Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Suala la Mahakama ya Kadhi katika Mchakato wa Katiba Mpya

Mfumo wetu wa Sheria umejengwa kushughulikia mashauri ya kimila na Kiislamu. Kwa unyenyekevu mkubwa, nikiri kwanza kwamba, mjadala huu unaweza kufanikiwa iwapo tutaweka mbele kujifunza na kutafuta maarifa kama ambavyo imani zote zinavyohubiri.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Masheikh: Maaskofu msiingilie mchakato wa mahakama ya kadhi

DSC_0701Na Aziza Masoud, Dar es Salaam
TAASISI ya Masheikh na Wanazuoni wa Kiislamu Tanzania, imepinga tamko la maaskofu kuhusu kuzuia kuanzishwa kwa Mahakama ya Kadhi na kusema hatua hiyo ni sawa na kuingilia uhuru wa Bunge.
Kutokana na hali hiyo, wametaka maaskofu hao kupitia Jukwaa la Wakristo Tanzania (TCF), kuwaacha wabunge ili waweze kujadili muswada huo kwa uhuru bila kuwapo shinikizo katika suala hilo.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu wa taasisi hiyo, Sheikh Khamis Mataka,...

 

11 years ago

Mwananchi

Rais alipaswa kuvaa Utaifa katika mchakato wa Katiba mpya

Katika hotuba yake ya mwisho wa mwezi hivi karibuni, Rais Jakaya Kikwete alijivua lawama kuwa hotuba yake ya kufungua Bunge la Katiba ndiyo chanzo cha kuharibu mchakato mzima wa kupata Katiba Mpya.

 

10 years ago

Mwananchi

KATIBA MPYA: Wingu linavyogubika hatima Mchakato wa Katiba Mpya

>Bado hakuna mwafaka kuhusu hatima ya Katiba Mpya, baada ya kuahirishwa kwa upigaji Kura ya Maoni iliyopaswa ifanyike Aprili 30 mwaka huu.

 

10 years ago

Mwananchi

MCHAKATO WA KATIBA MPYA: Katiba Mpya ilivyoligawa Taifa

>Wahenga walisema dalili ya mvua ni mawingi. Usemi huo umejidhihirisha kwenye mchakato wa mabadiliko ya Katiba ambao tayari umeonyesha kuligawa taifa katika makundi matatu; Serikali, taasisi za dini na vyama vya siasa.

 

10 years ago

Mwananchi

MCHAKATO KATIBA MPYA: Hamad: Kwa nini Wazanzibari wanapaswa kupitisha Katiba

>Wakati Mchakato wa Mabadiliko ya Katiba ukifikia hatua ya Kura ya maoni inayotarajiwa kupigwa Aprili 30 mwaka huu, watu wameendelea kutoa maoni yao.

 

11 years ago

GPL

MTANDAO WA WANAWAKE NA KATIBA WAZUNGUMZIA MCHAKATO KATIBA MPYA

Mwakilishi kutoka Asasi ya Wanawake ya Ulingo, Dk. Avemaria Semakafu (katikati) akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya mkutano na wahariri wa vyombo vya habari. Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Valerie Msoka taasisi moja wapo inayounda Mtandao wa Wanawake na Katiba akiwasilisha mada katika mkutano huo. Baadhi ya wahariri wa vyombo vya habari wakiwa kwenye mkutano na baadhi ya wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba. Mmoja...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Suala la katiba mpya lisifanyiwe mzaha

BAADA ya takribani siku zaidi ya 40 za mivutano ya kuandaa kanuni na taratibu mbalimbali, wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wameanza kupitia ibara 17 za rasimu ya katiba mpya...

 

9 years ago

Vijimambo

ILANI ZA CHADEMA /UKAWA NA CCM ZINAVYOSEMA KUHUSU SUALA LA KATIBA MPYA

ILANI YA CHADEMA / UKAWAKuhusu katiba mpya kuna nukuu kadhaa kutoka kwenye Ilani ya uchaguzi
ya Chadema/UKAWA

Mosi, maelezo ya Mkt wa CHADEMA yanasema kuwa..."UKAWA inajengwa katika msingi mkuu wa kubadilisha katiba iliyopo ili kuweka katiba ya wananchi kwa ajili ya maendeleo yao. Katika kipindi hiki ambacho hali ya maisha ya Watanzania imeendelea kuwa duni, uchumi wa nchi yetu umeyumba, ubora wa elimu ni wa mashaka, ajira kwa vijana ni za kubahatisha na ukiukwaji na uvunjifu wa haki za...

 

10 years ago

Vijimambo

Mhe. Jussa asema Suala la Katiba mpya halijafikiwa kama Wananchi walivyotarajia

Na Abou Shatry Washington DC

Mwakilishi wa jimbo la mji mkongwe ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa chama cha wananchi CUF Mhe: Ismail Jussa Ladhu amesema Tanzania inaelekea kusipotarajiwa na maoni ya wananchi waliyotoa maoni.Muwakilishi wa jimbo la mji mkongwe Mhe: Ismail Jussa Ladhu akiongea na waTanzania wa DMV Siku ya Jumamosi Feb 28, 2015 kwenye ukumbi wa Tabeer Hall uliopo University Blvd East, Hyattsville, Maryland, Nchini Marekani. (Picha na swahilivilla)
Aidha amesema matarajio ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani