Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘SAUDA MWILIMA ACHA MKOROGO’

Kama kawa wiki iliyopita tulimleta kwenu prizenta wa Star TV, Sauda Mwilima ambapo mlimuuliza maswali anayoyajibu wiki hii. UNGANA NAYE… VIPI Prizenta wa Star TV, Sauda Mwilima. KUHUSU BANGI?
Nasikia wakati unasoma ulikuwa unavuta bangi, je, ni kweli au? Andrew Kazala, Dar, 0717179570
SAUDA: Sijawahi kuvuta bangi na sijui inafanana vipi. PONGEZI
Mara utasikia oooh, Maimartha Jesse anauza dawa za kuongeza makalio au...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SAUDA MWILIMA ANUSA KIFO

Stori: Musa Mateja na Gladness Mallya
MUNGU mkubwa! Mtangazaji wa Star Tv, Sauda Mwilima amenusurika kifo baada ya kupata ajali ya gari maeneo ya Mlimani City jijini Dar es Salaam wikiendi iliyopita. Mtangazaji wa Star Tv, Sauda Mwilima. Ajali hiyo ilitokea katika mataa ya kuongozea magari yaliyopo maeneo hayo ambapo lori lilikosea njia na kugonga gari lake aina ya Toyota Ipsum na kuharibika huku mwenyewe akipata majeraha...

 

10 years ago

GPL

NDOA YA SAUDA MWILIMA SASA NI SHIDA!

Stori: Gladness Mallya Oooh nooo! Miaka miwili baada ya kufunga pingu za maisha (ndoa) na mwanaume aitwaye Kauli Juma, imefichuka kwamba ndoa ya prizenta wa Star TV, Sauda Mwilima ina shida kwani haishi na mumewe, ikidaiwa kwamba kila mmoja anaishi nchi tofauti na mwenzake. Prizenta wa Star TV, Sauda Mwilima akiwa na mume wake, Kauli Jumasiku ya harusi yao. Kikizungumza na Ijumaa Wikienda, chanzo makini ambacho ni mtu wa karibu...

 

10 years ago

GPL

SAUDA MWILIMA AANIKA NIDO ZAKE

Na  Shani Ramadhani/Uwazi
MTANGAZAJI wa kituo kimoja cha runinga nchini, Sauda Mwilima ‘Mwarabu wa Kigoma’ juzikati alionekana akiwa ameachia nido zake ukumbini. Mtangazaji wa kituo kimoja cha runinga nchini, Sauda Mwilima akipozi kwenye 'Red Carpet'. Tukio hilo lilitokea katika Ukumbi wa Escape One, jijini Dar ambapo Sauda alikuwa ameambatana na mumewe, Kauli Juma huku sehemu ya kifua chake ikiacha nido zake...

 

9 years ago

GPL

MASKINI SAUDA MWILIMA AJIFUNGUA MTOTO, AFARIKI DUNIA

Musa Mateja HUZUNI! Mtangazaji mahiri wa Kituo cha Televisheni cha Star TV, Sauda Mwilima hivi karibuni alipatwa na majonzi mazito baada ya kujifungua mtoto kwa upasuaji ambaye kesho yake alipoteza maisha, akimuacha akiwa hoi kitandani....Soma zaidi===>http://goo.gl/i2BnFM

 

11 years ago

Michuzi

Wakiwezeshwa wanawake wanaweza: Msikilize Sauda Mwilima wa Radio Free Africa, Kiss FM na Star TV akitangaza soka

Ni kijana mdogo lakini maarufu sana katika Star TV,  hususan katika kipindi chake cha "Bongo Beat". Pia husikika katika Radio Free Africa na Kiss FM. Akifuata nyayo za dada yake Saida Mwilima aliyekuwa mtangazaji wa TBC kabla ya kuhamia Uingereza, Sauda hivi sasa anasikika pia akitangaza mpira (Bofya mshale mwekundu umsikie). Hongera sana mdogo wetu kwa juhudi zako na kazi nzuri. Hakika unaweza kabisa kuziba pengo aliloacha marehemu Halima Mchuka, mwanamke wa kwanza kutangaza soka nchini...

 

9 years ago

GPL

MAUREEN AACHA MKOROGO

Mshiriki wa Miss Tanzania 2005, Maureen Gislary. Mshiriki wa Miss Tanzania 2005, Maureen Gislary ambaye pia ni mcheza filamu, baada ya kujichubua na kubadili ngozi yake ameamua kuacha mkorogo kutokana na marafiki kumuonya kila kukicha. Rafiki wa karibu na Maureen alisema kuwa sasa ameamua kuacha mkorogo kwani hakuna aliyekuwa akimsapoti kutokana na kujichubua kwake.“Yaani marafiki tumesababisha mpaka Maureen ameacha mkorogo...

 

11 years ago

GPL

TIKO ATESWA NA MKOROGO

Stori: Imelda Mtema MSANII wa Bongo Movies, Tiko Hassan amedaiwa kuteswa na madhara ya mkorogo kiasi cha kumfanya  shindwe kutoka ndani. Msanii wa Bongo Muvi, Tiko Hassan katika pozi. Vyanzo makini vimedai, staa huyo amekuwa na weusi usoni kutokana na matumizi ya mkorogo. Alipoulizwa kuhusu ishu hiyo, Tiko alijibu: “Kweli nimejifungia ndani sana siku hizi yawezekana ndiyo sababu ya kuwa na weusi lakini si… ...

 

9 years ago

Mwananchi

Kafulila aibuka kupinga matokeo ya Mwilima

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini(NCCR-Mageuzi), David Kafulila ametangaza rasmi kwenda mahakamani siku yoyote kuanzia sasa ili kudai haki yake baada ya Msimamizi wa Uchaguzi(Nec),katika Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza Ruben Mfune kumtangaza Hasna Mwilima wa CCM kuwa mshindi.

 

10 years ago

GPL

MAINDA NA UGUMU WA KUACHA MKOROGO

Stori: Mayasa Mariwata STAA wa filamu Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’ amefunguka kuwa miongoni mwa vitu vilivyokuwa vimeuteka ujana wake ni pamoja na matumizi ya mkorogo ambapo ilikuwa vigumu kuacha baada ya kuokoka. Staa wa filamu Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’. Akipiga stori na paparazi wetu, Mainda alisema kutokana na starehe za ujana pamoja na kutaka kuonekana mrembo, alitumia vipodozi hatari bila kujua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani