magoli hayo yalifungwa na Tsukasa Shiotani, Kazuhiko Chiba na Takuma Asano.
Kikosi cha Mazembe kilikuwa kikiundwa na wachezaji wa kimataifa kutoka Ivory Coast, Mali, Zambia, Tanzania, Ghana na mchezaji mmoja tu kutoka DR Congo.
Thomas Ulimwengu na...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-DXP3cusISYc/U2xt7F97b-I/AAAAAAAFgbE/33OpcSBU4-w/s1600/unnamed.jpg)
TBC yaanza mchakato wa kuwapata washindi watano wa kwenda kuangalia michezo ya Kombe la Dunia nchini Brazil
9 years ago
Habarileo22 Nov
Zanzibar yaanza vibaya Chalenji
TIMU ya Taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes jana ilianza vibaya michuano ya Kombe la Chalenji baada ya kukubali kichapo cha bao 1-0 dhidi ya Burundi katika mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa Addis Ababa, Ethiopia.
9 years ago
Mwananchi08 Sep
Twiga Stars yaanza vibaya Brazzaville
9 years ago
Dewji Blog09 Nov
TP Mazembe yatwaa kombe la Ligi ya Mabingwa Afrika
Mshambuliaji Mtanzania wa Klabu ya TP Mazembe ya nchini Congo DRC, Thomas Ulimwengu (kushoto) na mchezaji mwenzake raia wa Ghana, Solomon Asante (kiungo wa kati) wakishangilia baada ya kufunga timu ya USM Alger ya nchini Algeria.
Kombe la mshindi wa ligi ya mabingwa Afrika ambalo TP Mazembe wamelitwaa 2015.
Na Rabbi Hume
Klabu ya TP Mazembe ya nchini Congo DRC imetwaa kombe la ligi ya mabingwa barani Afrika baada ya kuifunga timu ya USM Alger ya nchini Algeria kwa goli mbili (2) kwa bila...