NJEMBA ALA KIBANO KWA KUJIFANYA WAKALA WA MATANGAZO GLOBAL, TBC
![](http://api.ning.com:80/files/at5DaH0Gs6nrkNSKIZhKI-F2Qy64*s8qp1Pyj0ZSoejoc7Hz*Y-6pemnS5DlOb0DFbygUVPZDyARwfdhS9nB6UCIa9M-ykMp/njemba3.gif?width=650)
Stori: Haruni Sanchawa na Denis Mtima KIBANO! Tapeli aliyejitambulisha kwa jina la Faustine Mwita ametiwa nguvuni kwa shitaka la kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu, Risasi Mchanganyiko lina mkoba wenye ripoti nzima. Hii ni kazi nyingine nzuri ya OFM kwa kushirikiana na polisi ambao walimkamata jamaa huyo anayejifanya wakala wa matangazo wa Kampuni ya Global Publishers na Shirika la Utangazaji Tanzania...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo27 Feb
Tibaijuka ala kibano, bado Ngeleja.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Tibaijuka-27Feb2015.jpg)
Mbunge wa Muleba Kusini (CCM), Prof. Anna Tibaijuka, alikumbana na ‘kibano’ mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma baada ya kusomewa mashtaka matatu na baraza hilo, likiwamo la kuomba fedha katika Kampuni ya VIP Consultant, inayomilikiwa na James Rugemalira, kinyume cha maadili ya viongozi wa umma.
Mashtaka mengine yanayomkabili Prof. Tibaijuka, ambaye alivuliwa Uwaziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Rais Jakaya Kikwete...
9 years ago
Mwananchi23 Dec
TBC yapata kibano kingine
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KkxqEnBJGWD2N4dw12zh3jNlqLlfrftKRYWgqeiKT8bxzs9jx25AhVJW2fIZk3a0adpXMSYcOHy4QzSGanpiQSAPyzuoUQ48/Kichapo.gif?width=650)
KISA HAUSIGELI, NJEMBA ALA KICHAPO
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BKb27P3JwiGP58buB3cEiQ6bzMgnDvys0ULhmdX1C5ts3JFnEdP*95Nouzv3wBOnFI0gBgg7XOuJHVUQ8xpbj7GdrbJm7Fxy/Kipigo.gif?width=650)
NJEMBA ALA KIPIGO, MKE AKIMBIA
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-adxq4Bc2l64/U61F2KdbwLI/AAAAAAACkZI/ayUnrUUpTbM/s72-c/OB4b.jpg)
Shirika la Taifa la Utangazaji (TBC) lapatiwa msaada wa Gari la kisasa la kurushia matangazo kutoka kwa Serikali ya China
![](http://2.bp.blogspot.com/-adxq4Bc2l64/U61F2KdbwLI/AAAAAAACkZI/ayUnrUUpTbM/s1600/OB4b.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-49r17w9hxeM/U61F23B9DnI/AAAAAAACkZU/x3Ho51uCPyE/s1600/OB4c.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/n6JmThHrscZdQ*6*cKcQ7HEk6mWjSaZmfhXx8bZekVHLHboyY9wk4-IeN*7EbZe4KvC0xjI2OY0XdVU8zvFVlxJSFK-0qsS5/TANGAZOGM.jpg)
11 years ago
Mwananchi25 Apr
TBC yapata gari la kisasa la matangazo
11 years ago
Dewji Blog![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/06/TBC-yapata-gari-la-kisasa-la-matangazo.jpg)
Serikali ya China yaikabidhi TBC gari la matangazo lenye thamani ya Tsh. Bilioni 6
Na Ismail Ngayonga, MAELEZO
SERIKALI ya Jamhuri ya Watu imeikabidhi Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) msaada wa gari la kurushia Matangazo lenye thamani ya Tsh. Bilioni 6 ili kuboresha utendaji wa shughuli za shirika hilo.
Akipokea msaada huo kwa niaba ya Serikali ya Tanzania, Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara alisema msaada ni kielelezo cha urafiki wa kweli wa kimaendeleo katika nyanja mbalimbali uliopo baina ya Tanzania na China.
Mukangara...
10 years ago
Dewji Blog28 Oct
JWTZ wategua bomu lilotegwa katika eneo la kituo cha kurushia matangazo cha TBC Songea
Kamanda wa Polisi mkoa wa Ruvuma Mihayo Msikhela akipata maelekezo kutoka kwa mtaaram wa mabomu ambaye ni kamanda wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) kabla ya kulitegua bomu hili.
Hili ni eneo la tukio ambalo limezungushiwa mkanda huu wa Polisi uliandikwa hairuhusiwi kupita eneo hili, Lakini chini ya huo mti kama inavoonekana katika picha kukiwa na udongo umetifuliwa ndipo mahala ambapo lilitegwa bomu hili...