Shein: Magufuli anapenda ushirikiano
MGOMBEA urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM, Dk Ali Mohamed Shein, amesema mgombea urais wa chama hicho wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Magufuli, mbali na uchapakazi wake, ni mtu anayependa ushirikiano.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi14 Jan
DK Shein asifu ushirikiano wa China
11 years ago
Habarileo21 Sep
Dk Shein ahimiza ushirikiano wa elimu na Comoro
RAIS wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein amesema historia ya kuanzishwa vyuo vikuu Zanzibar na Muungano wa Comoro inafanana.
10 years ago
Habarileo06 Feb
Shein: Zanzibar, Ujerumani zitaimarisha ushirikiano
RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesema ziara ya Rais wa Ujerumani nchini, Joachim Gauck itaimarisha uhusiano baina ya nchi hizo mbili, uliodumu kwa miaka mingi.
10 years ago
MichuziMAMA MWANAMWEMA SHEIN AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA UWT WILAYA YA MJINI UNGUJA KUMUOMBEA KURA DK SHEIN NA DK MAGUFULI
10 years ago
Habarileo13 Jun
Shein: Ushirikiano Z’bar Maziwa Makuu ni mzuri
RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesema kuwa Zanzibar imekuwa na uhusiano na ushirikiano mzuri na nchi za Maziwa Makuu, hivyo ipo haja ya kuimarisha hatua hiyo kwa kuendelea kuutangaza utalii wa Zanzibar katika nchi hizo.
10 years ago
GPLMAMA MWANAMWEMA SHEIN AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA UWT WILAYA YA MJINI UNGUJA KUMUOMBEA KURA DK SHEIN NA DK MAGUFULI
10 years ago
Michuzi
Dkt. Shein akutana na Waziri wa Nchi,Maendeleo,Biasharana Ushirikiano wa Ireland


11 years ago
GPL
JACK PENTZEL: MUME WANGU ANAPENDA UBONGE
9 years ago
Bongo502 Dec
Isha Mashauzi anapenda kufanya kazi na Cassim

Muimbaji wa Taarab, Isha Mashauzi aka ‘Queen of the Best Melodies’ amesema ana hamu ya kumshirikisha muimbaji wa ‘Subira’ Cassim.
Akiongea na Clouds E ya Clouds TV, Isha alisema anakubali utunzi wa muimbaji huyo.
“Wasanii wengi wa Bongo Flava ni wakali lakini kwa mimi ningependa sana kufanya kazi na Cassim Mganga kwani ni msanii ambaye namkubali sana,” alisema.
Hivi karibuni kiongozi huyo wa Mashauzi Classic alizindua albamu yake mpya, ‘Sura Surambi.’
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!!...