CCM tayari ishapanga ushindi
CCM tayari wameshapanga ushindi wa urais mwaka huu, fawahisha (waziwazi) wanasema kuwa watashinda hata kwa bao la mkono. Gazeti la Mwananchi limelidadavua “bao la mkono†kuwa ni lile goli lililofungwa kwa kuupiga mpira kwa mkono kinyume na taratibu za mpira, lakini hukubaliwa kwa kuwa mwamuzi anakuwa hajaona.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
CCM Blog![](http://img.youtube.com/vi/0T4D_Wnu0fQ/default.jpg)
11 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/02/11.jpg)
MWENYEKITI WA CCM DK JAKAYA KIKWETE AWASILI MKOANI MBEYA TAYARI KWA MAADHIMISHO YA MIAKA 37 YA CCM
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-OOH9GqvqQng/Uu0mAtmicVI/AAAAAAACZ1E/Y4a_6Ciud3Q/s72-c/4.jpg)
MWENYEKITI WA CCM,RAIS JAKAYA KIKWETE AWASILI JIJINI MBEYA JIONI YA LEO TAYARI KWA KUONGOZA MAADHIMISHO YA MIAKA 37 YA CCM KESHO.
![](http://4.bp.blogspot.com/-OOH9GqvqQng/Uu0mAtmicVI/AAAAAAACZ1E/Y4a_6Ciud3Q/s1600/4.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-N4kxCfEFURw/Uu0mCWkXhsI/AAAAAAACZ1U/b-ceBti8L2c/s1600/6.jpg)
9 years ago
Mwananchi22 Sep
CCM: Ushindi jukwaani 30% tu
9 years ago
Habarileo28 Dec
CCM Zanzibar tayari kwa uchaguzi
KAMATI Maalumu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein imewataka wananchi na wanachama kujiweka tayari na hatimaye kujitokeza katika uchaguzi mkuu wa marudio.
10 years ago
Habarileo15 Jul
Wasomi waitabiria CCM ushindi
WASOMI na wanaharakati mbalimbali nchini kwa kumteua Dk John Magufuli kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, chama hicho kimempata mgombea sahihi, asiye na makundi pia kimezingatia jinsia baada ya kumchagua mgombea mwenza mwanamke, Samia Suluhu Hassan.
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-YiYoXYaZPeQ/VaFWkvmhoeI/AAAAAAADxV8/s0cwVPVpcOE/s72-c/11141217_778140658970594_782124056655748765_n.png)
CHAGUO LA CCM - UMOJA NI USHINDI
![](http://4.bp.blogspot.com/-YiYoXYaZPeQ/VaFWkvmhoeI/AAAAAAADxV8/s0cwVPVpcOE/s640/11141217_778140658970594_782124056655748765_n.png)
John Pombe Magufuli ni moja kati ya waliochukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi ya kupitishwa kugombea nafasi ya Urais katika uchaguzi mkuu mwezi oktoba kupitia tiketi ya chama hicho.Magufuli ni miongoni mwa waliotajwa tano bora za urais CCMDar es Salaam. Kama alivyowashangaza wengi pale alipojitokeza kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania urais Mei 29 mwaka huu, ndivyo Dk John Magufuli alivyowashangaza tena jana kufikia hatua hii ya tano bora.
Bila makeke, majivuno...
10 years ago
Habarileo06 Jun
CCM yajihakikishia ushindi Zanzibar
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kina uhakika wa kushinda katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu kwa sababu ya kufanikiwa kutekeleza na kusimamia Ilani ya Uchaguzi katika bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2015/16.