TASWIRA YA SHEREHE ZA EID MUBAKAH NEW YORK
Naibu Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa Balozi Ramadhan Mwinyi Muombwa ndiyo alikuwa mgeni rasmi kwenye sherehe hiyo ya Eid Mubarah, hapa Mh. akiongea mbele ya Watanzania kutoka sehemu mbalimbali kama New Jersey, Boston, Philadelphia, Connecticut na New York yenyewe.Katika sherehe hizo watu walipata chakula cha jioni na watoto kupatiwa zawadi za michezo mbali mbali.
Mwenyekiti wa tawi la CCM New York Bwana Seif Akida akiongea machache.
Mwenyekiti wa NYTC Bwana Haji Khamis...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboTASWIRA YA EID AL ADHA NEW YORK
Sherehe za Eid Al hajj New York Watanzania walikutana kusherehekea kwa chakula na zawadi za michezo ya watoto. Kama unavyo ona Shekhe akiongea mbele ya Watanzania hao walio kuwa wamejumuhika na familia zao kwenye ukumbi wa Madina Hall Brooklyn New York. Kwa taswira zaidi ya mambo alivyokuwa nenda kwenye soma zaidi.
10 years ago
VijimamboSHEREHE ZA EID UL-FITR NEW YORK SATURDAY JULY
Waumini wa dini ya kiislam New York wanawaalika Watanzania waishiomaeneo ya New York na vitongoji vyake kuhudhuria tafrija iliyoandaliwakwa ajili ya kuadhimisha kukamilika kwa mfungo wa Mwezi mtukufu waRamadhan.Tunaombwa kufika kwa wakati ili tuweze kujipa na kuwapa watoto wetumuda wa kutosha wa kusherehekea siku hii adhimu.Tunaomba ushirikianowa kila mmoja wetu ili tufanikishe Sherehe yetu.
VENUE:PACIFIC HALL3038 Atlantic Av.Brooklyn,NY,11208Between Essex/Shepherd.
Shukran.
10 years ago
VijimamboPATA TASWIRA CHAI YA EID AL FITR NYUMBANI KWA TAHIR BILAL BROOKLYN NEW YORK
Meza ilipendeza kwa chakula cha Kitanzania chenye asiri na nakish nakish ya visiwa vya karafuu. Akina mama nao wakijiandanilia maanjumanti kwa ajili ya kifungua kinywa.Mama mwenye nyumba wa Bilal akiwaongoza akina mama kujiandalia chakula.
Mdhamini wa pendo wa Tahil Bilal, Mama...
11 years ago
Michuzi10 Feb
TASWIRA YA SHEREHE YA KUZALIWA CCM TAWI LA NEW YORK
10 years ago
VijimamboTASWIRA YA VIVAZI VILIVYO TAMBA KWENYE SHEREHE YA MIAKA 38 YA KUZALIWA KWA CCM ZILIZOFANYIKA NEW YORK
9 years ago
VijimamboSHEREHE ZA EID AL HAJJ NEW YORK SIKU YA SEPTEMBER 24 SIKU YA ALHAMIS KUANZIA SAA 7 MCHANA HADI 4 USIKU
Jumuiya ya Waislam Watanzania wa NY, NJ, CT MA, PA na DE (NEMTA) ina furaha kuwaalika Watanzania wote wanaishio katika majimbo tajwa kuhudhuria tafrija ya kusherehekea Eid Al Hajj. Ndugu waalikwa tunawaomba kufika kwa wakati ili tuweze kufaidika na kuwafaidisha watoto wetu kusherehekea siku hii adhimu. Kuhudhuria kwako itakuwa ni ushirikiano mkubwa katika kufanikisha sherehe hii. Mahala husika ambapo sherehe itafanyika ni Madina Hall Kuanzia saa 7 Mchana hadi 4 usiku Watanzania wote...
10 years ago
VijimamboTASWIRA YA EID AL FITR DMV
9 years ago
VijimamboSHEREHE YA EID DMV
11 years ago
Dewji Blog30 Jul
Sherehe za Eid DMV
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiongea na mmoja wa Watanzania wa DMV(kulia) wakati sherehe ya Eid iliyofanyika Wheaton, Maryland nchini Marekani siku ya Jumatatu July 28, 2014 na kuhudhuliwa na Watanzania wa DMV na marafiki zao, katikati ni afisa wa maswala ya uhamiaji Bwn. Abbas Missana.
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watanzania wa DMV na marafiki zao waliohudhuria sherehe ya Eid...