Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kinana anywa chai nyumbani kwa balozi wa shina, ala msosi kwa mama lishe Iringa

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipata mlo nyumbani kwa Balozi Lucas Mtumbuka (kushoto)wa Shina namba moja eneo la Mkimbizi, alipokwenda kumtembelea yeye na wananchama wake wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM, Jimbo la Iringa Mjini.PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG

 Kinana akichukua mhogo ambao ni sehemu ya vyakula alivyoandaliwa na balozi.

 Watoto wakipanda kwenye uzio wa nyumba ili wapate...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KINANA ANYWA CHAI NYUMBANI KWA BALOZI WA SHINA, MSOSI WA MCHANA KWA MAMA LISHE IRINGA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipata mlo nyumbani kwa Balozi Lucas Mtumbuka (kushoto)wa Shina namba moja eneo la Mkimbizi, alipokwenda kumtembelea yeye na wananchama wake wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM, Jimbo la Iringa Mjini.PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG Kinana akichukua mhogo ambao ni sehemu ya vyakula alivyoandaliwa na balozi. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

KINANA AMTEMBELEA BALOZI KOMBO WA SHINA LA CCM TANGA

 Balozi wa Shina la CCM namba 1, jijini Tanga, Kombo Mbwana akiwa haamini macho yake alipokuwa akimlaki Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana aliyemtembelea balozi huo nyumbani kwake ambapo watu waliokuwa kwenye msafara walipata mlo wa mchana juzi. Kinana amehitimisha ziara ya siku 11 mkoani Tanga, ambapo alisafiri zaidi ya Km 3000, kukagua miradi 72 na kuhutubia mikutano 76 katika majimbo yote 11 ya mkoa huo. Kinana akizungumza na wananchama wa CCM nyumbani kwa Balozi Kombo Mbwana jijini...

 

5 years ago

Michuzi

JAFO AWAPONGEZA KISARAWE KWA UBUNIFU WA TAMASHA LA MAMA LISHE, ATOA MAAGIZO KWA WAKURUGENZI WOTE

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo, ameipongeza Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani kwa kuandaa Tamasha la Mama Lishe ikiwa ni sehemu ya kutambua na kuthamini mchango wa mama lishe katika kuleta maendeleo.

Jafo ametumia nafasi hiyo kuwataka wakurugenzi wa halmashiri zote nchini ambao wataoshindwa kutoa asilimia 10 ya mapato ya ndani kwa ajili ya mikopo ya wanawake, walemavu na vijana watachukuliwa hatua ikiwemo ya kutumbuliwa.
Akizungumza...

 

10 years ago

Vijimambo

PATA TASWIRA CHAI YA EID AL FITR NYUMBANI KWA TAHIR BILAL BROOKLYN NEW YORK

 Akina baba wakijiandalia kifungua kinywa baada ya sala ya Eid Al fitr nyumbani kwa Bilal Brooklyn,  Bilal aliwakaribisha Watanzania wa New York kufika kwake na kujipatia kifungua kichwa hicho pamoja na familia yake.
Meza ilipendeza kwa chakula cha Kitanzania chenye asiri  na nakish nakish ya visiwa vya karafuu. Akina mama nao wakijiandanilia maanjumanti kwa ajili ya kifungua kinywa.Mama mwenye nyumba wa Bilal akiwaongoza akina mama kujiandalia chakula.
 Mdhamini wa pendo wa Tahil Bilal, Mama...

 

5 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA ASAS YATOA MSAADA KWA MAMA LISHE


NA DENIS MLOWE-IRINGA
Katika kuendelea na mapambano dhidi ya kuenea kwa virusi vya corona nchini kampuni Asas yenye makao makuu mkoani Iringa imegawa msaada wa barakoa 500 kwa mama lishe wanaofanya biashara zao katika masoko matano yaliyoko manispaa ya Iringa kwa ajili ya kujinga na Virusi Vya Corona.
Msaada huo umetolewa kwa mama lishe hao ikiwa ni juhudi za kampuni hiyo kuungana na serikali katika kutokomeza kuenea kwa virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa wa Covid 19 ambao umekuwa...

 

11 years ago

Michuzi

KINANA AZURU NYUMBANI KWA MAREHEMU DK. MGIMWA

 Katibu Mkuuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimsalimia Mama Mzazi wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa, Consolata Mgovano, alipokwenda nyumbani kwa marehemu Mgimwa, Kijiji cha Magunga, jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini, leo jioni. Wengine ni watoto wa marehemu Mgimwa, Stanisla Mgimwa, na Rozalina Mgimwa.  Kinana akizungumza na familia huyo ya marehemu Mgimwa. Wapili kushoto ni Johakim Mgimwa  Kinana akimuaga Mama Mgimwa baada ya mazungumzo  Kinana akiaga  Mmoja wa wanafamilia...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kinana ahitimisha ziara kwa kishindo Iringa

 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akihutubia huku mkono wake ukiwa umefungwa POP, katika mkutano wa hadhara katika viwanja vya Mwembetogwa, mjini Iringa jana kuhitimisha ziara  ya siku sita mkoani Iringa ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.

02

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akihutubia katika mkutano na wa hadhara katika viwanja vya Mwembetogwa, mjini Iringa leo  wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani