Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Obama na uhusiano wa Falme za Kiarabu

Rais wa Marekani Barack Obama anaongoza mkutano wa viongozi wa falme za kiarab ambao unalenga kuhakikisha uhusiano baina yao na Marekani na Iran

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YAWAREJESHA WATANZANIA 119 WALIOKWAMA FALME ZA KIARABU

T​akribani Watanzania 119 waliokuwa wamekwama katika nchi za Falme za Kiarabu wamerejea Tanzania na kutoa shukrani kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutokana na jitihada za kuwarejesha nyumbani.
Watanzania hao 119 waliokuwa wamekwama katika nchi za Falme za Kiarabu baada ya mlipuko wa ugonjwa wa COVID 19 na kusababisha mashirika mbalimbali ya ndege kufunga safari zake wamewasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere majira ya saa nane mchana kwa ndege ya shirika...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA ELIMU AKUTANA NA BALOZI WA FALME ZA KIARABU NCHINI LEO

Waziri wa elimu na Mafunzo ya Ufundi,Mhe. Dkt. Shukuru Kawambwa (kushoto) akisalimiana na Balozi wa Falme za Kiarabu,Mh. Abdallah Ibrahim Al Suwaidi wakati alipomtembelea ofisini kwake leo. Balozi wa Falme za Kiarabu nchini Tanzania,Mh. Abdallah Ibrahim Al Suwaidi akiwa aktika mazungumzo na Waziri wa elimu na Mafunzo ya Ufundi,Mhe. Dkt. Shukuru Kawambwa,ambapo walizungumzia masuala ya ushirikiano baina ya Tanzania na Nchi ya Falme za Kiarabu katika sekta ya Elimu hasa kwa watoto.

 

10 years ago

Mwananchi

Lango la biashara Falme za Kiarabu, ni fursa ya Watanzania kukuza uchumi

Ukuzaji fursa za Kiuchumi Afrika (Agoa), ni mpango ulioanzishwa kwa minajili ya kuziwezesha nchi za Afrika kuuza bidhaa zao Marekani.

 

11 years ago

Michuzi

CLOUDS MEDIA YAPATA LESENI YA URUSHAJI WA MATANGAZO KATIKA NCHI ZA FALME ZA KIARABU.


Kampuni ya Clouds Media International leo imetangaza kuwa imepewa leseni ya kurusha  matangazo  katika nchi za umoja wa falme za kiarabu (UAE).  Akielezea kuhusu leseni hiyo Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni  hiyo Bwana Joseph Kusaga, amesema  sasa kituo cha  Clouds TV kimataifa kitakuwa kikishuhudiwa na watu wa mataifa mbalimbali.
Clouds TV kimataifa ni mwendelezo wa televisheni maarufu sana kwa vijana  nchini Tanzania,  hata hivyo sehemu kubwa ya maudhui yatakayokuwemo kwenye Clouds TV...

 

10 years ago

Dewji Blog

Makamu wa rais Dkt. Bilal ahudhuria kongamano la biashara la kimataifa kwa nchi za Afrika jijini Dubai, falme za kiarabu

8

Mfanyabiashara mwenye ukwasi mkubwa Afrika, Bw. Aliko Dangote katika mazungumzo na Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal kuhusu uwekezaji wake katika kiwanda cha simenti mkoani Mtwara. Dangote alisema kazi ya ujenzi inakwenda kama ilivyopangwa na kwamba kiwanda hicho kitakuwa kikubwa kabisa kwa uzalishaji simenti katika ukanda wa Afrika Mashariki. (Picha na OMR).

9qq

Picha ya pamoja baada ya mazungumzo.

 

11 years ago

Michuzi

UBALOZI WA TANZANIA KATIKA UMOJA WA FALME ZA KIARABU (UAE) WASHEREHEKEA SHEREHE ZA MIAKA 50 MUUNGANO WA TANZANIA

Balozi wa Tanzania katika Umoja wa Falme za Kiarabu,Mhe. Mbarouk Nassor Mbarouk (kushoto) akimpokea mgeni rasmi wa sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano Tanzania, Mheshimiwa Dr. Hadef Jawa’n Al Dhaheri, Waziri wa Sheria wa UAE,katika hafla iliyofanyika hivi karibuni katika Hoteli ya Intercontinental,Abu Dhabi. Balozi Mbarouk akiwa na Chief of Protocol wa UAE Mhe. Shihab Al Faheem. Balozi Mbarouk akimuongoza Mgeni rasmi Mhe. Dr. Hadef Jawa’n Al Dhaheri, Waziri wa Sheria wa Umoja...

 

11 years ago

Mwananchi

Kiswahili na uhusiano wetu, utamaduni wa kiarabu - 3

Hebu tumalizie mada yetu tukijiuliza, je, utamaduni ni nini?

 

11 years ago

Mwananchi

Kiswahili na uhusiano wetu na utamaduni wa kiarabu

Ila wasiwasi uliowashika wanausalama wanaojua mikunjokunjo ya shuka na kanzu za ulimwengu wetu ni tafrani kali zinazoendelea Syria na Iraq. Wasiwasi wa mashushushu na wanasiasa majuu ni hatari zitakazoenezwa na migogoro hii.

 

11 years ago

Mwananchi

Kiswahili na uhusiano wetu, utamaduni wa kiarabu- 2

Wiki iliyopita tulikumbushana kwamba ugaidi siyo dini. Wanaotumia Uislamu kuua au kutimiza matakwa yao wana mustakbali tofauti na wapenda amani. Pili, ugaidi unaoendelea sasa hivi una chimbuko ndani ya mgogoro wa kipindi kirefu baina ya Wapalestina na Wayahudi. Mgogoro huu haujasuluhishwa, abadan.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani