Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NDOA YA SAUDA MWILIMA SASA NI SHIDA!

Stori: Gladness Mallya Oooh nooo! Miaka miwili baada ya kufunga pingu za maisha (ndoa) na mwanaume aitwaye Kauli Juma, imefichuka kwamba ndoa ya prizenta wa Star TV, Sauda Mwilima ina shida kwani haishi na mumewe, ikidaiwa kwamba kila mmoja anaishi nchi tofauti na mwenzake. Prizenta wa Star TV, Sauda Mwilima akiwa na mume wake, Kauli Jumasiku ya harusi yao. Kikizungumza na Ijumaa Wikienda, chanzo makini ambacho ni mtu wa karibu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SAUDA MWILIMA ANUSA KIFO

Stori: Musa Mateja na Gladness Mallya
MUNGU mkubwa! Mtangazaji wa Star Tv, Sauda Mwilima amenusurika kifo baada ya kupata ajali ya gari maeneo ya Mlimani City jijini Dar es Salaam wikiendi iliyopita. Mtangazaji wa Star Tv, Sauda Mwilima. Ajali hiyo ilitokea katika mataa ya kuongozea magari yaliyopo maeneo hayo ambapo lori lilikosea njia na kugonga gari lake aina ya Toyota Ipsum na kuharibika huku mwenyewe akipata majeraha...

 

10 years ago

GPL

SAUDA MWILIMA AANIKA NIDO ZAKE

Na  Shani Ramadhani/Uwazi
MTANGAZAJI wa kituo kimoja cha runinga nchini, Sauda Mwilima ‘Mwarabu wa Kigoma’ juzikati alionekana akiwa ameachia nido zake ukumbini. Mtangazaji wa kituo kimoja cha runinga nchini, Sauda Mwilima akipozi kwenye 'Red Carpet'. Tukio hilo lilitokea katika Ukumbi wa Escape One, jijini Dar ambapo Sauda alikuwa ameambatana na mumewe, Kauli Juma huku sehemu ya kifua chake ikiacha nido zake...

 

11 years ago

GPL

‘SAUDA MWILIMA ACHA MKOROGO’

Kama kawa wiki iliyopita tulimleta kwenu prizenta wa Star TV, Sauda Mwilima ambapo mlimuuliza maswali anayoyajibu wiki hii. UNGANA NAYE… VIPI Prizenta wa Star TV, Sauda Mwilima. KUHUSU BANGI?
Nasikia wakati unasoma ulikuwa unavuta bangi, je, ni kweli au? Andrew Kazala, Dar, 0717179570
SAUDA: Sijawahi kuvuta bangi na sijui inafanana vipi. PONGEZI
Mara utasikia oooh, Maimartha Jesse anauza dawa za kuongeza makalio au...

 

9 years ago

GPL

MASKINI SAUDA MWILIMA AJIFUNGUA MTOTO, AFARIKI DUNIA

Musa Mateja HUZUNI! Mtangazaji mahiri wa Kituo cha Televisheni cha Star TV, Sauda Mwilima hivi karibuni alipatwa na majonzi mazito baada ya kujifungua mtoto kwa upasuaji ambaye kesho yake alipoteza maisha, akimuacha akiwa hoi kitandani....Soma zaidi===>http://goo.gl/i2BnFM

 

11 years ago

Michuzi

Wakiwezeshwa wanawake wanaweza: Msikilize Sauda Mwilima wa Radio Free Africa, Kiss FM na Star TV akitangaza soka

Ni kijana mdogo lakini maarufu sana katika Star TV,  hususan katika kipindi chake cha "Bongo Beat". Pia husikika katika Radio Free Africa na Kiss FM. Akifuata nyayo za dada yake Saida Mwilima aliyekuwa mtangazaji wa TBC kabla ya kuhamia Uingereza, Sauda hivi sasa anasikika pia akitangaza mpira (Bofya mshale mwekundu umsikie). Hongera sana mdogo wetu kwa juhudi zako na kazi nzuri. Hakika unaweza kabisa kuziba pengo aliloacha marehemu Halima Mchuka, mwanamke wa kwanza kutangaza soka nchini...

 

10 years ago

GPL

SAUDA: NANI KASEMA NDOA YANGU MAGUMASHI?

Gladness Mallya
MTANGAZAJI mkongwe wa televisheni, Sauda Mwilima ambaye mumewe, Kauli Juma aliondoka mara tu baada ya kufunga naye ndoa kuelekea Afrika Kusini kikazi, amesema wa ubani wake huyo amesharejea na hivyo kuwakejeli waliokuwa wakisema kuwa ndoa yao ilikuwa ni magumashi. Mtangazaji mkongwe wa televisheni, Sauda Mwilima. Akipiga stori na paparazi wetu, Sauda alisema kwa sasa anaifurahia ndoa yake vilivyo baada ya...

 

9 years ago

Habarileo

Ndoa za Watanzania ni shida!

UTAFITI wa aina yake kuhusu unyanyasaji wa kijinsia, uliohoji wanawake hasa wanandoa, umebaini taasisi hiyo muhimu katika jamii, inakabiliwa na migogoro inayochangiwa zaidi na wivu wa waume, huku wanaume wa Morogoro wakiongoza nchini kwa kuonea wivu wake zao.

 

10 years ago

Vijimambo

WANAUME ‘HANDSOME’, WANAWAKE WAREMBO NI SHIDA KWENYE NDOA

Katika hali ya kawaida, kila mtu anapofikiria suala la kutafuta mpenzi kwa mwanaume lazima ataangalia msichana mrembo, mwenye muonekano mzuri huku suala la tabia likiwa halipewi umuhimu sana.

Hata kwa wanawake nao huwa wanaangalia wanaume ‘handsome’ ambao hata wakiwa wanatembea pamoja mtaani watavuta macho ya watu na kusifiwa.

Mimi sidhani kama wanaoangalia vigezo hivyo wanakosea hasa kama wanatafuta wapenzi na wachumba watakaotengeneza njia ya kuelekea kwenye ndoa.

Naomba katika hili nieleweke...

 

10 years ago

GPL

WANAUME ‘HANDSOME’, WANAWAKE WAREMBO NI SHIDA KWENYE NDOA

Katika hali ya kawaida, kila mtu anapofikiria suala la kutafuta mpenzi kwa mwanaume lazima ataangalia msichana mrembo, mwenye muonekano mzuri huku suala la tabia likiwa halipewi umuhimu sana. Hata kwa wanawake nao huwa wanaangalia wanaume ‘handsome’ ambao hata wakiwa wanatembea pamoja mtaani watavuta macho ya watu na kusifiwa. Mimi sidhani kama wanaoangalia vigezo hivyo wanakosea hasa kama wanatafuta wapenzi na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani