Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KINANA AZURU NYUMBANI KWA MAREHEMU DK. MGIMWA

 Katibu Mkuuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimsalimia Mama Mzazi wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa, Consolata Mgovano, alipokwenda nyumbani kwa marehemu Mgimwa, Kijiji cha Magunga, jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini, leo jioni. Wengine ni watoto wa marehemu Mgimwa, Stanisla Mgimwa, na Rozalina Mgimwa.  Kinana akizungumza na familia huyo ya marehemu Mgimwa. Wapili kushoto ni Johakim Mgimwa  Kinana akimuaga Mama Mgimwa baada ya mazungumzo  Kinana akiaga  Mmoja wa wanafamilia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

NI VILIO, SIMANZI NYUMBANI KWA MAREHEMU RECHO

Miili ya marehemu Recho na mwanae ikiwasili nyumbani kwa marehemu eneo la Palestina jijini Dar.…

 

11 years ago

GPL

MATUKIO YA NYUMBANI KWA MAREHEMU GURUMO LEO

Wawakilishi wa Global Publishers, Sifael Paul (anayeandika kwenye daftari) na Elvan Stambuli mwenye kizibao, wakiandika mchango wa Kampuni ambao ni shilingi 500,000 kabla ya kuwakabidhi ndugu wa marehemu Muhidini Gurumo leo jioni nyumbani kwa marehemu Makubuli, Dar, leo. Atazikwa kesho Masaki, Kisarawe. Mwakilishi wa Global Publishers,  Elvan Stambuli akimkabidhi mjomba wa marehemu Muhidini Gurumo, Yahya… ...

 

11 years ago

GPL

YALIYOJIRI JANA NYUMBANI KWA MAREHEMU MAALIM GURUMO

Picha ya marehemu maalim Gurumo enzi za uhai wake akiwa na mkewe. Ndugu wa marehemu Gurumo wakiwa katika picha ya pamoja, kuanzia kushoto ni mtoto wake Mwalimu Muhidin, Mariamu Muhidin na Omari Muhidin anayefuatia ni kaka wa marehemu bwana Ramadhani Mwishehe.…

 

11 years ago

GPL

BAADHI YA WAOMBOLEZAJI WAKIWA NYUMBANI KWA MAREHEMU GEOGRE TYSON

Baadhi ya wafanyakazi wa TV1 wakiwasili msibani.
Wafanyakazi wa TV1 wakiwa nyumbani kwa marehemu.
Waombolezaji.…

 

11 years ago

GPL

MATUKIO NYUMBANI KWA MAREHEMU KUAMBIANA ‘BUNJU B’ DAR

Kaka wa marehemu Adamu aitwaye Hassani Kuambiana. Rafiki na meneja wa Kuambiana, aliyejulikana kwa jina moja la Mushi akitoa shukrani kwa niaba ya familia.…

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete atoa pole nyumbani kwa marehemu Jaji Mstaafu Lewis Makame

jm1

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kutoa pole nyumbani kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kwanza wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu, Mheshimiwa Lewis Makame Masaki jijini Dar es salaam aliyefariki  katika Hospitali ya AMI Trauma Centre Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Agosti, 2014.

jm2

Mama Salma Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kutoa pole nyumbani kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kwanza wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani