Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM yatumia wasomi vibaya

JITIHADA za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupigania mfumo wa serikali mbili zimechukua sura mpya baada ya kubainika kwamba sasa kimeamua kuwatumia wasomi 100, wakiwemo maprosesa kutunga kitabu kutetea msimamo wake...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Bunge la Katiba mpya tumeanza vibaya, tutamaliza vibaya

UTEUZI  wa wajumbe wa Bunge la Katiba uliofanywa na Rais Jakaya Kikwete juzi hauonekani kuwa na jambo jipya, umezingatia yale yale yaliyokuwa yanatarajiwa kwa kiwango kikubwa. Ni uteuzi uliowaweka walalamikaji...

 

10 years ago

Habarileo

Wasomi waitabiria CCM ushindi

Dk John MagufuliWASOMI na wanaharakati mbalimbali nchini kwa kumteua Dk John Magufuli kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, chama hicho kimempata mgombea sahihi, asiye na makundi pia kimezingatia jinsia baada ya kumchagua mgombea mwenza mwanamke, Samia Suluhu Hassan.

 

9 years ago

Vijimambo

Wasomi waichambua timu ya kampeni ya CCM.

Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk. Benson Bana.
Wanazuoni na wachambuzi wa masuala ya kisiasa wameichambua kwa kutoa maoni tofauti timu ya kampeni ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk. Benson Bana, alisema timu ya CCM imeundwa na makada wenye uwezo mbalimbali wakiwamo wa kurusha makombora makali kwa upinzani.

Alisema: “Unaweza kuona kamati hii ilivyopangwa imekamilika kwa sababu kuna watu wa kutoa mapigo na wenye busara kama akina...

 

9 years ago

Mtanzania

Wasomi waichambua kamati ya kampeni CCM

Na Elizabeth Hombo, Dar es Salaam

SIKU moja baada ya Chama Cha Mapiduzi (CCM) kutangaza vigogo 32 wanaounda kamati ya kampeni ya mgombea urais wa chama hicho, baadhi ya wachambuzi na wasomi wameikosoa timu hiyo wakisema haina jipya.

Akizungumza   jana kwa   simu, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Ruaha (RUCO), Profesa Gaudens Mpangala,  alisema anashangazwa na wingi wa wajumbe wa timu hiyo akisema ni dhahiri mwaka huu chama hicho tawala kinakabiliwa na upinzani mkali.

“Nimeshangazwa   na uwingi wa...

 

10 years ago

Habarileo

Nape- Wasomi acheni kuisifu CCM

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (NEC), Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amesema, wasomi wasikisifu chama hicho, bali wakikosoe ili iwe chachu ya mabadiliko ndani ya chama.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wasomi waionya CCM kuhusu Katiba mpya

WASOMI na wafuatiliaji wa mchakato wa kupatikana kwa Katiba mpya wamekitaka Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuheshimu maoni ya wananchi yaliyotolewa na Tume ya  Mabadiliko ya Katiba. Wananchi hao wamefikia hatua...

 

9 years ago

Mwananchi

Wasomi wataka CCM ijihoji Kingunge kujivua uanachama

Siku moja baada ya mwanasiasa mkongwe na kada wa CCM, Kingunge Ngombale-Mwiru kutangaza kujivua uanachama, wasomi waliohojiwa na gazeti hili wamepokea uamuzi huo kwa hisia tofauti, baadhi wakisema CCM imepoteza mtu muhimu na inatakiwa itafakari upya mwenendo wake.

 

10 years ago

Vijimambo

MRATIBU WA MATAWI YA CCM MAREKANI LOVENESS MAMUYA AZINDUA SHINA JIPYA JIJI LA WASOMI TULSA, OKLAHOMA


Mratibu wa Matawi ya CCM Ndugu. Loveness Mamuya akisema machache wakati wa Uzinduzi wa Shina Jipya, Tulsa OklahomaViongozi Wandamizi wa Shina la Jipya Kushoto Ndugu Emmanuel J Kamara na Katibu wake Ndugu Edgar ChiwangaMdau Akifurahia Kupata Kadi yakeMjumbe Bryceson Motto akimwaga Sera kwa WanaCCM waliyojumuikaKikao Kikiendelea








 

11 years ago

Habarileo

Tanroads yatumia mil.800/- Mianzini

WAKALA wa Barabara (Tanroads) Mkoani Arusha imetumia Sh milioni 800 kwa ajili ya kukarabati miundombinu, ambayo imekuwa ikiharibiwa na wananchi katika eneo la taa za kuongozea magari la Mianzini na Sanawari.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani