SAUDA: NANI KASEMA NDOA YANGU MAGUMASHI?
![](http://api.ning.com:80/files/L5FNdOkpk1YVfccvHsfGhDZIOMrrYKk3U5FDvGfgW4pBALG-AmBQFblAnkxBqt2PCoDdU5JYsGCaJtbrNkYudHmIor0gur-V/ZC.jpg?width=650)
Gladness Mallya MTANGAZAJI mkongwe wa televisheni, Sauda Mwilima ambaye mumewe, Kauli Juma aliondoka mara tu baada ya kufunga naye ndoa kuelekea Afrika Kusini kikazi, amesema wa ubani wake huyo amesharejea na hivyo kuwakejeli waliokuwa wakisema kuwa ndoa yao ilikuwa ni magumashi. Mtangazaji mkongwe wa televisheni, Sauda Mwilima. Akipiga stori na paparazi wetu, Sauda alisema kwa sasa anaifurahia ndoa yake vilivyo baada ya...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-ahp-RthSf94/VA0QMbR8Y6I/AAAAAAAGhbs/UoOLBeK-Lt0/s72-c/554391_10152430139600125_1010748931_n.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/c2nk1pk6akQ8qunEJX0rJPoJkSemgY7Gtjvupennnw05HBbi9i2i2--Oqtq4xiFMqJUVrNm50Nf6jLKxPokeoxPBVaGJtATO/linah.jpg)
LINAH: NANI KASEMA NIMEHONGWA GARI?
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wxWEJX1q6dbPxE1dqDU5*9aoj7s8qQu1gcWbHAgX*CbmHSeXkktEvGbp9psGYAy1lhBxMkuAPseQy9PGK1Ryy5eaV2rWB1Uq/TAMBWE.gif?width=650)
Tambwe: Nani kasema Mbeya City timu ngumu?
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-yB-ktVZ58sg/VJBql764IGI/AAAAAAAG3r4/5Hpf_537EjY/s72-c/MMGM1205.jpg)
NANI KASEMA TANGA HAKUNA KIBAO CHA KWAHERI???
![](http://1.bp.blogspot.com/-yB-ktVZ58sg/VJBql764IGI/AAAAAAAG3r4/5Hpf_537EjY/s1600/MMGM1205.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Kqu4JOS-VwNdQrWzCLQt95u0Df1-6PCPkQvEr-sdBz65CVaqkmTse7iumbFZvQQf1zHaakfATu2Boq3PXhicy-7TULCQUMSw/ndoa.jpg)
NDOA YA SAUDA MWILIMA SASA NI SHIDA!
11 years ago
Michuzi27 Apr
9 years ago
Global Publishers02 Jan
Nilivyoivunja Ndoa Yangu na Shetani – 3
ILIPOISHIA:
Maisha yaliendelea, nakumbuka siku moja tukiwa tumelala majira ya saa saba usiku nyumba yetu ilivamiwa na maaskari. Emma Mo pamoja na mimi tulichukuliwa juujuu na kupelekwa polisi usiku huo huo. Kwa upande wangu sikujua tumechukuliwa kwa sababu gani.Kabla ya kutuchukua walifanya upekuzi mzito kitu kilichonishangaza na kujiuliza kuna nini.
SASA ENDELEA…
Tulipofika polisi tulitenganishwa kila mmoja aliwekwa sehemu yake, tulilala pale hadi asubuhi. Kesho yake majira ya saa tano...
9 years ago
Global Publishers26 Dec
Nilivyoivunja Ndoa Yangu na Shetani -01
Nayainua macho juu, nautazama ulimwengu ambapo namuona kila mtu anatembea akiwa na yake mazito moyoni. Wengi aibu imetutawala kutoa yaliyo mioyoni kwa kuhofia aibu tutakayoipata, kwa watu kujua mambo ya aibu yaliyomo mioyoni mwetu.
Wengi tumeanzisha mahusiano na shetani bila kujua na mwisho wake kufunga naye ndoa kabisa na kuamini yote atuelekezayo ndiyo sahihi na kusahau kuna Mungu mwenye nguvu na wivu ambaye anatupenda na alituleta duniani kwa kusudi maalumu la kumuabudu yeye.
Hivyo,...
5 years ago
Bongo514 Feb
Ndoa yangu haivunjiki Ng’o!- Chameleone
Chameleone amekanusha tetesi kwamba mkewe Daniella Atim amekwenda mahakamani kudai talaka.
Taarifa zilisambaa mitandaoni kwamba Daniella alidai kwa kutokuwa na furaha na ndoa yake kutokana na manyanyaso na vipigo anayoyapata kutoka kwa muimbaji huyo mkongwe wa Uganda.
Chameleone ameamua kuvunja ukimya kupitia mtandao wa Facebook kwa kurusha video ya dakika 53 akiongelea mengi kuhusu familia yake, ambayo inaonekana kuwa na furaha tofauti na yanayozungumzwa.
“Kuna habari nyingi zimesambaa...