Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TUZO KWA WASANII BORA WA ZANZIBAR KUFANYIKA KESHO

Mbunge wa Jimbo la Uzini na Mkurugenzi wa redio ya Zenji Fm, Mohamed Seif Khatib, akimkabidhi Tuzo msanii, Rukia Ramadhan. Kampuni ya Zanzibar Media Corporation ambayo ni wamiliki wa Zenji Fm Radio na gazeti la Nipe Habari, kesho Ijumaa tarehe 27 February  wanatarajia kutoa tuzo kwa wasanii bora wa Zanzibar. Akizungumza na gazeti hili Mratibu wa tuzo hizo Nd Said Khamis amesema jumla ya washiriki 76 wameshindania katika...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Tuzo za bodi zenye uongozi bora kufanyika kesho


Tuzo za bodi yenye uongozi bora katika sekta ya kibenki na bima zijulikanazo kama Best Board Leadership Awards (BBLA) zinatarajiwa kufanyika jijini Dar es Salaam kesho, ambapo taasisi saba zitashiriki katika tuzo hizo.Akizungumza jijini Dar es Salaam hapo jana, Mratibu wa tuzo hizo, Bi. Neema Gerald, amezitaja benki zilizothibitisha kushiriki katika tuzo hizo kuwa ni pamoja na Benki ya Posta (TPB), Benki ya Exim na Benki ya CRDB.“Kwa upande wa makampuni ya bima, watakaoshiriki ni...

 

11 years ago

Michuzi

TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2014 KUFANYIKA KESHO MJINI DODOMA

WAZIRI Mkuu Mhe.  Mizengo Pinda kesho atakuwa mgeni rasmi katika hafla ya kukabidhi Tuzo ya Mwanamke Bora wa Mwaka 2013-14, itakayowakutanisha wanawake wanne itakayofanyika kesho katika Ukumbi wa The African Dream mjini Dodoma. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ndiye  atakuwa mgeni rasmi katika utoaji tuzo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers, ambayo ndiyo iliyoratibu zoezi hilo, Eric Shigongo, amesema leo  kwamba shughuli hiyo itakuwa ni hitimisho la kazi kubwa ya kupokea na kuchuja kura...

 

10 years ago

CloudsFM

Tuzo za wasanii wa Zanzibar kufanyika Feb 27

Taratibu za Tamasha la kuwatafuta wasanii bora wa Zanzibar (Zanzibar Music Awards) zinazosimamiwa na Kampuni ya Zanzibar Media Corporation inayomiliki kituo cha Zenj Fm radio na kitengo cha Zenj Entertainment kwa mwaka 2014/2015 zimeanza rasmi leo.Akizungumza na waandishi wa habari katika jengo la Zanzibar Media Corporation, mtaa wa Mombasa nje kidogo ya Mji wa Zanzibar, Mwenyekiti wa Tamasha hilo Seif Mohd Seif amesema maandali yamekamilika. Amesema tunzo hizo ambazo zinalengo la...

 

10 years ago

Michuzi

TUZO ZA WASANII BORA WA MUZIKI WA ZANZIBAR MWAKA 2015

Mkurugenzi wa Biashara Zanzibar Nd. Mohamed Baucha wa kulia akimkabidhi Tunzo ya Video bora ya mwaka muziki wa kizazi kipya Nassir Hassan (Vanila) mara baada ya kuibuka mshindi, tunzo hizo zimeandaliwa na Kampuni ya Zanzibar Media Corporation LTD katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Salama Hall  Bwawani Mjini Zanzibar. Mwanamitindo marufu wa Zanzibar Farouk Abdillahi akimkabidhi Tunzo ya Video bora mwaka ya Taraab Bi. Saada Nassor Meneja wa Zenji Entertainment Seif Moh'd (kushoto) akimkabidhi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Dk. Shein kukabidhi Tuzo kwa Wanamichezo Bora Tanzania ndani ukumbi wa Diamond Jubilee hapo kesho

5bf0Ali-Mohamed-Shein

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohammed Shein.

MAANDALIZI kwa ajili ya Tuzo za Wanamichezo Bora Tanzania, zinazotolewa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo nchini (TASWA) yamekamilika.

Tuzo hizo zitatolewa kesho Ijumaa kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam, kuanzia saa 12 jioni, ambapo mgeni rasmi atakuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohammed Shein.

Wanamichezo mbalimbali wanatarajiwa kupewa tuzo hizo kutokana...

 

10 years ago

Habarileo

Tuzo za BBLA kufanyika kesho

TUZO za Bodi za wakurugenzi yenye uongozi bora katika sekta ya kibenki na bima zijulikanazo kama Best Board Leadership (BBLA) zinatarajiwa kufanyika jijini Dar es Salaam kesho, ambapo taasisi saba zitashiriki katika tuzo hizo.

 

10 years ago

Michuzi

Tuzo za Bodi Bora Katika Sekta ya Kibenki na Bima kufanyika mwezi ujao

 Mratibu wa tuzo za uongozi bora wa bodi katika sekta za benki na bima, Bi Neema Gerald (wa pili kulia) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika mkutano na vyombo vya habari uliofanyika jijini Dar es Salaam jana, kutangaza uzinduzi wa tuzo za uongozi bora wa bodi katika sekta za benki na bima, ambazo zitamulika na kutambua mchango wa uongozi uliotukuka wa bodi za wakurugenzi kwenye sekta za benki na bima nchini. Tuzo hizo zimepangwa kufanyika jijini Dar es Salaam January...

 

9 years ago

Global Publishers

Tuzo za Mchezaji Bora Afrika… Samatta Kukwea Pipa Kesho Kwenda Nigeria


SamataBwana580211.jpgMbwana Samatta

Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Mwesigwa Selestine kesho Jumatano anatarajiwa kuongozana na mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania na klabu ya TP Mazembe ya Congo DR, Mbwana Samatta kuelekea nchini Nigeria kwenye sherehe za utoaji wa tuzo kwa wachezaji bora barania Afrika.

samattanMbwana Samatta

Mwesigwa anatarajiwa kuondoka na Samatta kuelekea Nigeria katika mji wa Abuja ambapo sherehe za utoaji tuzo hizo zitafayika Alhamisi Januari 7, ambapo siku ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani