TBC yapata gari la kisasa la matangazo
Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), limepatiwa gari jipya la kisasa la kurushia matangazo ya nje (OB Van), ambalo kwa mara ya kwanza litatumiwa kwenye matangazo ya sherehe za miaka. 50 ya Muungano wa Tanzania kesho kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-adxq4Bc2l64/U61F2KdbwLI/AAAAAAACkZI/ayUnrUUpTbM/s72-c/OB4b.jpg)
Shirika la Taifa la Utangazaji (TBC) lapatiwa msaada wa Gari la kisasa la kurushia matangazo kutoka kwa Serikali ya China
![](http://2.bp.blogspot.com/-adxq4Bc2l64/U61F2KdbwLI/AAAAAAACkZI/ayUnrUUpTbM/s1600/OB4b.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-49r17w9hxeM/U61F23B9DnI/AAAAAAACkZU/x3Ho51uCPyE/s1600/OB4c.jpg)
11 years ago
Dewji Blog![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/06/TBC-yapata-gari-la-kisasa-la-matangazo.jpg)
Serikali ya China yaikabidhi TBC gari la matangazo lenye thamani ya Tsh. Bilioni 6
Na Ismail Ngayonga, MAELEZO
SERIKALI ya Jamhuri ya Watu imeikabidhi Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) msaada wa gari la kurushia Matangazo lenye thamani ya Tsh. Bilioni 6 ili kuboresha utendaji wa shughuli za shirika hilo.
Akipokea msaada huo kwa niaba ya Serikali ya Tanzania, Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara alisema msaada ni kielelezo cha urafiki wa kweli wa kimaendeleo katika nyanja mbalimbali uliopo baina ya Tanzania na China.
Mukangara...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/at5DaH0Gs6nrkNSKIZhKI-F2Qy64*s8qp1Pyj0ZSoejoc7Hz*Y-6pemnS5DlOb0DFbygUVPZDyARwfdhS9nB6UCIa9M-ykMp/njemba3.gif?width=650)
NJEMBA ALA KIBANO KWA KUJIFANYA WAKALA WA MATANGAZO GLOBAL, TBC
9 years ago
Mwananchi23 Dec
TBC yapata kibano kingine
11 years ago
MichuziCLOUDS MEDIA YAPATA LESENI YA URUSHAJI WA MATANGAZO KATIKA NCHI ZA FALME ZA KIARABU.
Clouds TV kimataifa ni mwendelezo wa televisheni maarufu sana kwa vijana nchini Tanzania, hata hivyo sehemu kubwa ya maudhui yatakayokuwemo kwenye Clouds TV...
10 years ago
Dewji Blog28 Oct
JWTZ wategua bomu lilotegwa katika eneo la kituo cha kurushia matangazo cha TBC Songea
Kamanda wa Polisi mkoa wa Ruvuma Mihayo Msikhela akipata maelekezo kutoka kwa mtaaram wa mabomu ambaye ni kamanda wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) kabla ya kulitegua bomu hili.
Hili ni eneo la tukio ambalo limezungushiwa mkanda huu wa Polisi uliandikwa hairuhusiwi kupita eneo hili, Lakini chini ya huo mti kama inavoonekana katika picha kukiwa na udongo umetifuliwa ndipo mahala ambapo lilitegwa bomu hili...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-R2pVnq6L-sY/VZLS_IQ1j_I/AAAAAAAHl60/R5d86NhRqlE/s72-c/unnamed%2B%252822%2529.jpg)
KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI WAPEWA GARI LA MATANGAZO
![](http://2.bp.blogspot.com/-R2pVnq6L-sY/VZLS_IQ1j_I/AAAAAAAHl60/R5d86NhRqlE/s640/unnamed%2B%252822%2529.jpg)
10 years ago
MichuziNEWS ALERT: JWTZ WATEGUA BOMU LILOTEGWA KATIKA ENEO LA KITUO CHA KURUSHIA MATANGAZO CHA TBC SONGEA
Bomu hili linalosadikiwa kutengenezwa kienyeji nawatu wasiojulikana lilitegwa hatua zinazokadiliwa thelathini kutoka kitika kituo kilipo katika eneo ambalo askari wa usalama barabarani wanakaa kwa ajili kufanya...
10 years ago
GPLJWTZ WATEGUA BOMU LILOTEGWA KATIKA ENEO LA KITUO CHA KURUSHIA MATANGAZO CHA TBC SONGEA