TBC yapata kibano kingine
Wakati Wizara ya Habari ikiwa imeliagiza Shirika la Utangazaji (TBC) kuwasilisha maelezo ya kina kuhusu uamuzi wa kurusha matangazo ya moja kwa moja ya harusi ya mkazi mmoja wa Dar es Salaam, shauri hilo pia litapelekwa kwenye Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/at5DaH0Gs6nrkNSKIZhKI-F2Qy64*s8qp1Pyj0ZSoejoc7Hz*Y-6pemnS5DlOb0DFbygUVPZDyARwfdhS9nB6UCIa9M-ykMp/njemba3.gif?width=650)
NJEMBA ALA KIBANO KWA KUJIFANYA WAKALA WA MATANGAZO GLOBAL, TBC
11 years ago
Mwananchi25 Apr
TBC yapata gari la kisasa la matangazo
9 years ago
Raia Mwema02 Dec
Kibano kipya
WAMILIKI wa viwanda na mashirika ya umma yasiyopungua 17 kati ya 74 yaliyobinafsishwa kwa wawekez
Mwandishi Wetu
11 years ago
Uhuru Newspaper![](http://2.bp.blogspot.com/-S6e6zTqst5o/U-H_4uKgWrI/AAAAAAAABcI/788UN4Ujkfw/s72-c/PANDU+Ameir+Kificho.jpg)
Kibano bungeni
Posho sasa kudhibitiwa, Kiti chapewa runguKanuni kali kuwabana wajumbe watoroVinara wa zomea zomea, matusi kukiona
WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, wamependekeza kuwepo kwa kanuni kali za kuwadhibiti wanaozomea na kutoa lugha chafu ili kurejesha heshima ya bunge hilo.
Pia wamependekeza wajumbe wote wanaotoroka kuhudhuria vikao vya Bunge, kutolipwa posho za vikao pamoja na kumpa rungu mwenyekiti la kuwaadhibu wote watakaokwenda kinyume.
Mapendekezo ya mabadiliko ya kanuni hizo, yanatokana na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/aGsIBoQ0cKkNtUQMBueX8rdV*VqPQRaLHzDYs7bPFay0iexWZe7ZRTw49fM9e1drD9T*EtmxsIkPql9IrTJc9xaykMne-qEc/warembo.jpg)
WAREMBO WALA KIBANO
9 years ago
Mtanzania27 Nov
Marekani yaipa kibano Tanzania
*Yaitaka Serikali itoe maelezo uchaguzi Zanzibar, sheria ya mtandao
*Yatishia kusitisha msaada wa trilioni moja za MCC
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
MFUKO wa Changamoto za Milenia (MCC) wa Marekani umeonya kuwa hali ya kisiasa Zanzibar na tukio la hivi karibuni la watu kukamatwa chini ya sheria mpya ya uhalifu mtandaoni yanaweza kuathiri vigezo vya kuiwezesha Tanzania kupata msaada.
Katika barua ya MCC ya Novemba 19, ambayo imesainiwa na Naibu Makamu wa Rais wa Idara ya Operesheni ya...
10 years ago
Mtanzania29 May
Wabunge wampa kibano Waziri Nyalandu
Na Khamis Mkotya, Dodoma
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, jana alijikuta katika wakati mgumu baada ya wabunge wengi kushutumu utendaji wake wakisema umekuwa chanzo cha wizara hiyo kuzorota katika maendeleo.
Kwa mujibu wa wabunge hao, kitendo cha waziri huyo kushindwa kutekeleza agizo la mahakama kuhusu tozo mpya katika hoteli za utalii kimefanya Serikali kupoteza zaidi ya Sh bilioni 20 kila mwaka.
Wabunge hao pia walishangazwa na kitendo cha wizara hiyo kulazimisha mfumo wa...
10 years ago
Vijimambo27 Feb
Tibaijuka ala kibano, bado Ngeleja.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Tibaijuka-27Feb2015.jpg)
Mbunge wa Muleba Kusini (CCM), Prof. Anna Tibaijuka, alikumbana na ‘kibano’ mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma baada ya kusomewa mashtaka matatu na baraza hilo, likiwamo la kuomba fedha katika Kampuni ya VIP Consultant, inayomilikiwa na James Rugemalira, kinyume cha maadili ya viongozi wa umma.
Mashtaka mengine yanayomkabili Prof. Tibaijuka, ambaye alivuliwa Uwaziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Rais Jakaya Kikwete...
10 years ago
BBCSwahili10 May
QPR yashushwa daraja baada ya kibano