NJEMBA APOKEA KICHAPO HEVI AKIDAIWA KUMLAWITI MTOTO ARUSHA
NJEMBA mmoja ambaye ni fundi saa maeneo ya Stendi Kuu jijini Arusha leo amepokea kipigo cha mbwa mwizi baada ya kudaiwa kumlawiti mwanafunzi wa kiume wa darasa la tatu wa shule moja jijini humo. (PICHA NA GLOBAL WHATSAPP 0753 715 779)
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPLKISA HAUSIGELI, NJEMBA ALA KICHAPO
10 years ago
GPLNJEMBA ACHEZEA KICHAPO: KISA UKUWADI KWA MKE WA MTU!
11 years ago
GPL10 years ago
Habarileo09 Feb
Kortini kwa kumlawiti mtoto wake
MKAZI wa mtaa wa Migongo kata ya Migongo Halmashauri ya Mji wa Masasi mkoani Mtwara, Hajili Mpili (52) amepandishwa kizimbani katika mahakama ya wilaya ya Masasi kwa tuhuma za kumlawiti mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka tisa.
10 years ago
Mwananchi19 Jan
Jela maisha kwa kumlawiti mtoto
10 years ago
VijimamboKIJANA ANAYESADIKIKA KUWA MWIZI APOKEA KICHAPO CHA NGUVU
Laptop ambazo alikuwa amekamatwa nazo Kibaka akielezea kabla ya wananchi wenye hasira kali hawajaanza kumpa kichapo Hapa ndipo...
10 years ago
Bongo Movies26 Dec
TETESI:Patcho Mwamba Apokea Kichapo Kizito Baada ya Kufumaniwa na Mke wa Mtu
Inasemekana kuwa mwigizaji na mwanamuziki wa Dansi Patcho Mwamba, amepewa kipigo cha nguvu hadi kumvimbisha uso kama unavyomuona hapo juu, baada ya kufumaniwa na mke wa mtu.
Habari hizi zinaenea kwa kasi zaidi mtandaoni kama moto wa vifuu…hakuna taarifa rasmi juu ya kinanani ,na wapi hasa tukilo hilimetokea,japokuwa inasemekanai ni siku ya krismas (jana) .Hadi sasa sio Patcho mwenyewe au watu wake wakaribu hawajajitokeza kukanusha taarifa hizi.
11 years ago
Mwananchi09 Jan
Nguvuni akidaiwa kuiba mtoto
10 years ago
Habarileo16 Aug
Kizimbani akidaiwa kunajisi mtoto
MKAZI wa Kinondoni Msisiri jijini Dar es Salaam, Ally Mzaki (27) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, kujibu mashitaka ya kumnajisi mtoto wa miaka mitano.