CCM: Ushindi jukwaani 30% tu
Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na CCM vinaonekana kushindana kujaza watu kwenye mikutano yao ya kampeni, lakini chama hicho tawala kimesema ushindi wa jukwaani ni asilimia 30 tu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
CCM Blog![](http://img.youtube.com/vi/0T4D_Wnu0fQ/default.jpg)
10 years ago
Habarileo06 Jun
CCM yajihakikishia ushindi Zanzibar
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kina uhakika wa kushinda katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu kwa sababu ya kufanikiwa kutekeleza na kusimamia Ilani ya Uchaguzi katika bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2015/16.
10 years ago
Habarileo15 Jul
Wasomi waitabiria CCM ushindi
WASOMI na wanaharakati mbalimbali nchini kwa kumteua Dk John Magufuli kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, chama hicho kimempata mgombea sahihi, asiye na makundi pia kimezingatia jinsia baada ya kumchagua mgombea mwenza mwanamke, Samia Suluhu Hassan.
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-YiYoXYaZPeQ/VaFWkvmhoeI/AAAAAAADxV8/s0cwVPVpcOE/s72-c/11141217_778140658970594_782124056655748765_n.png)
CHAGUO LA CCM - UMOJA NI USHINDI
![](http://4.bp.blogspot.com/-YiYoXYaZPeQ/VaFWkvmhoeI/AAAAAAADxV8/s0cwVPVpcOE/s640/11141217_778140658970594_782124056655748765_n.png)
John Pombe Magufuli ni moja kati ya waliochukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi ya kupitishwa kugombea nafasi ya Urais katika uchaguzi mkuu mwezi oktoba kupitia tiketi ya chama hicho.Magufuli ni miongoni mwa waliotajwa tano bora za urais CCMDar es Salaam. Kama alivyowashangaza wengi pale alipojitokeza kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania urais Mei 29 mwaka huu, ndivyo Dk John Magufuli alivyowashangaza tena jana kufikia hatua hii ya tano bora.
Bila makeke, majivuno...
9 years ago
Mtanzania17 Sep
CCM yajitabiria ushindi asilimia 69.3
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema takwimu zinaonyesha mikutano yote iliyofanywa na mgombea urais wake, Dk. John Magufuli hadi sasa, kinaweza kuibuka na ushindi wa asilimia 69.3.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mjumbe wa Kamati ya Kampeni ya chama hicho, January Makamba, alisema takwimu hizo zimetokana na utafiti wa ndani uliofanywa siku kumi zilizopita katika majimbo 246 kati ya 269.
“Utafiti huu ulishirikisha taasisi nyingine...
10 years ago
Mwananchi01 Jul
CCM tayari ishapanga ushindi
10 years ago
Mtanzania10 Aug
Lowassa: Ushindi 90% CCM waibe 10
SHABANI MATUTU NA PATRICIA KIMELEMETA, DAR ES SALAAM
WAZIRI Mkuu wa zamani ambaye pia ni mgombea urais kwa mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, amewataka wananchi kuhamasishana na kumpigia kura ili apate ushindi wa asilimia 90.
Alisema akipata ushindi huo na hata kama Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikiiba asilimia 10 ya kura zake, bado Ukawa watabaki na asilimia 80 ambao ni ushindi mzuri.
Akizungumza na wafuasi wa vyama vinavyounda Ukawa makao makuu ya Chama cha...
10 years ago
Habarileo12 Dec
CCM yapata ushindi wa kimbunga Simanjiro
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Simanjiro mkoani Manyara, kimepata viongozi 223 kati ya 281 wa vitongoji na wengine 48 kati ya 55 wa vijiji waliopita bila kupingwa katika uchaguzi wa serikali za mitaa, unaotarajia kufanyika Jumapili.
9 years ago
Mwananchi31 Aug
CCM Z’bar yaunda ‘timu ya ushindi’