Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pluijm, Rage waichambua Stars

Wakati Watanzania wakiendelea kuugulia maumivu ya kipigo cha mabao 3-0 ambacho Taifa Stars imekipata kutoka kwa Misri, Kocha wa Yanga, Hans Pluijm amesema makosa binafsi pamoja na maandalizi ya chini kwa timu hiyo ndiyo yameigharimu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Wasomi waichambua Ukawa

ukawaSHABANI MATUTU NA PATRICIA KIMELEMETA
SIKU moja baada ya Kamati Maalumu ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kutoa mapendekezo ya ugawaji wa majimbo 211 kati ya 239, wasomi na wachambuzi wa siasa wametoa maoni yao.
Wakizungumza na MTANZANIA jana, wasomi na wachambuzi hao wa siasa pamoja na mambo mengine, walisema bado Ukawa wanatakiwa kueleza umma namna watakavyoandaa ilani yao na kuinadi mbele ya wananchi.

DK. BANA
Akitoa maoni yake jijini Dar es Salaam, mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es...

 

11 years ago

GPL

Al Ahly waichambua penalti ya Cannavaro dakika 10

Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’. WACHAMBUZI wa masuala ya soka katika runinga ya Al Ahly, wametumia takribani dakika kumi wakiichambua penalti ya kwanza ya Yanga iliyopigwa na nahodha wake, Nadir Haroub ‘Cannavaro’.
Zaidi wachambuzi hao walikuwa wakitumia neno halua, kuonyesha ni kitu kizuri na namna ambavyo kipa wa kikosi chao alivyoteseka. Cannavaro ndiye alikuwa wa kwanza kupiga penalti...

 

9 years ago

Vijimambo

Wasomi waichambua timu ya kampeni ya CCM.

Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk. Benson Bana.
Wanazuoni na wachambuzi wa masuala ya kisiasa wameichambua kwa kutoa maoni tofauti timu ya kampeni ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk. Benson Bana, alisema timu ya CCM imeundwa na makada wenye uwezo mbalimbali wakiwamo wa kurusha makombora makali kwa upinzani.

Alisema: “Unaweza kuona kamati hii ilivyopangwa imekamilika kwa sababu kuna watu wa kutoa mapigo na wenye busara kama akina...

 

9 years ago

Mtanzania

Wasomi waichambua kamati ya kampeni CCM

Na Elizabeth Hombo, Dar es Salaam

SIKU moja baada ya Chama Cha Mapiduzi (CCM) kutangaza vigogo 32 wanaounda kamati ya kampeni ya mgombea urais wa chama hicho, baadhi ya wachambuzi na wasomi wameikosoa timu hiyo wakisema haina jipya.

Akizungumza   jana kwa   simu, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Ruaha (RUCO), Profesa Gaudens Mpangala,  alisema anashangazwa na wingi wa wajumbe wa timu hiyo akisema ni dhahiri mwaka huu chama hicho tawala kinakabiliwa na upinzani mkali.

“Nimeshangazwa   na uwingi wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Rage awaonya wanachama

MWENYEKITI wa Simba anayemaliza muda wake, Ismail Aden Rage, amewaonya wanachama kuwa makini kuelekea uchaguzi mkuu, kwani kitendo cha kupandikiza maneno kwa Mgombea wa Urais Michael Wambura kitaharibu mchakato mzima...

 

11 years ago

GPL

RAGE: TUJIUZULU WOTE

Mwenyekiti wa Simba, Ismail Rage. MWENYEKITI wa Simba, Ismail Rage amesema yupo tayari kujiuzulu uenyekiti wa klabu hiyo, lakini akasisitiza hilo lifanywe na wajumbe wote wa kamati ya Utendaji. Kwa takriban mwezi sasa hali imekuwa si shwari ndani ya Simba, baada ya baadhi ya wajumbe wa kamati ya Utendaji wakiongozwa na Kaimu makamu mwenyekiti, Joseph Itang’are ‘Kinesi’ kumsimamisha Rage kwa tuhuma mbalimbali....

 

11 years ago

Mwananchi

Rage alalama Simba

Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage amesema amesikitishwa na madai kuwa hakuhusika na ushindi dhidi ya Yanga.

 

11 years ago

Mwananchi

Rage: Tusitafute mchawi

>Baada ya kipigo cha bao 1-0 dhidi ya Mgambo Shooting mwenyekiti wa Simba, Ismail Rage ametaka wanachama wake asitafute mchawi kwa vile kiwango cha timu yao ni kibovu.

 

11 years ago

TheCitizen

Neymar is all the rage among hosts

Anderson Guimaraes walked into a barber shop decorated with Brazil flags to get the latest popular hairstyle in Rio’s slums: The face of football star Neymar sculpted in the back of his head.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani