PATA TASWIRA CHAI YA EID AL FITR NYUMBANI KWA TAHIR BILAL BROOKLYN NEW YORK
Akina baba wakijiandalia kifungua kinywa baada ya sala ya Eid Al fitr nyumbani kwa Bilal Brooklyn, Bilal aliwakaribisha Watanzania wa New York kufika kwake na kujipatia kifungua kichwa hicho pamoja na familia yake.
Meza ilipendeza kwa chakula cha Kitanzania chenye asiri na nakish nakish ya visiwa vya karafuu. Akina mama nao wakijiandanilia maanjumanti kwa ajili ya kifungua kinywa.Mama mwenye nyumba wa Bilal akiwaongoza akina mama kujiandalia chakula.
Mdhamini wa pendo wa Tahil Bilal, Mama...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboKIFUNGUA KINYWA CHA EID EL FITR NYUMBANI KWA BILAL BROOKLYN KARIBU SAA 2 ASUBUHI
10 years ago
VijimamboBAADA YA SWALA YA EID UL'HAJJ WAISLAM NEW YORK MNAKARIBISHWA NYUMBANI KWA BILAL BROOKLYN
BAADA YA SWALA YA EID UL’HAJJ BILAL ANAWAKARIBISHA WAISLAM WOTE WA NEW YORK NYUMBANI KWAKE BROOKLYN KWA AJILI YA KIFUNGUA KINYWA NA CHAKULA. UKISOMA UJUMBE HUU MWAMBIE NA MWENZIO KUANZIA ASUBUHI NA KUENDELELEA. ADDRESS NI 341 LOGAN ST APT F2. BROOKLYN.NY 11208KWA WALE WAPENDA BIRIYANI BILAL NDIYO DR WA MAPICHI HAYO HAPA AKIFANYA VITU VYAKE.
9 years ago
VijimamboWATANZANIA WAJITOKEZA NYUMBANI KWA NY EBRA BROOKLYN. NEW YORK KUMPA POLE KWA KUFIWA NA DADA YAKE HUKO TANZANIA
Jumuiya ya Watanzania New York New Jersey,Connecticut na Pennsylvania inasikitika kuungana na Ebra Nyagaly wa Vijimambo New York kutangaza msiba wa dada yake Mpenzi Asha Nyagaly kilichotokea Dar es Salaam, Tanzania. Dada amekutwa na mauti nyumbani baada ya kuzidiwa ghafla akitokea hospitali alipokwenda kupata matibabuKwa sasa unaweza kumpigia simu Ebra NY na kumpa pole simu 347 475 4313
Msiba utakuwa nyumbani kwaEbra702 E 37th St,Brooklyn, NY
Mwenye Enzi Mungu amsameh Marehemu makosa yake na...
10 years ago
VijimamboTASWIRA YA EID AL FITR DMV
10 years ago
VijimamboSHEREHE ZA EID UL-FITR NEW YORK SATURDAY JULY
Waumini wa dini ya kiislam New York wanawaalika Watanzania waishiomaeneo ya New York na vitongoji vyake kuhudhuria tafrija iliyoandaliwakwa ajili ya kuadhimisha kukamilika kwa mfungo wa Mwezi mtukufu waRamadhan.Tunaombwa kufika kwa wakati ili tuweze kujipa na kuwapa watoto wetumuda wa kutosha wa kusherehekea siku hii adhimu.Tunaomba ushirikianowa kila mmoja wetu ili tufanikishe Sherehe yetu.
VENUE:PACIFIC HALL3038 Atlantic Av.Brooklyn,NY,11208Between Essex/Shepherd.
Shukran.
9 years ago
VijimamboTASWIRA YA EID AL ADHA NEW YORK
Sherehe za Eid Al hajj New York Watanzania walikutana kusherehekea kwa chakula na zawadi za michezo ya watoto. Kama unavyo ona Shekhe akiongea mbele ya Watanzania hao walio kuwa wamejumuhika na familia zao kwenye ukumbi wa Madina Hall Brooklyn New York. Kwa taswira zaidi ya mambo alivyokuwa nenda kwenye soma zaidi.
10 years ago
VijimamboTASWIRA YA SHEREHE ZA EID MUBAKAH NEW YORK
Naibu Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa Balozi Ramadhan Mwinyi Muombwa ndiyo alikuwa mgeni rasmi kwenye sherehe hiyo ya Eid Mubarah, hapa Mh. akiongea mbele ya Watanzania kutoka sehemu mbalimbali kama New Jersey, Boston, Philadelphia, Connecticut na New York yenyewe.Katika sherehe hizo watu walipata chakula cha jioni na watoto kupatiwa zawadi za michezo mbali mbali.
Mwenyekiti wa tawi la CCM New York Bwana Seif Akida akiongea machache.
Mwenyekiti wa NYTC Bwana Haji Khamis...
11 years ago
Michuzi26 Jul
TTCL Yatoa Zawadi ya Eid El Fitr kwa Yatima Dar
Msaada huo wenye jumla ya thamani ya shilingi milioni 3 umekabidhiwa na Meneja wa TTCL, Dar es Salaam Kati, Jane Mwakalebela kwa niaba ya Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, ambaye alisema utaratibu huo ni wakawaida kwa kampuni yao kusaidia makundi na taasisi na...
11 years ago
GPLKAMPUNI YA TTCL YATOA ZAWADI YA EID EL FITR KWA YATIMA DAR