Mvinyo wamtia mashakani kiongozi Australia
Kiongozi mmoja nchini Australia, amejiuzulu baada ya kukana kuwa alipata zawadi ya mvinyo yenye thamani ya dola 2,800.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili01 Oct
Ulevi wamtia mashakani Phelps
Muogeleaji bingwa wa Olimpiki nchini Marekani,Michael Phelps, amekamatwa kwa kundesha gari akiwa mlevi.
10 years ago
BBCSwahili12 Jun
Mzaha wamtia mashakani mwanasayansi
Mwanasayansi wa Uingereza Sir Tim Hunt amejiuzulu baada ya kutoa tamko la mzaha kuhusu wanawake.Mshindi huyo wa taji la Nobel alisema kuwa wanawake huwapenda wanaume wanaofanya kazi nao kwa urahisi.
9 years ago
BBCSwahili19 Nov
Mzaha wamtia mashakani rais wa Bolivia
Rais wa Bolivia Evo Morales ameomba msamaha kwa kufanya mzaha kuhusu uwezekano wa waziri wake wa afya Ariana Campero kuwa mpenzi wa jinsia moja.
11 years ago
BBCSwahili04 Aug
Mradi hewa wa Mbuni wamtia mashakani Afrika:K
Evans alidanganya wawekezaji 87 na kuwaibia Pauni 900,000, katika kile alichodai kuwa mradi wa Mbuni Kusini mwa Wales.
10 years ago
Mwananchi06 Oct
Nyanya zatumika kutengenezea mvinyo
Ukosefu wa soko la nyanya wilayani Makambako, Mkoa wa Njombe umechagiza utengenezaji wa mvinyo unaotumia nyanya.
10 years ago
BBCSwahili03 Aug
Waweka Viagra kwenye mvinyo China
Watengenezaji wa pombe nchini China waliongeza dawa ya kuongeza nguvu za kiume yaani Viagra katika maelfu ya chupa za pombe
10 years ago
BBCSwahili06 Jul
Tuzo kwa mvinyo bora Ufaransa
UNESCO, limetowa tuzo lake kuu kwa maeneo mawili yanayosifika Ufaransa kwa utengenezaji mvinyo aina ya Champagne na Burgundy
11 years ago
BBCSwahili14 May
Mvinyo haina manufaa kwa Afya yako
Watafiti wanadai kuwa mvinyo mwekundu (Red wine) hauna manufaa kama ilivyodhaniwa kuwa nayo kwa moyo wa binadamu.
11 years ago
BBCSwahili08 Aug
Jela kwa kuwauzia watu Mvinyo bandia
Mwanamume aliyewalaghai watu kwa kuwauzia mvinyo bandia,amefungwa jela kwa miaka kumi kutozwa faini ya dola milioni 20
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania