Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CLOUDS MEDIA YAPATA LESENI YA URUSHAJI WA MATANGAZO KATIKA NCHI ZA FALME ZA KIARABU.


Kampuni ya Clouds Media International leo imetangaza kuwa imepewa leseni ya kurusha  matangazo  katika nchi za umoja wa falme za kiarabu (UAE).  Akielezea kuhusu leseni hiyo Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni  hiyo Bwana Joseph Kusaga, amesema  sasa kituo cha  Clouds TV kimataifa kitakuwa kikishuhudiwa na watu wa mataifa mbalimbali.
Clouds TV kimataifa ni mwendelezo wa televisheni maarufu sana kwa vijana  nchini Tanzania,  hata hivyo sehemu kubwa ya maudhui yatakayokuwemo kwenye Clouds TV...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Makamu wa rais Dkt. Bilal ahudhuria kongamano la biashara la kimataifa kwa nchi za Afrika jijini Dubai, falme za kiarabu

8

Mfanyabiashara mwenye ukwasi mkubwa Afrika, Bw. Aliko Dangote katika mazungumzo na Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal kuhusu uwekezaji wake katika kiwanda cha simenti mkoani Mtwara. Dangote alisema kazi ya ujenzi inakwenda kama ilivyopangwa na kwamba kiwanda hicho kitakuwa kikubwa kabisa kwa uzalishaji simenti katika ukanda wa Afrika Mashariki. (Picha na OMR).

9qq

Picha ya pamoja baada ya mazungumzo.

 

11 years ago

Michuzi

UBALOZI WA TANZANIA KATIKA UMOJA WA FALME ZA KIARABU (UAE) WASHEREHEKEA SHEREHE ZA MIAKA 50 MUUNGANO WA TANZANIA

Balozi wa Tanzania katika Umoja wa Falme za Kiarabu,Mhe. Mbarouk Nassor Mbarouk (kushoto) akimpokea mgeni rasmi wa sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano Tanzania, Mheshimiwa Dr. Hadef Jawa’n Al Dhaheri, Waziri wa Sheria wa UAE,katika hafla iliyofanyika hivi karibuni katika Hoteli ya Intercontinental,Abu Dhabi. Balozi Mbarouk akiwa na Chief of Protocol wa UAE Mhe. Shihab Al Faheem. Balozi Mbarouk akimuongoza Mgeni rasmi Mhe. Dr. Hadef Jawa’n Al Dhaheri, Waziri wa Sheria wa Umoja...

 

10 years ago

BBCSwahili

Obama na uhusiano wa Falme za Kiarabu

Rais wa Marekani Barack Obama anaongoza mkutano wa viongozi wa falme za kiarab ambao unalenga kuhakikisha uhusiano baina yao na Marekani na Iran

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YAWAREJESHA WATANZANIA 119 WALIOKWAMA FALME ZA KIARABU

T​akribani Watanzania 119 waliokuwa wamekwama katika nchi za Falme za Kiarabu wamerejea Tanzania na kutoa shukrani kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutokana na jitihada za kuwarejesha nyumbani.
Watanzania hao 119 waliokuwa wamekwama katika nchi za Falme za Kiarabu baada ya mlipuko wa ugonjwa wa COVID 19 na kusababisha mashirika mbalimbali ya ndege kufunga safari zake wamewasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere majira ya saa nane mchana kwa ndege ya shirika...

 

10 years ago

Mwananchi

Lango la biashara Falme za Kiarabu, ni fursa ya Watanzania kukuza uchumi

Ukuzaji fursa za Kiuchumi Afrika (Agoa), ni mpango ulioanzishwa kwa minajili ya kuziwezesha nchi za Afrika kuuza bidhaa zao Marekani.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA ELIMU AKUTANA NA BALOZI WA FALME ZA KIARABU NCHINI LEO

Waziri wa elimu na Mafunzo ya Ufundi,Mhe. Dkt. Shukuru Kawambwa (kushoto) akisalimiana na Balozi wa Falme za Kiarabu,Mh. Abdallah Ibrahim Al Suwaidi wakati alipomtembelea ofisini kwake leo. Balozi wa Falme za Kiarabu nchini Tanzania,Mh. Abdallah Ibrahim Al Suwaidi akiwa aktika mazungumzo na Waziri wa elimu na Mafunzo ya Ufundi,Mhe. Dkt. Shukuru Kawambwa,ambapo walizungumzia masuala ya ushirikiano baina ya Tanzania na Nchi ya Falme za Kiarabu katika sekta ya Elimu hasa kwa watoto.

 

10 years ago

CloudsFM

MKURUGENZI WA CLOUDS MEDIA,JOSEPH KUSAGA AKIWA LIVE KWENYE POWER BREAKFAST KUZUNGUMZIA MIAKA 15 YA CLOUDS FM

Mkurugenzi wa Clouds Media Group,Joseph Kusaga akizungumzia miaka 15 ya Clouds FM kwenye kipindi cha Power Breakfast leo na Gerald Hando,ambapo kauli mbiu ya sherehe ya mwaka huu ni #TunakufunguliaDunia #KuwaUnachotaka

 

11 years ago

Mwananchi

TBC yapata gari la kisasa la matangazo

Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), limepatiwa gari jipya la kisasa la kurushia matangazo ya nje (OB Van), ambalo kwa mara ya kwanza litatumiwa kwenye matangazo ya sherehe za miaka. 50 ya Muungano wa Tanzania kesho kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani