Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tuzo za bodi zenye uongozi bora kufanyika kesho


Tuzo za bodi yenye uongozi bora katika sekta ya kibenki na bima zijulikanazo kama Best Board Leadership Awards (BBLA) zinatarajiwa kufanyika jijini Dar es Salaam kesho, ambapo taasisi saba zitashiriki katika tuzo hizo.Akizungumza jijini Dar es Salaam hapo jana, Mratibu wa tuzo hizo, Bi. Neema Gerald, amezitaja benki zilizothibitisha kushiriki katika tuzo hizo kuwa ni pamoja na Benki ya Posta (TPB), Benki ya Exim na Benki ya CRDB.“Kwa upande wa makampuni ya bima, watakaoshiriki ni...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Tuzo za Bodi Bora Katika Sekta ya Kibenki na Bima kufanyika mwezi ujao

 Mratibu wa tuzo za uongozi bora wa bodi katika sekta za benki na bima, Bi Neema Gerald (wa pili kulia) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika mkutano na vyombo vya habari uliofanyika jijini Dar es Salaam jana, kutangaza uzinduzi wa tuzo za uongozi bora wa bodi katika sekta za benki na bima, ambazo zitamulika na kutambua mchango wa uongozi uliotukuka wa bodi za wakurugenzi kwenye sekta za benki na bima nchini. Tuzo hizo zimepangwa kufanyika jijini Dar es Salaam January...

 

10 years ago

GPL

TUZO KWA WASANII BORA WA ZANZIBAR KUFANYIKA KESHO

Mbunge wa Jimbo la Uzini na Mkurugenzi wa redio ya Zenji Fm, Mohamed Seif Khatib, akimkabidhi Tuzo msanii, Rukia Ramadhan. Kampuni ya Zanzibar Media Corporation ambayo ni wamiliki wa Zenji Fm Radio na gazeti la Nipe Habari, kesho Ijumaa tarehe 27 February  wanatarajia kutoa tuzo kwa wasanii bora wa Zanzibar. Akizungumza na gazeti hili Mratibu wa tuzo hizo Nd Said Khamis amesema jumla ya washiriki 76 wameshindania katika...

 

11 years ago

Michuzi

TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2014 KUFANYIKA KESHO MJINI DODOMA

WAZIRI Mkuu Mhe.  Mizengo Pinda kesho atakuwa mgeni rasmi katika hafla ya kukabidhi Tuzo ya Mwanamke Bora wa Mwaka 2013-14, itakayowakutanisha wanawake wanne itakayofanyika kesho katika Ukumbi wa The African Dream mjini Dodoma. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ndiye  atakuwa mgeni rasmi katika utoaji tuzo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers, ambayo ndiyo iliyoratibu zoezi hilo, Eric Shigongo, amesema leo  kwamba shughuli hiyo itakuwa ni hitimisho la kazi kubwa ya kupokea na kuchuja kura...

 

10 years ago

Habarileo

Tuzo za BBLA kufanyika kesho

TUZO za Bodi za wakurugenzi yenye uongozi bora katika sekta ya kibenki na bima zijulikanazo kama Best Board Leadership (BBLA) zinatarajiwa kufanyika jijini Dar es Salaam kesho, ambapo taasisi saba zitashiriki katika tuzo hizo.

 

9 years ago

Habarileo

JK akabidhiwa tuzo ya uongozi bora Afrika

SIKU mbili baada ya kutunukiwa Nishani ya Amani na Utulivu katika Ukanda wa Afrika Mashariki, Rais Jakaya Kikwete jana alikabidhiwa tuzo nyingine ya kimataifa, ya Utawala Bora barani Afrika kwa mwaka 2015.

 

10 years ago

Mwananchi

Dewji atunukiwa tuzo uongozi bora Afrika

Mbunge wa Singida Mjini (CCM) na mfanyabiashara maarufu nchini, Mohammed Dewji ameshinda tuzo ya kiongozi bora aliyejitolea kwa kiasi kikubwa katika jamii na kuleta mabadiliko Afrika kwa mwaka 2014.

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete apokea Tuzo ya Uongozi Bora nchini

mzee

 Mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali Bwana Ludovick Utouh akikmabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Tuzo maalum kwa kutambua mchango wange kwa taasisi simamizi katika kuimarisha Uwazi,Uadilifu na uwajibikaji wakati wa hafla maalum ya chakula cha jioni iliyofanyika katika ukumbi wa  wa kimataifa wa  mikutano Julius Nyerere(JNICC) jijini Dar es Salaam

Bwana Utouh alikabidhi Tuzo hiyo kwa niaba ya taasisi sita ambazo ni Bodi ya Taifa ya wahasibu na wakaguzi,TAKUKURU, Mamlaka ya...

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete apewa Tuzo Ya Uongozi Bora nchini

 Mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali Bwana Ludovick Utouh akikmabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Tuzo maalum kwa kutambua mchango wange kwa taasisi simamizi katika kuimarisha Uwazi,Uadilifu na uwajibikaji wakati wa hafla maalum ya chakula cha jioni iliyofanyika katika ukumbi wa  wa kimataifa wa  mikutano Julius Nyerere(JNICC) jijini Dar es Salaam leo jioni.
Bwana Utouh alikabidhi Tuzo hiyo kwa niaba ya taasisi sita ambazo niBodi ya Taifa ya wahasibu na...

 

10 years ago

Michuzi

Makampuni saba yajisajili Tuzo za Bodi Bora Sekta ya Benki na Bima

MAKAMPUNI saba yamethibitisha ushiriki wao katika tuzo za bodi yenye uongozi bora katika sekta ya kibenki na bima zijulikanazo kama Best Board Leadership Awards (BBLA), zilizopangwa kufanyika Januari 30, mwakani katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa jana na Mratibu wa tuzo hizo, Bi. Neema Gerald, imezitaja benki zilizothibitisha kushiriki katika tuzo hizo kuwa ni pamoja na Benki ya Posta (TPB), Benki ya Exim na Benki ya CRDB.
Aliyataja ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani