KISA HAUSIGELI, NJEMBA ALA KICHAPO

TIMBWILI! Njemba mmoja mkazi wa Kisimani mjini Tunduma wilayani Momba, Mbeya ambaye jina lake halikupatikana mara moja, amejikuta akila kichapo kisa, kudaiwa kumtorosha msichana wa kazi ‘hausigeli’ wa mtu. Tukio hilo lililokusanya watu kibao, lilijiri juzikati katika maeneo hayo baada ya vijana hao kumtuhumu kijana huyo kwamba amemficha msichana huyo ambaye bosi wake aitwaye Johnson alikuwa akimtafuta.  ....Soma...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
ALA KICHAPO KISA MUME WA MTU
Hamida hassan
Dada mmoja aliyefahamika kwa jina la Jamila mkazi wa Kawe jijini Dar hivi karibuni alipata kipigo cha kufa mtu akituhumiwa kuchepuka na mume wa mwanamke mmoja aitwaye Sheila.Tukio hilo lilitokea hivi karibuni ambapo ilielezwa kuwa, Sheila alitonywa na wambeya kuwa Jamila amekuwa akichepuka na mumewe na bila kuchunguza akapanga kumshikisha adabu. Jamila akiwa na jeraha usoni kwa tuhuma zakutembea na mume wa mtu....
11 years ago
GPL
NJEMBA ACHEZEA KICHAPO: KISA UKUWADI KWA MKE WA MTU!
Stori:Â Issa Mnally
Adabu ishike mkondo wake! Njemba aliyetajwa kwa jina moja la Jose amejikuta akichezea kichapo ‘hevi’ kilichomsababishia kuvunjika pua kwa tuhuma ya ukuwadi wa mke wa mtu, Ijumaa Wikienda lilikuwepo eneo la tukio. Njemba aliyetajwa kwa jina moja la Jose akivuja damu baada ya kipigo. Msala huo wa aina yake ambao ulivuta umati mkubwa ulijiri wikiendi iliyopita maeneo ya Makumbusho jijini Dar...
10 years ago
GPL
NJEMBA ALA KIPIGO, MKE AKIMBIA
Richard Bukos Hii kali! Njemba mmoja ambaye jina halikupatikana amekula kipigo mbele ya mkewe ambaye alifanikiwa kukimbia baada ya kudaiwa kufanya jaribio la kuingia kwenye onesho la Bendi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’ kwa kutumia tiketi feki, Ijumaa lina kisa na mkasa.  ....Soma zaidi====>http://bit.ly/1PWCUDc
10 years ago
GPL
BODABODA ALA KICHAPO!
DUSTAN SHEKIDELE, MOROGORO KIJANA mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Shabani ambaye ni dereva wa bodaboda wa Kijiji cha Mkuyuni, Tarafa ya Matombo Wilaya ya Morogoro Vijijini, amenusurika kifo baada ya kupokea kichapo kutoka kwa wananchi akidaiwa kugonga basi la wasanii waliotoka Dar kuja kushiriki mazishi ya marehemu Abdul Bonge kijijini hapa. Bodaboda huyo akiamuliziwa baada ya kupewa kichapo Kwa mujibu wa chanzo, bodaboda...
10 years ago
GPL
ALA KICHAPO, ACHIMBIWA KABURI
Kijana Juma Rajabu akionekana mwenye majeraha. Na Haruni Sanchawa Kijana mmoja aliyetambulika kwa jina la Juma Rajabu, 23, (pichani) mkazi wa Kijiwe Samli Wilaya ya IIala, Dar nusura auawe baada ya kula kichapo maeneo ya Buguruni Sheli, hali iliyofanya afikishwe na polisi Hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam kwa matibabu.
Chanzo chetu kilisema kijana huyo alipigwa hadi kupoteza fahamu na wabaya wake waliodai kuwa aliwaibia...
10 years ago
GPL
ALA PASAKA KWA KICHAPO
ISSA MNALLY Kijana mmoja aliyetambuliwa kwa jina moja la Anton, Jumapili ya Pasaka alikula sikukuu kwa kupewa kichapo na wananchi wenye hasira kwa madai kuwa ni kibaka.Tukio hilo lililotokea saa 12 asubuhi maeneo ya Sinza Afrikasana ambapo walioshuhudia tukio hilo walimwambia mwandishi wetu kuwa, kijana huyo aliyefahamika mtaani hapo kama muokota chupa, ilidaiwa kuwa alikurupushwa kutoka katika nyumba moja ambako alienda kwa...
11 years ago
GPL10 years ago
GPL
NJEMBA APOKEA KICHAPO HEVI AKIDAIWA KUMLAWITI MTOTO ARUSHA
NJEMBA mmoja ambaye ni fundi saa maeneo ya Stendi Kuu jijini Arusha leo amepokea kipigo cha mbwa mwizi baada ya kudaiwa kumlawiti mwanafunzi wa kiume wa darasa la tatu wa shule moja jijini humo. (PICHA NA GLOBAL WHATSAPP 0753 715 779)
11 years ago
GPL
NJEMBA ALA KIBANO KWA KUJIFANYA WAKALA WA MATANGAZO GLOBAL, TBC
Stori: Haruni Sanchawa na Denis Mtima KIBANO! Tapeli aliyejitambulisha kwa jina la Faustine Mwita ametiwa nguvuni kwa shitaka la kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu, Risasi Mchanganyiko lina mkoba wenye ripoti nzima.
Hii ni kazi nyingine nzuri ya OFM kwa kushirikiana na polisi ambao walimkamata jamaa huyo anayejifanya wakala wa matangazo wa Kampuni ya Global Publishers na Shirika la Utangazaji Tanzania...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania