Wakiwezeshwa wanawake wanaweza: Msikilize Sauda Mwilima wa Radio Free Africa, Kiss FM na Star TV akitangaza soka
Ni kijana mdogo lakini maarufu sana katika Star TV, hususan katika kipindi chake cha "Bongo Beat". Pia husikika katika Radio Free Africa na Kiss FM. Akifuata nyayo za dada yake Saida Mwilima aliyekuwa mtangazaji wa TBC kabla ya kuhamia Uingereza, Sauda hivi sasa anasikika pia akitangaza mpira (Bofya mshale mwekundu umsikie). Hongera sana mdogo wetu kwa juhudi zako na kazi nzuri. Hakika unaweza kabisa kuziba pengo aliloacha marehemu Halima Mchuka, mwanamke wa kwanza kutangaza soka nchini...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ga2iaGVWnSG7Yc*aZG8etYDminIkrjrNu8Xm0vFc2mL-*CoVyLebT8K1elCv6e4mpFJ0O6yV0LRmtUbWvnFjbpk97JPsues1/saida.jpg)
SAUDA MWILIMA ANUSA KIFO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nLML9an*avqBRx2bOuNbJ9P-z3fSPKfdX0A2F8mVW*7yMIcZg7TNBFgzXZvc-jTHbp8-6kSpOSArQJn*LTdBE9vHJ*7B-YL4/2.jpg)
SAUDA MWILIMA AANIKA NIDO ZAKE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Kqu4JOS-VwNdQrWzCLQt95u0Df1-6PCPkQvEr-sdBz65CVaqkmTse7iumbFZvQQf1zHaakfATu2Boq3PXhicy-7TULCQUMSw/ndoa.jpg)
NDOA YA SAUDA MWILIMA SASA NI SHIDA!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Xl3n4nptF*oug5NmDOByu5OQ3KWjlZzAGDHx8VBy4at8wEHItmmOEF*4KTZMXXrA*MHbNt95IJQiVD3NGtmEMuQv3cO1VMwd/sauda.jpg)
‘SAUDA MWILIMA ACHA MKOROGO’
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-RFE0YcJDO-g/UwhUUjzc2bI/AAAAAAAFOr0/5UWyC30rIas/s72-c/1932308_658178394227746_1400261035_n.jpg)
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*4sM22xZ7yt5f09C4fnYkPnuURe4ANxu40MtwLxNuSsoSJ5xhFBd*46TMivLCFKBSUTKHgrmtYUWfz*cFRszUl3MalFu2PHI/sauda.jpg)
MASKINI SAUDA MWILIMA AJIFUNGUA MTOTO, AFARIKI DUNIA
11 years ago
Mwananchi26 Dec
Watanzania wakiwezeshwa sekta ya gesi wanaweza
5 years ago
BBCSwahili03 Mar
Siku ya Wanawake Duniani: Jinsi wanawake wa vijijini wanavyoweza kubadilisha jamii kiuchumi wakiwezeshwa