Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tuzo za wasanii wa Zanzibar kufanyika Feb 27

Taratibu za Tamasha la kuwatafuta wasanii bora wa Zanzibar (Zanzibar Music Awards) zinazosimamiwa na Kampuni ya Zanzibar Media Corporation inayomiliki kituo cha Zenj Fm radio na kitengo cha Zenj Entertainment kwa mwaka 2014/2015 zimeanza rasmi leo.Akizungumza na waandishi wa habari katika jengo la Zanzibar Media Corporation, mtaa wa Mombasa nje kidogo ya Mji wa Zanzibar, Mwenyekiti wa Tamasha hilo Seif Mohd Seif amesema maandali yamekamilika. Amesema tunzo hizo ambazo zinalengo la...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

TUZO KWA WASANII BORA WA ZANZIBAR KUFANYIKA KESHO

Mbunge wa Jimbo la Uzini na Mkurugenzi wa redio ya Zenji Fm, Mohamed Seif Khatib, akimkabidhi Tuzo msanii, Rukia Ramadhan. Kampuni ya Zanzibar Media Corporation ambayo ni wamiliki wa Zenji Fm Radio na gazeti la Nipe Habari, kesho Ijumaa tarehe 27 February  wanatarajia kutoa tuzo kwa wasanii bora wa Zanzibar. Akizungumza na gazeti hili Mratibu wa tuzo hizo Nd Said Khamis amesema jumla ya washiriki 76 wameshindania katika...

 

11 years ago

Business Standard

Zanzibar President to visit India from Feb 1 to Feb 9


ANINEWS
Zanzibar President to visit India from Feb 1 to Feb 9
Business Standard
President of Zanzibar Dr. Ali Mohamed Shein will be on an official visit to India from February 1 to February 9 at the invitation of Vice President Hamid Ansari. Dr. Shein will be leading a delegation comprising of senior Ministers and officials. The visiting ...
President of Zanzibar to pay official visit to IndiaJagran Post

all 2

 

10 years ago

Michuzi

TUZO ZA WASANII BORA WA MUZIKI WA ZANZIBAR MWAKA 2015

Mkurugenzi wa Biashara Zanzibar Nd. Mohamed Baucha wa kulia akimkabidhi Tunzo ya Video bora ya mwaka muziki wa kizazi kipya Nassir Hassan (Vanila) mara baada ya kuibuka mshindi, tunzo hizo zimeandaliwa na Kampuni ya Zanzibar Media Corporation LTD katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Salama Hall  Bwawani Mjini Zanzibar. Mwanamitindo marufu wa Zanzibar Farouk Abdillahi akimkabidhi Tunzo ya Video bora mwaka ya Taraab Bi. Saada Nassor Meneja wa Zenji Entertainment Seif Moh'd (kushoto) akimkabidhi...

 

10 years ago

Bongo5

Kampeni ya One Billion Rising kufanyika Feb 14 Coco Beach

Tarehe 14, Februari, 2015, saa 8 mchana, Dar es Salaam itajiunga na wanaharakati duniani kote pale Coco Beach Masaki jijini Dar es Salaam kwa ajili ya One Billion Rising – harakati za wahamasishaji kimataifa kukomesha ukatili dhidi ya wanawake na wasichana. One Billion Rising ilianza kama wito wa kuchukua hatua kutokana na takwimu ya kushtua […]

 

10 years ago

Dewji Blog

Kumekucha ‘Chicken Wings Bonanza & Family Day Out’ Kufanyika Feb 28

 

whatsapp and facebook post

Na Andrew Chale wa modewji blog

Bonanza kubwa la Nyama ya kuku ‘’Chicken Wings’ litakalokutanisha watu mbalimbali wakiwemo marafiki na familia mbalimbali linatarajia kufanyika  Februari 28, ndani ya Azura Beach Club, Kawe, Jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na mtandao huu, Mkurugenzi Mtendaji  wa kampuni ya Jaunt Africa Ltd, Acquiline  Mlulla waandaji wa Bonanza hilo la ‘Chicken Wings Bonanza & Family Out’ linalotarajiwa kufanyika kwa mara ya kwanza, Alisema  tayari maandalizi yamekamilika...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tuzo za Filamu Tanzania 2015 zafana Dar wasanii kibao wazoa tuzo

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala pamoja na viongozi mbalimbali wa meza kuu kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 wakipiga picha na baadhi ya washindi wa Tuzo za Filamu 2015 jana zilizofanyika katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala pamoja na viongozi mbalimbali wa meza kuu kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 wakipiga picha na baadhi ya washindi wa Tuzo za Filamu 2015 jana Mei 23, zilizofanyika katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini SERIKALI imesema itaendelea kuweka mfumo mzuri na kujenga mazingira mazuri ili kuhakikisha biashara ya filamu inaimarika, ikiwa ni pamoja na kuwavutia wawekezaji binafsi waliopo tayari kuwekeza katika tasnia ya...

 

10 years ago

Bongo5

Basata walialika wasanii kuja kutoa maoni yao kuboresha tuzo za KTMA, ni wasanii wawili tu waliofika — Nikk Wa Pili

Wiki iliyopita ilifanyika tathmini ya tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) za mwaka jana, ikiwa ni maandalizi ya kuelekea kwenye msimu mpya wa tuzo hizo kwa mwaka huu 2015. Kwa kawaida Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) hualika wadau mbalimbali kuhudhuria tathmini ya tuzo za mwaka uliopita kwa lengo la kuwapa nafasi ya kutoa […]

 

10 years ago

Bongo5

Majina ya washindi wa tuzo za Grammy 2015 zilizofanyika Jumapili Feb.8 (Orodha kamili)

Tuzo za 57 za Grammy Awards 2015 zimetolewa Jumapili Feb.8 huko Los Angeles, California nchini Marekani. Beyonce, Pharrell Williams, Eminem, Kendrick Lamar ni miongoni mwa wasanii walioibuka washindi. Beyonce akipokea tuzo Miongoni mwa wasanii waliotumbuiza kwenye tuzo hizo ni pamoja na Rihanna na Kanye West, Pharrell Williams, Beyonce, Mary J Blige. Pharrell baada ya kupokea […]

 

10 years ago

Bongo5

Majina ya wanaowania tuzo za 2015 Grammy Awards yatangazwa, zitatolewa Feb. (orodha kamili)

Majina ya wasanii wanaowania tuzo kubwa za Grammy Awards yametangazwa Ijumaa Dec 5. Pharrell Williams na Ed Sheeran ndio wanaowania vipengele vikubwa vinne kikiwemo cha album bora ya mwaka. Wengine waliotajwa kuwania tuzo hizo ni pamoja na Beyonce, Iggy Azalea, Drake, Nicki Minaj, Chris Brown, Kanye West na wengine. Beyonce pia ametajwa kuwa ndio msanii […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani