Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shein: Zanzibar, Ujerumani zitaimarisha ushirikiano

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein na mwenzake wa Ujerumani, Yoachim Gauck.RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesema ziara ya Rais wa Ujerumani nchini, Joachim Gauck itaimarisha uhusiano baina ya nchi hizo mbili, uliodumu kwa miaka mingi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA RAIS WA ZANZIBAR DK.ALI MOHAMED SHEIN- UJERUMANI


1Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Maritim Hotel Bw.Wissmann katika Mji wa  Wurzburg Nchini Ujerumani jana alipowasili katika Mji huo akiwa katika ziara ya Kiserikali ambapo atahudhuria ufunguzi wa maonesho ya Muziki yanayojumuisha wasanii kutoka nchi za Afrika na Mabara mengine (kulia) Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Philip Marmo, [Picha na Ramadhan Othman.]2Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI SEIF AFUNGUA MKUTANO KWA NIABA YA RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN, WA KUIMARISHA MASUALA YA USHIRIKIANO KATIKA AMANIUSALAMA NA MAENDELEO KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI UNAOFANYIKA ZANZIBAR

Vijana wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa ufunguzi wa mkutano huo kulia  Ali Hamad Suleiman na Rukaiya Rashid Kombo. uliofanyika katika ukumbi wac hoteli ya Zanzibar Beach Resorty Mazizini Zanzibar na kufunguliwa na Balozi Ali Ali Iddi kwa niaba ra Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Viongozi wa meza kuu wakisimama wakati wa kuimbwa kwa wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa mkutano huo uliowashirikisha Marais Wastaaf, Viongozi wa Dini na Vijana...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF AFUNGUA MKUTANO KWA NIABA YA RAIS WA ZANZIBAR, DK. SHEIN WA KUIMARISHA MASUALA YA USHIRIKIANO KATIKA AMANI, USALAMA NA MAENDELEO KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI UNAOFANYIKA ZANZIBAR

Vijana wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa ufunguzi wa mkutano huo kulia Ali Hamad Suleiman na Rukaiya Rashid Kombo. uliofanyika katika ukumbi wac hoteli ya Zanzibar Beach Resorty Mazizini Zanzibar na kufunguliwa na Balozi Ali Ali Iddi kwa niaba ra Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein Viongozi wa meza kuu wakisimama wakati wa kuimbwa kwa wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa mkutano huo uliowashirikisha Marais Wastaafu, Viongozi wa Dini na Vijana...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS WA ZANZIBAR DR. SHEIN AONGEA NA WATANZANIA WANAOISHI UJERUMANI MJINI WUERZBURG

Mwenyekiti wa Umoja wa Tanzania Ujerumani Bw. Mfundo Peter Mfundo (aliyesimama) akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein.Baadhi ya Watanzania waishio Ujerumani katika picha ya pamoja na Rais Dr.Shein.Balozi wa Tanzania nchi Ujerumani Bw.Philip Marmo akimwagia sifa za Watanzania waishio nchini Ujerumani kwa Rais Dr.Shein.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiwa na Watanzania waishio Ujerumani.
WUERZBURG,...

 

10 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AKUTANA NA MABALOZI WA UJERUMANI NA MISRI,IKULU ZANZIBAR LEO.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania Egon Kochanke alipofika Ikulu Mjini Uguja leo asubuhi. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania Egon Kochanke (katikati) alipofika Ikulu Mjini Uguja leo asubuhi akifuatana na Mkurugenzi wa Shirika la Kimataifa la Tamasha la Afrika Stefan Oschman (kushoto). Rais wa Zanzibar na...

 

10 years ago

Vijimambo

Dk Shein Akiwa na Mgeni wake Rais wa Ujerumani Mhe Joachim Ikulu Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na mgeni wake Rais wa Ujerumani Mhe,Joachim Gauck katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar alipofika na ujumbe wake leo akiwa katika ziara ya siku moja nchini,[Picha na Ikulu.]

 

10 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALI MBALI ZA ZIARA YA RAIS WA ZANZIBAR, DKT. SHEIN NCHINI UJERUMANI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Mkuu wa Idara ya magonjwa ya Tropiki Prof.Dr.med.Augustin Stich baada ya Taasisi ya Tafiti mbali mbali yakiwemo magonjwa ya Binadamu, Chuo cha Afya katika Mji wa Wurzburg kimeweza kutoa mchango mkubwa katikakupambana na maradhi ya Ebola yaliyotokea Nchi za Magharibi.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakipata maelezo kutoka kwa Mario...

 

11 years ago

Mwananchi

DK Shein asifu ushirikiano wa China

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein amefanya mazungumzo na Mjumbe Maalumu wa Rais Xi Jinping wa China na kujadili jinsi nchi hiyo inavyoweza kuchochea kasi ya maendeleo ya Wazanzibari.

 

9 years ago

Habarileo

Shein: Magufuli anapenda ushirikiano

MGOMBEA urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM, Dk Ali Mohamed Shein, amesema mgombea urais wa chama hicho wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Magufuli, mbali na uchapakazi wake, ni mtu anayependa ushirikiano.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani