Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHEREHE ZA EID UL-FITR NEW YORK SATURDAY JULY


Waumini wa dini ya kiislam New York wanawaalika Watanzania waishiomaeneo ya New York na vitongoji vyake kuhudhuria tafrija iliyoandaliwakwa ajili ya kuadhimisha kukamilika kwa mfungo wa Mwezi mtukufu waRamadhan.Tunaombwa kufika kwa wakati ili tuweze kujipa na kuwapa watoto wetumuda wa kutosha wa kusherehekea siku hii adhimu.Tunaomba ushirikianowa kila mmoja wetu ili tufanikishe Sherehe yetu.
VENUE:PACIFIC HALL3038 Atlantic Av.Brooklyn,NY,11208Between Essex/Shepherd.
Shukran.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

SHEREHE ZA EID EL FITR DMV

Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiongea na mmoja wa Watanzania wa DMV(kulia) wakati sherehe ya Eid iliyofanyika Wheaton, Maryland nchini Marekani siku ya Jumatatu July 28, 2014 na kuhudhuliwa na Watanzania wa DMV na marafiki zao, katikati ni afisa wa maswala ya uhamiaji Bwn. Abbas Missana.Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watanzania wa DMV na marafiki zao waliohudhuria sherehe ya Eid iliyofanyika...

 

10 years ago

Vijimambo

UNAKARIBISHWA KWENYE SHEREHE ZA EID EL FITR ZA PAMOJA DMV


Asalam Alaykum  Uongozi wa Tanzanian Muslims Community of Washington DC Metro (TAMCO) Una Furaha Kuwakaribisha  WaTanzania Wote katika Sherehe za Eid El Fitr, kuadhimisha Kumaliza kwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Zitakazo Fanyika (Inategemea Kuandama kwa Mwezi)


Friday July 17, 2015


1.     Chai ya Asubuhi ya Pamoja, Baada ya Salat El Eid

Kuanzia Saa Tatu Asubuhi – Saa Nane Mchana 9AM-2PM


Wheaton Claridge Park 11901 Claridge Road

Wheaton,  MD 20902


2.     Sherehe za Eid za Jioni  

Kuanzia Saa Kumi na...

 

10 years ago

Vijimambo

PATA TASWIRA CHAI YA EID AL FITR NYUMBANI KWA TAHIR BILAL BROOKLYN NEW YORK

 Akina baba wakijiandalia kifungua kinywa baada ya sala ya Eid Al fitr nyumbani kwa Bilal Brooklyn,  Bilal aliwakaribisha Watanzania wa New York kufika kwake na kujipatia kifungua kichwa hicho pamoja na familia yake.
Meza ilipendeza kwa chakula cha Kitanzania chenye asiri  na nakish nakish ya visiwa vya karafuu. Akina mama nao wakijiandanilia maanjumanti kwa ajili ya kifungua kinywa.Mama mwenye nyumba wa Bilal akiwaongoza akina mama kujiandalia chakula.
 Mdhamini wa pendo wa Tahil Bilal, Mama...

 

10 years ago

Michuzi

Coventry Muslim Swahili Association (COMSWA) wafanikisha swala na sherehe za Eid el Fitr

BismiLlahi Rahman Rahiim, Asalam Alaikum WarahmatuLlwahi Wabarakaatuh...Coventry Muslim Swahili Association (COMSWA) ambayo ni jumuiya ya Waislam wanaozungumza ki- Swahili nchini Uingereza (United Kingdom) hatimaye wameweza kwa mafanikio makubwa kusherehekea Eidil fitr ugenini kama walivyozoweya kusherehekea wakiwa nyumbani. Mafanikio hayo yamekuja ktk kipindi ambacho yalihitajika sana kwa ajili ya kufundisha vizazi vyao maadili mema ambayo yanakwenda sambamba na malengo ya dini yao na...

 

10 years ago

Vijimambo

TASWIRA YA SHEREHE ZA EID MUBAKAH NEW YORK


Naibu Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa Balozi Ramadhan Mwinyi Muombwa ndiyo alikuwa mgeni rasmi kwenye sherehe hiyo ya Eid Mubarah, hapa Mh.  akiongea mbele ya Watanzania kutoka sehemu mbalimbali kama New Jersey, Boston, Philadelphia, Connecticut na New York yenyewe.Katika sherehe hizo watu walipata chakula cha jioni na watoto kupatiwa zawadi za michezo mbali mbali.
Mwenyekiti wa tawi la CCM New York Bwana Seif Akida akiongea machache.
Mwenyekiti wa NYTC Bwana Haji Khamis...

 

9 years ago

Vijimambo

SHEREHE ZA EID AL HAJJ NEW YORK SIKU YA SEPTEMBER 24 SIKU YA ALHAMIS KUANZIA SAA 7 MCHANA HADI 4 USIKU


Jumuiya ya Waislam Watanzania wa NY, NJ, CT MA, PA na DE (NEMTA) ina furaha kuwaalika Watanzania wote wanaishio katika majimbo tajwa kuhudhuria tafrija ya kusherehekea Eid Al Hajj. Ndugu waalikwa tunawaomba kufika kwa wakati ili tuweze kufaidika na kuwafaidisha watoto wetu kusherehekea siku hii adhimu. Kuhudhuria kwako itakuwa ni ushirikiano mkubwa katika kufanikisha sherehe hii. Mahala husika ambapo sherehe itafanyika ni Madina Hall Kuanzia saa 7 Mchana hadi 4 usiku  Watanzania wote...

 

10 years ago

Vijimambo

TASWIRA YA EID AL FITR DMV

 Watanzania wakipata ukodak wa kumbumbuku baada ya sala na chakula cha Eid Al Fitr vyote kwa pamoja vilifanyika ndani ya New Masji, Good Luck Rd Lanham. MD.

 

10 years ago

BBC

Eid al-Fitr celebrated across Africa

Muslims across Africa are celebrating Eid al-Fitr at the end of the holy fasting month of Ramadan.

 

10 years ago

BBCSwahili

Usalama wakati wa Eid El Fitr, Mombasa

Idara za usalama nchini Kenya, zimebuni mikakati kabambe, kudumisha hali ya usalama wakati wa siku kuu ya Eid.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani