Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tambwe: Nani kasema Mbeya City timu ngumu?

Straika wa Simba, Amissi Tambwe. Na Hans Mloli
STRAIKA wa Simba, Amissi Tambwe amewajia juu wanaosema kuwa Mbeya City ni timu ngumu inayosumbua vigogo kwenye Ligi Kuu Bara ambapo amedai kuwa hiyo ni timu ya kawaida na kuahidi kushinda kesho Jumamosi dhidi ya timu hiyo ya Mbeya. Tambwe, raia wa Burundi, amesema timu za Tanzania zinalingana viwango, ndiyo maana hata wao walifungwa 1-0 na Mgambo JKT ambao wapo mkiani kwenye...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

nani kasema ze fulanazzzz kwishney?

Ankal akitafakari baada ya mwenyeji wake kutotokea...

 

11 years ago

GPL

LINAH: NANI KASEMA NIMEHONGWA GARI?

Stori: Musa mateja Mafanikio! Taarifa ikufikie kuwa staa wa Bongo Fleva, Estalina Sanga ‘Linah’ amekanusha stori za madai ya kuhongwa gari jipya analosukuma mjini kwa sasa aina ya Toyota Mark X. Staa wa Bongo Fleva, Estalina Sanga ‘Linah’ akiwa ndani ya gari lake jipya aina ya Toyota Mark X. Akizungumza na mwanahabari wetu, Linah ambaye hivi karibuni alitokea nchini Afrika Kusini kufanya video ya wimbo...

 

10 years ago

GPL

SAUDA: NANI KASEMA NDOA YANGU MAGUMASHI?

Gladness Mallya
MTANGAZAJI mkongwe wa televisheni, Sauda Mwilima ambaye mumewe, Kauli Juma aliondoka mara tu baada ya kufunga naye ndoa kuelekea Afrika Kusini kikazi, amesema wa ubani wake huyo amesharejea na hivyo kuwakejeli waliokuwa wakisema kuwa ndoa yao ilikuwa ni magumashi. Mtangazaji mkongwe wa televisheni, Sauda Mwilima. Akipiga stori na paparazi wetu, Sauda alisema kwa sasa anaifurahia ndoa yake vilivyo baada ya...

 

10 years ago

Michuzi

NANI KASEMA TANGA HAKUNA KIBAO CHA KWAHERI???

Kibao hiki kipo katika Mpaka wa Mkoa wa Tanga na Mkoa wa Pwani,katika kijiji cha Manga.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mtihani wa timu ngeni Ligi Kuu na nyayo za Mbeya City 2013/14

TIMU ngeni katika Ligi Kuu ya msimu ujao ambao utaanza Septemba 20, ni Ndanda FC ya Mtwara, Polisi ya Morogoro na Stand United ya Shinyanga zikiziba nafasi ya zilizoshuka ambazo...

 

11 years ago

Michuzi

TIMU YA MBEYA CITY FC YAPATA MDHAMINI RASMI AMBAO NI BINSLUM TYRE COMPANY LIMITED

 kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya, Dk. Samwel na mkurugenzi wa kampuni ya Binslum Tyre wakionesha flana zenye nembo ya kampuni ya Binslum Tyre  kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya, Dk. Samwel Lazaro,alisema Halmashauri imepata faraja kubwa kupata mdhamini kutokana na Halmashauri kutokuwa na fedha za kutosha kuweza kuendesha timu. Mkurugenzi wa kampuni ya Binslum Tyre , Mohamed Binslum akizungumza na waandishi wa habari mkoa wa Mbeya
Baadhi ya...

 

10 years ago

Michuzi

Mbeya City FC wakabidhiwa Kadi maalum kwa wapenzi wa timu hiyo kutoka Benki ya Posta

Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mjini Ndugu Norman Sigala pamoja na Meya wa jiji la Mbeya Ndugu Athanas Kapunga wakipokea kadi ya ushabiki ya Mbeya City Football Club kutoka kwa Kaimu Mtendaji wa Benki ya Posta Tanzania Ndugu Jema Msuya. Kushoto kwenye picha ni Mkurugenzi wa masoko wa benki ya Posta Mr Deogratius Kwiyukwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani