BAADA YA SWALA YA EID UL'HAJJ WAISLAM NEW YORK MNAKARIBISHWA NYUMBANI KWA BILAL BROOKLYN
BAADA YA SWALA YA EID UL’HAJJ BILAL ANAWAKARIBISHA WAISLAM WOTE WA NEW YORK NYUMBANI KWAKE BROOKLYN KWA AJILI YA KIFUNGUA KINYWA NA CHAKULA. UKISOMA UJUMBE HUU MWAMBIE NA MWENZIO KUANZIA ASUBUHI NA KUENDELELEA. ADDRESS NI 341 LOGAN ST APT F2. BROOKLYN.NY 11208
KWA WALE WAPENDA BIRIYANI BILAL NDIYO DR WA MAPICHI HAYO HAPA AKIFANYA VITU VYAKE.
Vijimambo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania