MATUKIO YA NYUMBANI KWA MAREHEMU GURUMO LEO
Wawakilishi wa Global Publishers, Sifael Paul (anayeandika kwenye daftari) na Elvan Stambuli mwenye kizibao, wakiandika mchango wa Kampuni ambao ni shilingi 500,000 kabla ya kuwakabidhi ndugu wa marehemu Muhidini Gurumo leo jioni nyumbani kwa marehemu Makubuli, Dar, leo. Atazikwa kesho Masaki, Kisarawe. Mwakilishi wa Global Publishers, Elvan Stambuli akimkabidhi mjomba wa marehemu Muhidini Gurumo, Yahya… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLYALIYOJIRI JANA NYUMBANI KWA MAREHEMU MAALIM GURUMO
11 years ago
GPLMATUKIO NYUMBANI KWA MAREHEMU KUAMBIANA ‘BUNJU B’ DAR
10 years ago
Dewji Blog02 Mar
Matukio ya picha za viongozi waliofika nyumbani kwa Capt. Komba kuifariji familia ya marehemu
![](http://3.bp.blogspot.com/-MRKr5I6hqbk/VPLwRB2DHGI/AAAAAAAAXR4/kLGUxhAAZQA/s1600/01.jpg)
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa marehemu Kapteni John Komba aliyefariki jioni ya tarehe 28 februari 2015 jijini Dar es salaam,kushoto ni mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Salma Kikwete.
![](http://2.bp.blogspot.com/-pQR_0NHP4yI/VPLweBGGqWI/AAAAAAAAXSg/syLMj8WITXg/s1600/02.jpg)
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole mke wa marehemu Kapteni John Komba nyumbani kwake Mbezi Tangi Bovu
![](http://1.bp.blogspot.com/-0hl16ZHxPME/VPLwhFv9rcI/AAAAAAAAXSo/GQUNfPmfpDc/s1600/07.jpg)
Wasanii wa TOT wakilia...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-tH0GFV2LoVI/U1Ttc_y4QmI/AAAAAAAFcJ0/hVrptSoOfo8/s72-c/IMG-20140421-WA0007.jpg)
Maendeleo ya Msiba wa Mhe. Moshi Mussa Chang'a,nyumbani kwa marehemu Mbagala jijini Dar leo
![](http://3.bp.blogspot.com/-tH0GFV2LoVI/U1Ttc_y4QmI/AAAAAAAFcJ0/hVrptSoOfo8/s1600/IMG-20140421-WA0007.jpg)
Msiba upo nyumbani kwa Marehemu,eneo la Mbagala jijini Dar es Salaam ambapo taratibu zote zinafanyika hapo.
Taarifa za awali zinaeleza kwamba Shughuli ya kuaga...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-SyHpgjNrXGk/U0vu4FrWxSI/AAAAAAAFalw/yDQAWKSkvkc/s72-c/1.jpg)
MAENDELEO YA MSIBA WA MZEE MUHIDIN MAALIM GURUMO NYUMBANI KWAKE MABIBO MCHANA WA LEO
![](http://1.bp.blogspot.com/-SyHpgjNrXGk/U0vu4FrWxSI/AAAAAAAFalw/yDQAWKSkvkc/s1600/1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-M7Ibwx6ZZfY/U0vv12zxvJI/AAAAAAAFamw/jg7EwqwBnxs/s1600/2.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-HSFHD28Zqzk/VXnQA4HrNtI/AAAAAAADrG8/jLpPJt0s-zk/s72-c/unnamed.jpg)
TAARIFA YA MSIBA NEW YORK NA TANZANIA, LEO NI SIKU YA MWISHO MWILI WA MAREHEMU UNAPUMZISHWA KWENYE NYUMBA YA MILELE HUKO TANZANIA, WATANZANI TUTAKUTANA NYUMBANI KWA DR TEMBA
![](http://2.bp.blogspot.com/-HSFHD28Zqzk/VXnQA4HrNtI/AAAAAAADrG8/jLpPJt0s-zk/s320/unnamed.jpg)
Alizaliwa Uru Shimbwe na alikuwa Mwalimu Lyamungu Secondary School, Moshi Kilimamjaro Tanzania.
Jumuiya ya Watanzania New York,New Jersey,Connecticut na Pennsylvania kwa Masikitiko makubwa tunaungana na Mweka na Mweka Hazina wetu Dr.Temba kutangaza kifo cha Kaka yake mpenzi Mzee Flavian Temba kilichotokea ghafla usiku wa June 10,2015 katika Hospitali ya Mawenzi Moshi Kilimanjaro, Tanzania. Kama ilivyo desturi yetu wanajumuiya tuungane na Dr.Temba...
11 years ago
Michuzi03 Feb
KINANA AZURU NYUMBANI KWA MAREHEMU DK. MGIMWA
![](https://3.bp.blogspot.com/-Uq4d6M7O528/Uu_Sg6VGZWI/AAAAAAAAje8/BgjOLDtcyJY/s1600/1.+Kinana+akimsalimia+Mama+wa+Mgimwa.jpg)
![](https://4.bp.blogspot.com/-TlJF4wrvNdo/Uu_SiqTuOMI/AAAAAAAAjfE/rZfDyRU0XBA/s1600/2.+Kinana+akizungumza+na+familia+ya+Mgimwa.jpg)
![](https://3.bp.blogspot.com/-6TPqJis_G9s/Uu_SkXJgRjI/AAAAAAAAjfM/cTGvGoWO6_c/s1600/3.+Kinana+akimuaga+mama+Mgimwa.jpg)
![](https://3.bp.blogspot.com/-jnW5O9SubyY/Uu_SpS2jk7I/AAAAAAAAjfU/ZEWye1hiLgs/s1600/4.+Kinana+akimsemesha+Mama+Mgimwa.jpg)
![](https://4.bp.blogspot.com/-zrWi9M1SDVU/Uu_SrT7N9iI/AAAAAAAAjfc/2FQXGEIWu5g/s1600/5.+Kilio+tena+nyumbani+mwa+mgimwa.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ToQMaI9f*6JBqD9ldCPnGpbrlI2LiVYy0iuFpGB10gxydG86m1cZnj-bwWQvUYNWz5l*MNYcEmb8Rd89gphZ3mvIMY-rdnSd/IMG20140529WA0018.jpg?width=650)
NI VILIO, SIMANZI NYUMBANI KWA MAREHEMU RECHO