Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tuzo kwa mvinyo bora Ufaransa

UNESCO, limetowa tuzo lake kuu kwa maeneo mawili yanayosifika Ufaransa kwa utengenezaji mvinyo aina ya Champagne na Burgundy

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Airtel yashinda tuzo mbili kwa kutoa huduma bora kwa wateja‏

pic 1 (3)MKurugenzi Mkuu wa Airtel Bwana Sunil Colaso akipokea tuzo ya ubora katika kipengele cha kutoa huduma za kimtandao kutoka kwa waandaaji wa tuzo za Tanzania Leadership Award bwana Kishore Bollakpalli (kushoto). Airtel Tanzania imejishindia tuzo mbili za ubora katika kipengele cha kutoa huduma za kimtandao pamoja na huduma zinazokidhi mahitaji ya wateja.

Yajishindia tuzo kwa matumizi bora katika kutoa huuduma za kimtandao pamoja na huduma zinazokidhi mahitaji ya wateja

Dar es Salaam, Jumanne...

 

10 years ago

Michuzi

PSPF YAPATA TUZO YA KIMATAIFA KWA KUTOA HUDUMA BORA KWA WATEJA WAKE


unnamedBalozi wa PSPF Bw.Mrisho Mpoto alionesha tuzo iliyotolewa na Taasisi ya Kimataifa ya kusimamia Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (ISSA) kwa Mfuko wa Pensheni wa PSPF kwa ajili ya kwa  kutumiaTeknolojia ya Habari na Mawasilino katika utunzaji wa kumbukumbu za wateja na kwa kuwasiliana na wateja wake kwa kutumia simu za mikonono, kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa PSPF Bw. Adam Mayingu.

 

10 years ago

Michuzi

CBE YATOA TUZO KWA WANAFUNZI BORA

Na. Aron Msigwa – MAELEZO
Chuo cha Elimu ya Biashara kampasi ya Dar es salaam kimetoa tuzo kwa wanafunzi bora 12 waliohitimu na kufanya vizuri katika masomo yao kwa mwaka wa masomo 2014/2015 ikiwa ni sehemu ya utaratibu wa chuo hicho kuenzi na kuthamini mchango walioutoa katika maendeleo ya taaluma chuoni hapo.
Akikabidhi tuzo hizo katika hafla fupi iliyofanyika leo jijini Dar es salaam, aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na mwenyekiti wa sasa wa wanafunzi  waliomaliza...

 

10 years ago

GPL

TUZO KWA WASANII BORA WA ZANZIBAR KUFANYIKA KESHO

Mbunge wa Jimbo la Uzini na Mkurugenzi wa redio ya Zenji Fm, Mohamed Seif Khatib, akimkabidhi Tuzo msanii, Rukia Ramadhan. Kampuni ya Zanzibar Media Corporation ambayo ni wamiliki wa Zenji Fm Radio na gazeti la Nipe Habari, kesho Ijumaa tarehe 27 February  wanatarajia kutoa tuzo kwa wasanii bora wa Zanzibar. Akizungumza na gazeti hili Mratibu wa tuzo hizo Nd Said Khamis amesema jumla ya washiriki 76 wameshindania katika...

 

10 years ago

Habarileo

Bilal mgeni rasmi tuzo kwa kampuni bora

Makamu wa Rais, Dk Ghalib BilalMAKAMU wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya kutoa tuzo kwa kampuni bora kwa mwaka 2014.

 

10 years ago

Bongo5

Tuzo ya Mwanasoka bora wa England 2015 imeenda kwa wachezaji hawa

Ligi kuu ya England ikiwa inakaribia kuisha, mchezaji wa Club ya Chelsea, Eden Hazard raia wa Ubelgiji ambaye hadi sasa ameifungia timu hiyo mabao 18, amechagulia kuwa mchezaji bora wa mwaka na chama cha wachezaji wa kulipwa England PFA. Na tuzo ya mwanasoka bora chipukizi imechuliwa na mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Harry Kane aliyefanikiwa kushinda […]

 

11 years ago

BBCSwahili

Jela kwa kuwauzia watu Mvinyo bandia

Mwanamume aliyewalaghai watu kwa kuwauzia mvinyo bandia,amefungwa jela kwa miaka kumi kutozwa faini ya dola milioni 20

 

11 years ago

BBCSwahili

Mvinyo haina manufaa kwa Afya yako

Watafiti wanadai kuwa mvinyo mwekundu (Red wine) hauna manufaa kama ilivyodhaniwa kuwa nayo kwa moyo wa binadamu.

 

11 years ago

GPL

TUZO KWA JK YA UTUMISHI BORA WA UMMA BARANI AFRIKA YAKABIDHIWA JIJINI WASHINGTON DC MAREKANI

Balozi wa Nigeria nchini Marekani ProfesaAdebowele Adufye, akimkabidhi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mheshimiwa Bernard Membe Tuzo la Kiongozi Mwenye Mchango MkubwaZaidi Katika Maendeleo ya Bara la Afrika kwa mwaka 2013 anayopokea kwa niabaya  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete katika  sherehe ya kutunuku Tuzo hiyo kwenye Hoteliya St. Regis mjini Washington, D.C.,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani