Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watanzania wakiwezeshwa sekta ya gesi wanaweza

Katika harakati za mapinduzi ya kiuchumi nchini Tanzania, makosa kadhaa yalionekana wazi kufanywa na viongozi wetu kwa mitazamo walioijua wenyewe. Lakini kwa lugha nyingine unaweza kusema ni bahati mbaya, kutokujua au kwa makusudi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

MAFUTA NA GESI: 'Watanzania wanaweza kuwekeza'

>Mtaalamu wa masuala ya fedha wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Mshindo Ibrahim amesema Watanzania wana uwezo wa kuwekeza katika ya gesi na mafuta ila ni jukumu  la Serikali kuwapatia fursa.

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

Michuzi

Wakiwezeshwa wanawake wanaweza: Msikilize Sauda Mwilima wa Radio Free Africa, Kiss FM na Star TV akitangaza soka

Ni kijana mdogo lakini maarufu sana katika Star TV,  hususan katika kipindi chake cha "Bongo Beat". Pia husikika katika Radio Free Africa na Kiss FM. Akifuata nyayo za dada yake Saida Mwilima aliyekuwa mtangazaji wa TBC kabla ya kuhamia Uingereza, Sauda hivi sasa anasikika pia akitangaza mpira (Bofya mshale mwekundu umsikie). Hongera sana mdogo wetu kwa juhudi zako na kazi nzuri. Hakika unaweza kabisa kuziba pengo aliloacha marehemu Halima Mchuka, mwanamke wa kwanza kutangaza soka nchini...

 

10 years ago

Mwananchi

Tanzania inavyojiandaa kuendesha sekta ya gesi

Uzalishaji, usafirishaji na utumiaji wa nishati ya gesi asilia ni moja ya teknolojia mpya hapa nchini ambayo kwa miaka mingi haikupewa kipa umbele katika vyuo mbalimbali nchini kwa sababu haikuwa inalingana na mazingira halisi ya nchi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

WMA na mkakati wa kuinua sekta ya gesi

MIONGONI mwa majukumu ya Wakala wa Vipimo (WMA)ni kuhakikisha kuwa vipimo vyote vinavyotumika katika sekta za biashara, afya, usalama na mazingira vinakuwa sahihi. Baada ya serikali kufanya mabadiliko ya sera...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Usimamizi makini, suluhu mchakato sekta ya gesi

JUNI 10 mwaka huu  Benki Kuu ya Tanzania (BoT)iliandaa mafunzo ya siku moja yaliyozungumzia faida zitokanazo  na gesi asili kwa viwanda vya hapa nchini. Mafunzo hayo yalikuwa maalum kwa ajili...

 

11 years ago

Michuzi

NORWAY YADHAMIRIA KUWEKEZA LINDI KATIKA SEKTA YA GESI NA UVUVI

Balozi wa Norway Nchini,Bi Ingunn Klepsvik (Katikati) akikagua baadhi ya mabwawa ya ufugaji samaki manispaa ya Lindi walipotembelea mradi wa uvuvi katika Ziara ya Mameya wa miji ya Norway waliokubali kujenga urafiki na manispaa za Lindi na Mtwara,Kushoto ni Abdilah Salum mmiliki wa mabwawa hayo na Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Lindi Dr Nasor Hamid. Balozi wa Norway Nchini,Bi Ingunn Klepsvik akipokea maelezo ya hali ya Uvuvi Ndani ya manispaa ya Lindi toka mkurugenzi wa manispaa Kelvin...

 

10 years ago

Michuzi

WANACHI WA LINDI NA MTWARA WAJADILIANA UWAZI KATIKA SEKTA YA MAFUTA NA GESI

Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Fatma Salum Ally akizungumza na baadhi ya wananchi wa Wilya ya Lindi na Mtwara kuhusiana na matarajio makubwa katika sekta ya Mafuta na Gesi pamoja na uundwaji wa mikakati ya mawasiliano katika mkutano uliofanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam leo.Katibu Tawala wa Mkoa wa Mtwara Alfred Luanda  ambaye alikuwa mgeni rasmi akimwakilisha Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene akizungumza katika mkutano uliokutanisha baadhi ya wananchi wa Wilaya...

 

10 years ago

Michuzi

TPDC yakutanisha wadau kujadili sekta ndogo ya Mafuta na Gesi, Bagamoyo

Kamishna Msaidizi wa Gesi, Mhandisi, Nobert Kahyoza, akifungua semina ya TPDC kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini. Semina hiyo ililenga kutoa taarifa muhimu zinazo hitajika kwa wadau katika sekta ya mafuta na gesi kutoka sehemu mbali mbali zikiwemo wizara, taasisi na waandishi wa habari, semina hiyo iliyofanyika Bagamoyo. Wadau wa sekta ya mafuta na gesi walioshiriki semina wakifutilia kwa makini mtoa mada (hayupo pichani) katika semina hiyo Bagamoyo.
BOFYA HAPA KWA PICHA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani