Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMPUNI YA ASAS YATOA MSAADA KWA MAMA LISHE


NA DENIS MLOWE-IRINGA
Katika kuendelea na mapambano dhidi ya kuenea kwa virusi vya corona nchini kampuni Asas yenye makao makuu mkoani Iringa imegawa msaada wa barakoa 500 kwa mama lishe wanaofanya biashara zao katika masoko matano yaliyoko manispaa ya Iringa kwa ajili ya kujinga na Virusi Vya Corona.
Msaada huo umetolewa kwa mama lishe hao ikiwa ni juhudi za kampuni hiyo kuungana na serikali katika kutokomeza kuenea kwa virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa wa Covid 19 ambao umekuwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Asas Dairies Ltd kwa mwaka wa tatu mfululizo yashikilia tuzo ya ubora, yazibwaga kampuni kongwe

Afisa masoko wa kampuni hiyo ya Asas Dairies Ltd Bw Jimmy Kiwelu (kulia)  akiwa na   wafanyakazi  wenzake baada ya  kutwaa tuzo ya ubora ya Kitaifa katika  bidhaa za Asas Dairies Ltd. Hii  ndio kampuni  iliyoweza  kushinda tuzo ya  ubora.

Medali  ,vyeti na  tuzo  ya ushindi ambayo kampuni ya Asas Dairies Ltd imeshinda  tena  mwaka huu katika maonyesho ya maziwa mkoani Mara.

blogger-image--1075361007

Vyeti na medali tatu ambazo kampuni ya Asas Dairies Ltd imeshinda  tena.

Baadhi ya  bidhaa za kampuni ya Asas...

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA ASAS DAIRIES LTD KWA MWAKA WA TATU MFULULIZO YASHIKILIA TUZO YA UBORA ,YAZIBWAGA KAMPUNI KONGWE TENA WAZIRI KAMANI APONGEZA

Afisa masoko wa kampuni hiyo ya Asas Dairies Ltd Bw Jimmy Kiwelu (kulia)  akiwa na   wafanyakazi  wenzake baada ya  kutwaa tuzo ya ubora ya Kitaifa katika  bidhaa za Asas Dairies Ltd 
Hii  ndio kampuni  iliyoweza  kushinda tuzo ya  uboraMedali  ,vyeti na  tuzo  ya ushindi  ambayo kampuni ya Asas Dairies Ltd imeshinda  tena  mwaka huu katika maonyesho ya maziwa mkoani Mara.Kwa habari kamili BOFYA HAPA

 

11 years ago

GPL

KAMPUNI YA AIRTEL YATOA MSAADA WA SAMANI KWA OFISI YA USALAMA BARABARANI‏

Ofisa Uhusiano na Matukio wa Airtel Tanzania, Dangio Kaniki (kulia) akiteta na Afisa Mnadhimu wa Polisi  Kinondoni,  Bibie Juma Athumani (wa kwanza kushoto) baada ya Airtel kukabidhi viti na meza kwa ajili ya polisi wa kituo cha Oysterbay hivi karibuni. Wanaoshuhudia ni baadhi ya maofisa wa Polisi wa kituo hicho.
Ofisa Uhusiano na Matukio wa Airtel Tanzania, Dangio Kaniki (kulia) akisalimiana na Afisa Mnadhimu wa...

 

11 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA EXCEL YATOA MSAADA KWA KITUO CHA WATOTO YATIMA DAR

Kampuni ya EMOC imetoa msaada Kwa watoto yatima katika kituo cha New Life Orphanage Home kilichopo kigogo ambacho ni makao makuu ya kituo cha watoto yatima. New Life Orphanage Home ni kituo ambacho kimejitolea kulea watoto yatima wasiojiweza tangu mwaka 1998.
New Life Orphanage Home kilianzishwa Magomeni mwaka 1998 Kwa lengo la kusaidia watoto yatima, na kilianza na watoto 18 tu. New Life Orphanage Home kimefanikiwa kufungua kituo kikubwa zaidi Kigogo iliopo wilaya ya Kinondoni na kuwa...

 

5 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA PLANET YATOA MSAADA WA VITAKASA MIKONO KWA SERIKALI KATIKA KUPAMBANA NA COVID 19


Katibu Tawala wa mkoa wa Arusha Richard Kwitega akipokea vifaa vya hivyo vya kutakasa mikono kutoka kwa Meneja wa kampuni ya Planet phamasetcal limited,Joseph Lekumok ikiwa ni katika kusaidiana na Serikali kutatua Janga la Ugonjwa wa Covid 19 kwenye ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Arusha

Katibu Tawala wa mkoa wa Arusha Richard Kwitega akiongea na wadau waliofika kutoa msaada wa vifaa vya kukabiliana na Ugonjwa wa Covid 19 ikiwemo Dawa ya kuulia bacteria Maalum ya kunawa mikono kwenye ofisi...

 

5 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA UUZAJI VIFAA VYA UJENZI FMJ YATOA MSAADA WA VITAKASA MIKONO KWA WAANDISHI WA HABARI ...YATUMA UJUMBE KWA WAJENZI


Na Said Mwishehe, Michuzi TV

KATIKA kuunga mkono juhudi za Serikali KUHUSU mapambano ya kupunguza kuenea Kwa ugonjwa wa Covid-19,Kampuni ya uuzaji wa vifaa vya ujenzi ya FMJ Hard Ware Lmt iliyopo Buguruni Kisiwani jijini Dar es Salaam imetoa msaada wa vitakasa mikono kwa vyombo vya habari.

Uongozi wa Kampuni hiyo umesema unatambua kazi kubwa inaayofanywa na vyombo vya habari hasa katika utoaji wa elimu na kuhabarisha umma kuhusu Corona, hivyo wameona haja ya kuwawezesha vitakasa mikono...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Pan African Energy yatoa msaada wa mifuko 1500 ya Saruji kwa wilaya ya Kilwa

IMG_1708

Meneja wa Uwajibikaji na Huduma za Jamii wa Kampuni ya uchimbaji wa gesi ya Pan African Energy, Andrew Kashangaki (kwanza kushoto) akimkabidhi Kaimu Mkurugenzi wa Wilaya ya Kilwa Peter Malekela (kulia) msaada wa saruji 1,500 yenye thamani ya shilingi milioni 18 kwa halmashauri ya wilaya ya Kilwa, Lindi ili kuwezesha ujenzi wa maabala 59 katika shule zake za sekondari zipatazo 24. Pembeni wanaoshuhudia ni viongozi wa halmashauri hiyo na wafanyakazi wa Kampuni ya uchimbaji wa gesi ya Pan...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani